Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ni sahihi. Inahuzunisha sana.Umasikini huleta roho mbaya
Haitishi kukusogeza miezi kadhaa hapo state?HEla ndogo
Hiyo sio kumuokoa, ila ni kumkomoa., jamaa alichoandika ni sahihi sana, Wabongo waliopo Nchi za watu wamekuwa na mambo ya hovyo sana, kuna kipindi jamaa yangu aliwahi kunichoma kwa watu wa Uhamiaji, Wakenya sikuona hizo mambo kwao, ila Wabongo mpka kesho wanafanya huo ujinga.Sijaona roho mbaya hapo. Kumwokoa mtanzania mwenzako aache kuishi kama digidigi ni roho mbaya?
Huyu mtu mweusi kapewa Uenyekiti wa Chama cha Conservative, kachukuwa nafasi ya yule Rishi Sunak alokuwa Waziri Mkuu, sasa hayo ndio maazimio alokuja nayo.Mtu mweusi ana roho mbaya sana.
Wakenya na wabongo wanawachongea wenzio ambao wanaishi sasa hivi kwa kujificha kwasababu hawana vibali vinavyowataka waishi Marekani baada ya Serikali ya Trump kutoa agizo wote wakamatwe na warudishwe.
Licha ya zoezi hilo pia kuna dau la dollar 750 ukimripoti mhamiaji yoyote haramu.
Kutokana na hilo watu wanachongeana sana.
Rafiki yangu ambaye yuko Texas amenithibitishia tabia hii ya roho mbaya na ya kichwani ipo sana kwa wakenya na wabongo hata kabla ya Trump kuingia madarakani majuzi.
Ni vigumu kukuta jamii ya mexico huko wanawachongea wenzao warudishwe.
Hali ya hofu na sintofaham ya ndugu zetu ambao makaratasi yao yana mushkel imetanda sana.
Wanaishi maisha ya hofu na huzuni kwa kujifungia na kujificha ambapo inawawia vigumu kupata mahitaji ya kila siku kwasababu hawaendi kazini na kukosa vipato vya kuwasaidia katika maisha ya kila siku.
Niggers wengine Bongo kama chawi Webabu tumesoma humu wakiomba na kusheherekea wapambanaji mtoni warudishwe. Sasa wakirudishwa sukari itashuka bei ama mafuta ya kula au petrol? Roho ya kichawi kabisa.
Tuwaombeeni ndugu zetu na Mungu awatangulie.
Mungu ingilia kati!
My take
Jamii ya wa wasomali marekani wanawasaidia wenzao ambao hawana makaratasi. Hadi mmbunge msomali ilhan Omar amewapa maelekezo undapo wakikamatwa jinsi ya kufanya wasizungumze chochote. Kwasababu hawana haki yakukuuliza information zako. Wasomali wanasaidiana sana kwenye shida.
Nyau de adriz
Utasubiri sanaNimemchongea mange kimambi nasubiri muamala
Tatizo Mzungu arogekiHatuwezi kufanya hata uchawi arudi
Sahihi kabisa Mkuu, huko kuna vikundi vya kinafiki acha kabisa, kuna watu wametangulia huko so kila mgeni wanataka kumjua na kutaka aishi watakavyo,sasa ukienda kinyume nao ndio mambo ya kufuatiliana yanaanza,Watanzania wana tabia hii ya kuchongeana maana hata 🇬🇧 walichongeana wengine wakawachoma mpaka shangazi zao
Yaani dada wa baba zao
Wazenji ndio walikuwa wanaongoza kwa kuwachoma tena bila hela ila roho mbaya tu
Wasomali watoto wa baba tena wanakupa njia zote za kufanya na pa kulala wanakupa
Mkuu siyo upotoshaji. Jaribu kufanya tafiti ulizia walioko marekani watakuambia. Wapo hata humu JF na Facebook.Hakuna Ukweli wowote ule na taarifa hizi.
Puuzeni
Kwamba>
Huu Uzi umeletwa makusudi kuwatukana Watanzania.
Kwa maelezo yao wenyewe wanaoishi state haitoshi.Haitishi kukusogeza miezi kadhaa hapo state?
Ndio maana nikiendaga ulaya na china sichekagi na mtanzania, ana roho mbaya akiwa huko nje tena sana, kwanza ukiwa una hela wanakufuata na zikiisha wanakukimbia na kukuibia hahaha shikamoo ngozi nyeusi. Wamarekan akija kwangu naongea kisandawi hadi watabrooMtu mweusi ana roho mbaya sana.
Wakenya na wabongo wanawachongea wenzio ambao wanaishi sasa hivi kwa kujificha kwasababu hawana vibali vinavyowataka waishi Marekani baada ya Serikali ya Trump kutoa agizo wote wakamatwe na warudishwe.
Licha ya zoezi hilo pia kuna dau la dollar 750 ukimripoti mhamiaji yoyote haramu.
Kutokana na hilo watu wanachongeana sana.
Rafiki yangu ambaye yuko Texas amenithibitishia tabia hii ya roho mbaya na ya kichwani ipo sana kwa wakenya na wabongo hata kabla ya Trump kuingia madarakani majuzi.
Ni vigumu kukuta jamii ya mexico huko wanawachongea wenzao warudishwe.
Hali ya hofu na sintofaham ya ndugu zetu ambao makaratasi yao yana mushkel imetanda sana.
Wanaishi maisha ya hofu na huzuni kwa kujifungia na kujificha ambapo inawawia vigumu kupata mahitaji ya kila siku kwasababu hawaendi kazini na kukosa vipato vya kuwasaidia katika maisha ya kila siku.
Niggers wengine Bongo kama chawi Webabu tumesoma humu wakiomba na kusheherekea wapambanaji mtoni warudishwe. Sasa wakirudishwa sukari itashuka bei ama mafuta ya kula au petrol? Roho ya kichawi kabisa.
Tuwaombeeni ndugu zetu na Mungu awatangulie.
Mungu ingilia kati!
My take
Jamii ya wa wasomali marekani wanawasaidia wenzao ambao hawana makaratasi. Hadi mmbunge msomali ilhan Omar amewapa maelekezo undapo wakikamatwa jinsi ya kufanya wasizungumze chochote. Kwasababu hawana haki yakukuuliza information zako. Wasomali wanasaidiana sana kwenye shida.
Nyau de adriz
Huwa sijishughulishi nao kabisa hao maana ni wanafiki na wabayaSahihi kabisa Mkuu, huko kuna vikundi vya kinafiki acha kabisa, kuna watu wametangulia huko so kila mgeni wanataka kumjua na kutaka aishi watakavyo,sasa ukienda kinyume nao ndio mambo ya kufuatiliana yanaanza,
Hakuna Ukweli wowote ule na taarifa hizi.
Puuzeni
Kwamba>
Huu Uzi umeletwa makusudi kuwatukana Watanzania.
waje tulime vitunguu huku Gonja
Huyu kwenye video nauhakika ni mchongeaji kwasababu ana makaratasi kwasababu anavyochekelea na furaha anavyoitangaza hii habari.Mtu mweusi ana roho mbaya sana.
Wakenya na wabongo wanawachongea wenzio ambao wanaishi sasa hivi kwa kujificha kwasababu hawana vibali vinavyowataka waishi Marekani baada ya Serikali ya Trump kutoa agizo wote wakamatwe na warudishwe.
Licha ya zoezi hilo pia kuna dau la dollar 750 ukimripoti mhamiaji yoyote haramu.
Kutokana na hilo watu wanachongeana sana.
Rafiki yangu ambaye yuko Texas amenithibitishia tabia hii ya roho mbaya na ya kichwani ipo sana kwa wakenya na wabongo hata kabla ya Trump kuingia madarakani majuzi.
Ni vigumu kukuta jamii ya mexico huko wanawachongea wenzao warudishwe.
Hali ya hofu na sintofaham ya ndugu zetu ambao makaratasi yao yana mushkel imetanda sana.
Wanaishi maisha ya hofu na huzuni kwa kujifungia na kujificha ambapo inawawia vigumu kupata mahitaji ya kila siku kwasababu hawaendi kazini na kukosa vipato vya kuwasaidia katika maisha ya kila siku.
Niggers wengine Bongo kama chawi Webabu tumesoma humu wakiomba na kusheherekea wapambanaji mtoni warudishwe. Sasa wakirudishwa sukari itashuka bei ama mafuta ya kula au petrol? Roho ya kichawi kabisa.
Tuwaombeeni ndugu zetu na Mungu awatangulie.
Mungu ingilia kati!
My take
Jamii ya wa wasomali marekani wanawasaidia wenzao ambao hawana makaratasi. Hadi mmbunge msomali ilhan Omar amewapa maelekezo undapo wakikamatwa jinsi ya kufanya wasizungumze chochote. Kwasababu hawana haki yakukuuliza information zako. Wasomali wanasaidiana sana kwenye shida.
View attachment 3233106
Nyau de adriz