Ukimfuatilia Prof Assad utagundua si mtu smart kama ambavyo watu walidhani

Ukimfuatilia Prof Assad utagundua si mtu smart kama ambavyo watu walidhani

Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa prof mussa assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana. ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize prof safari. alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. prof assad alikuwa ana sukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo. tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. huyu prof aliendeshw ana miheko zaidi kuliko uhalisia.
Prof. Safari ni mtu mzima kuliko Assad, ni mwanasheria na ni mtu anayechagua sana maneno ya kuzungumza na siyo mtu wa direct confrontation. He is reserved. Prof Assad ni liberal, with wide knowledge ya public accounts, public financing, commissioned studies etc. Siyo mtu wa kujiuliza mara mbili napoona kitu kinaharibika. Tabia zote mbili zina faida na hasara zake, na ainayote hii ya watu wanahitajika
 
Ww humjui huyu mzee,Aidha una chuki binafsi au mahabba niue
haya mambo watu huwa wayajaui wanaenda kwa kufuata upepo tu .. Assad haonekani kama ni mtu mwema. anaonekana ni mtu mwenye ujivuni na ujeuri. inawezekana darasani alikuw ana akili lakini katika kuishi na watu na kuelewa nini na wakati gani aongee ni zero kabisa. kama akielekezwa vizuri akajifunza anaweza kutgumia elimu yake vizuri kwa manufaa ya watu wengine pia
 
Professor Assad akili kubwa sana
 
Mtu mwenye High IQ hawezi kujisifu hata siku moja, bali huacha kupitia kazi yake watu wamsifu, hivyo mimi kwangu sijaona chochote kwa huyu ,,Profesa“ usisahau kwamba neno Prof. Tanzania liko misused sana, wengi wao wanaojiita Prof. hawawezi kupata chair yoyote popote pale Duniani ya kufanya research ya maana, ni kisiasa zaidi.
ni wapi au lini alisema ana high IQ?
 
You cant be smart on a field yournot playing, you cant get a health advice from a conductor, likewise with asaad
Duuu Mayalla nimemsikiliza Prof Assad aisee jamaa yuko vizuri mno... Sijui kwanini Africa akili kubwa kama hizi zinawekwa bench..
 
Unapokuwa na kinyongo na hasira, au unapojihusisha na siasa au hata unafki, hata uwe na IQ kubwa kuliko mtu yoyote bado utaonekana kituko.
 
Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa prof mussa assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana. ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize prof safari. alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. prof assad alikuwa ana sukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo. tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. huyu prof aliendeshw ana miheko zaidi kuliko uhalisia.

Mimi nili conclude Assad is overrated pale alipoulizwa na mwandishi ile tril 1.3 uliyomwambia Magufuli kwamba haijaibiwa iko wapi, akasema sijui! Akasema hela haieleweki imeenda wapi na imekua kuwaje.

Sasa kama wewe ni the most vaunted accounting wizard in the country, toka chuo kikuu ulikuwa straight A's whiz kid, unasema umebobea kwenye kuandika ma business plans ya multinational coorporations, na una resume iliyoonekana ni ndefu kuliko ya accountant yeyote kwenye historia ya nchi, imekua kuaje bureaucrats wa halmashauri na mawizarani wamefinyanga mahesabu ya hela mpaka huelewi tril 1.3 imapotelea wapi ?

Na kama unasema hela haionekani kwenye mahesabu na hujui imefanywaje, kwa nini una conclude kwamba haijaibiwa ????????
 
ukasome izo kwanza
Hakuna uhusiano Kati ya hizo thread unazoleta Kama ushahid na kilichotokea Uganda.
 
wala hauhitaji mihemko kujua jamaa ni zero brain, ni ajabu sana mtu anapokea ushauri kutoka kwa kiumbe ambae hajui biashara, hana biashara inaojulikana, hana familia yenye background ya biashara, na wala hajawahi soma biashara! Lakini unapokea ushauri kutoka kwake , ndo yale tunasema mjinga na mjinga wanapokea ushauri
Huelewi unachokiandika ni nonsense.
 
Wengi wameshaanza kugundua kuwa tatizo lilikuwa nini kwa kuwa wamegundua pia kuwa profesa Mussa Assad si kweli kuwa ni smart kama ambavyo mara ya kwanza hata mimi nilidhani. Ni mtu mropokaji, ambaye inawezekana akawa na akili lakini akawa hana busara au hekima. Ukimsikiliza katika maongezi yake utagundua mambo mengi sana.

Ukitaka kusikiliza watu wenye akili na busara msikilize Prof Safari alikuwa anajua nini cha kuongea na wakati gani pia. Prof Assad alikuwa anasukumwa na jambo jingine lakini kwa sasa unamwona hana hoja ana hata hoja ambazo alitoa kipindi kile zimekuja kuoenekana kuwa ni za hovyo.

Tumeona kinachotokea sehemu mbalimbali za Afrika walizonunua vitu kwa mkopo hasa kutoka china. Huyu prof aliendeshwa na miheko zaidi kuliko uhalisia.
Haiondoi ukweli aliifanya kazi yake kwa usmart mkubwa mno
 
Back
Top Bottom