Ukimpata mwanamke anayekupenda usimletee masihara utakuja kumlilia siku akibadilika

πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Bwana wee hii ishanikumba,,
Kuna binti alinipenda sana kupitiliza,,,alionyesha kunijali,,,ananipigia na meseji za kila mara,,mi kidume nikawa namlingia ivi,,,,sasa baadae mawasiliano ya binti yakapungua,,,nikawa sioni tena kujali kwake eee bwana ee roho yangu ndo ikaanza kumpenda sasa.....ile namfata kumuuliza vipi mbona siku izi umebadilika,,?,,,, alinijibu ivi (Nilikupenda ila wewe hukuona thamani ya upendo wangu,,,Kwasasa umechelewa),,,,DAH IDUME NILIUMIA SANA,,,mpaka sasa Maumivu yamegeukia kwangu,,,,nikimtext Hajibu,,,nikimfata kumuongelesha Kanuna,;,,KIUKWELI NIMEJIFUNZA KITU...SITORUDIA KUIGNORE UPENDO WA BINTI YOYOTE
 
Amen
 
Ulijona shababi eh! Wanawake ni viumbe delicate ukimnyanyasa akikaa akapiga akili kuwa hayupo sehem sahihi anakuhama tu na hapo amna rangi utaacha kuzionaπŸ˜‚
 
Ulijona shababi eh! Wanawake ni viumbe delicate ukimnyanyasa akikaa akapiga akili kuwa hayupo sehem sahihi anakuhama tu na hapo amna rangi utaacha kuzionaπŸ˜‚
Huwezi amini sasa ivi
Ulijona shababi eh! Wanawake ni viumbe delicate ukimnyanyasa akikaa akapiga akili kuwa hayupo sehem sahihi anakuhama tu na hapo amna rangi utaacha kuzionaπŸ˜‚
Uwezi amini sasa ivi nampigia magoti mimi,,,,kwa nyodo nayeye analingia
 
Huyo mwanamke atarudi niamini mm.

Sisi ndo wazoefu wa hizi kazi za kupendwa kupitiliza

[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1732]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…