Ukimfuatilia Prof Assad utagundua si mtu smart kama ambavyo watu walidhani

Prof. Safari ni mtu mzima kuliko Assad, ni mwanasheria na ni mtu anayechagua sana maneno ya kuzungumza na siyo mtu wa direct confrontation. He is reserved. Prof Assad ni liberal, with wide knowledge ya public accounts, public financing, commissioned studies etc. Siyo mtu wa kujiuliza mara mbili napoona kitu kinaharibika. Tabia zote mbili zina faida na hasara zake, na ainayote hii ya watu wanahitajika
 
Ww humjui huyu mzee,Aidha una chuki binafsi au mahabba niue
 
Professor Assad akili kubwa sana
 
ni wapi au lini alisema ana high IQ?
 
You cant be smart on a field yournot playing, you cant get a health advice from a conductor, likewise with asaad
Duuu Mayalla nimemsikiliza Prof Assad aisee jamaa yuko vizuri mno... Sijui kwanini Africa akili kubwa kama hizi zinawekwa bench..
 
Unapokuwa na kinyongo na hasira, au unapojihusisha na siasa au hata unafki, hata uwe na IQ kubwa kuliko mtu yoyote bado utaonekana kituko.
 

Mimi nili conclude Assad is overrated pale alipoulizwa na mwandishi ile tril 1.3 uliyomwambia Magufuli kwamba haijaibiwa iko wapi, akasema sijui! Akasema hela haieleweki imeenda wapi na imekua kuwaje.

Sasa kama wewe ni the most vaunted accounting wizard in the country, toka chuo kikuu ulikuwa straight A's whiz kid, unasema umebobea kwenye kuandika ma business plans ya multinational coorporations, na una resume iliyoonekana ni ndefu kuliko ya accountant yeyote kwenye historia ya nchi, imekua kuaje bureaucrats wa halmashauri na mawizarani wamefinyanga mahesabu ya hela mpaka huelewi tril 1.3 imapotelea wapi ?

Na kama unasema hela haionekani kwenye mahesabu na hujui imefanywaje, kwa nini una conclude kwamba haijaibiwa ????????
 
Hakuna uhusiano Kati ya hizo thread unazoleta Kama ushahid na kilichotokea Uganda.
 
Huelewi unachokiandika ni nonsense.
 
Haiondoi ukweli aliifanya kazi yake kwa usmart mkubwa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…