Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Hahaha
Sijui ni ushauri wa rangi gani bado hajaupata mpaka anashindwa kufanya maamuzi.

Pombe tamu ukiinywa kwa kiasi [emoji7]
Na wanywaji tuna roho nzuri sana. Tumempa kila aina ya msaada anaohitaji kuingia kwenye ulimwengu huu, na bili tunamlipia kabisa, na uhakika wa usafiri wa kurudi.

Sijui anakwama wapi. Sielewi apewe nini tena.

Saint Anne mle kwenye gari si palikuwa na sweet wine na vikombe? Sikukuambia? Kwanini hukupiga?
 
Kujaribu mara moja haina shida, shida ukiwa na marafiki walevi lazima uwe addicted.
Nadhani sina marafiki walevi ndiyo maana sijawahi jaribu.

Ila huku mtaani nitapata marafiki wa kila aina.
Kishuleshule nilikuwa na marafiki wa aina moja,wote ni kanisani tu na kwenye maombi.
Club nilikuwa sijui hata kunafananaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mnavyotoa ushauri wenu Kuna watu wanakuja na mwingine wa kunikata maini najikuta nanyong'onyea sitamani tena kujaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoka hapa usiulize tena mtu wala usimwambie mtu mipango yako, haitatimia.

Tushakujaza upepo ukitola hapa kafanye kweli
 
Nadhani sina marafiki walevi ndiyo maana sijawahi jaribu.

Ila huku mtaani nitapata marafiki wa kila aina.
Kishuleshule nilikuwa na marafiki wa aina moja,wote ni kanisani tu na kwenye maombi.
Club nilikuwa sijui hata kunafananaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nywea nyumbani

kidogo is nice
Kila kitu na kiasi
Ikizidi itakutesa....
Raha ya kulewa ulewe ila kilevi kisikuzidi
 
Na wanywaji tuna roho nzuri sana. Tumempa kila aina ya msaada anaohitaji kuingia kwenye ulimwengu huu, na bili tunamlipia kabisa, na uhakika wa usafiri wa kurudi.

Sijui anakwama wapi. Sielewi apewe nini tena.

Saint Anne mle kwenye gari si palikuwa na sweet wine na vikombe? Sikukuambia? Kwanini hukupiga?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanyaji mlivyo na roho nzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hata sikuona,
Yawezekana niliona ila sikujua kama ni pombe.
Kwanza hata sijui pombe zinafananaje[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom