Hao huko wanaojiita Wabajuni kutoka Kismayu- Somalia. Wabajuni ni Wasomali wenye asili ya Kibantu ( Pua zao na rangi ya ngozi yao ni sawa ya mimi na wewe)Utakuta na yeye kujipodoa huko aonekane msomali
Akifuatiliwa nae eti ni Wariya
Wafiche aibu zao
Watu wanatafuta maisha kwa kila njia
Hapana mkuu achana na hao wabajuniHao huko wanaojiita Wabajuni kutoka Kismayu- Somalia. Wabajuni ni Wasomali wenye asili ya Kibantu ( Pua zao na rangi ya ngozi yao ni sawa ya mimi na wewe)
Waombee wenzio unataka wenzio warudi kubeti kama weweNiwaombee wafanye nn
Wakenya na Wabongo sio kabisa..Mbona hata milioni 2 hazifiki? Yaani umchome mqenzio umwaribie maisha kisa Dola 750? Kumbe Hawa watu ni njaa Kali sana
Hata mama yako humpi nae humkojolei? 😹Siwezi kumpa zawadi mwanamke ambaye simkojolei 😀
Hayo maneno mazuri yanakutosha dada L 😊
Ametangulia mbele za hakiHata mama yako humpi nae humkojolei? 😹
Ndio nitaongea majogoli mieeee, huko watakakonipelek nitatafuta na mchumba tuishi hukohukoKujifanya huongei Kiingereza si dawa. Utapelekwa detention Centre, utasota kule mpaka mwenyewe utasema kwenu ni wapi. After all kule immigration detention Centre kuna huduma ya ukalimani almost lugha kuu zote za dunia.
Hawana mtaji sasaWe
Waombee wenzio unataka wenzio warudi kubeti kama wewe
Kwanini mnaishi kama panya buku wakati nchi yenu ipo? Njooni huku tulipe tozo wote…Mtu mweusi ana roho mbaya sana.
Wakenya na wabongo wanawachongea wenzio ambao wanaishi sasa hivi kwa kujificha kwasababu hawana vibali vinavyowataka waishi Marekani baada ya Serikali ya Trump kutoa agizo wote wakamatwe na warudishwe.
Licha ya zoezi hilo pia kuna dau la dollar 750 ukimripoti mhamiaji yoyote haramu.
Kutokana na hilo watu wanachongeana sana.
Rafiki yangu ambaye yuko Texas amenithibitishia tabia hii ya roho mbaya na ya kichwani ipo sana kwa wakenya na wabongo hata kabla ya Trump kuingia madarakani majuzi.
Ni vigumu kukuta jamii ya mexico huko wanawachongea wenzao warudishwe.
Hali ya hofu na sintofaham ya ndugu zetu ambao makaratasi yao yana mushkel imetanda sana.
Wanaishi maisha ya hofu na huzuni kwa kujifungia na kujificha ambapo inawawia vigumu kupata mahitaji ya kila siku kwasababu hawaendi kazini na kukosa vipato vya kuwasaidia katika maisha ya kila siku.
Niggers wengine Bongo kama chawi Webabu tumesoma humu wakiomba na kusheherekea wapambanaji mtoni warudishwe. Sasa wakirudishwa sukari itashuka bei ama mafuta ya kula au petrol? Roho ya kichawi kabisa.
Tuwaombeeni ndugu zetu na Mungu awatangulie.
Mungu ingilia kati!
My take
Jamii ya wa wasomali marekani wanawasaidia wenzao ambao hawana makaratasi. Hadi mmbunge msomali ilhan Omar amewapa maelekezo undapo wakikamatwa jinsi ya kufanya wasizungumze chochote. Kwasababu hawana haki yakukuuliza information zako. Wasomali wanasaidiana sana kwenye shida.
View attachment 3233106
Nyau de adriz
Balali atakuwa na vibari kweli?😁Mtu mweusi ana roho mbaya sana.

Huyu mtu mweusi kapewa Uenyekiti wa Chama cha Conservative, kachukuwa nafasi ya yule Rishi Sunak alokuwa Waziri Mkuu, sasa hayo ndio maazimio alokuja nayo.
Wakati yeye mwenyewe ni mkimbizi katokea Nigeria ila sasa karamba asali anaweka sheria ngumu kwa wahamiaji wenzake yule Baniani yeye alipopata tu ile fursa ya Uwaziri Mkuu basi aliingiza Wahindi wenzake wasiopungua millioni 3 katika kipindi chake.