Ukimpata mwanamke anayekupenda usimletee masihara utakuja kumlilia siku akibadilika

Mi nimependa uandishi wako aisee. Matumizi yako ya koma, nukta na aya yapo vizuri.
 
Yan kaachwa siku 1tu tayar ana bwana..hahaha huyo alikuepo kitambo....kiufup instincts za bro wako zilikua za kwel kuwa anachapiwa...

So kiufup...Tushapata hao wanawake wanaotupenda na tumewaaacha na maisha burdan kabisa yanasonga..cha muhimu usiwekeze sana kwenye mapenz mkuu.wekeza mahala patakapo kuja kukupa faraja..hao hawatabirik...
 
...Inaelekea Huyo Shemeji yako naye alikuwa Mapepe!
Kutoka tu Kwa Kaka yako moja kwa moja kwa Bwana Mwingine?
Huyo alikuwa anafanya Madudu akiwa Bado na Kaka yako!
Muambie Kaka yako atulize Ball na aendelee na Maisha take..
Na Huyo Mchepukaji Luna Simu atarudi tu Mwenyewe...!![emoji848]
 
hawa wenzetu usidhani hawatongozwi jamani wengine tulishakutana nayo hayo sana tu jaman,mtu anakwambia nina mtu wangu hata wiki haijaisha jiulize wakati uko nae mlikuwa wawili au pekeyako??nadhani ni kuwa watulivu na tusiwafanye wajinga sana
 
muda mwingne anaweza asiwe kweli bwanawake lakini mtu anapangwa mjini hapa jamani,ukimtafuta mtu ukamwambia 50k hii hapa fanya moja 2 na 3 aahh mtu anaigiza kabisa
 
tusiwafanye wenzetu wajinga iwe kwenye mahusiano au ndoa nao wanatongozwa na wengi tu ila ukitaka kuyajua hayo yote basi ni kujitahdi kumtibua akili tu inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…