na infact,Wakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Flani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao
And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua
Possibly wakaja kustuka wakati it's too late
Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
na infact,
Lazima atakua anamchochea na anampotosha kwa makusudi kisayansi ili aingie rasmi kwenye mtego wa kisiasa, ili ampoteze mazima kwenye medani za kisiasa za Tanazania, right gentleman? 🐒
Rudi shule ujifunze kuandika kwanzana infact,
Lazima atakua anamchochea na anampotosha kwa makusudi kisayansi ili aingie rasmi kwenye mtego wa kisiasa, ili ampoteze mazima kwenye medani za kisiasa za Tanazania, right gentleman? 🐒
Hamna kitu hapoWapo viongozi wakubwa ambao wanaweza kutengeneza jambo
Ile nguvu ya lissu it's more than chadema alone
No such things as kiongozi mkubwa, ni as if kusema lissu haweza au viongoz wa chadema hawawez kufanya hayo mpaka kuwe na “kiongozi mkubwa”?
Ccm tayari mmechanganyikiwa, mmeishaanza kutafuta mchawi kati yenu!!Wakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Flani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao
And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua
Possibly wakaja kustuka wakati it's too late
Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
Maandishi yako yanaonyesha auamini kwenye utendaji wa Lissu?kusema kua kuna mtu mkubwa anasukuma ajenda na No Reform No Election na kusema kua Huyo mtu ndo alifanya Mbowe AsichaguliweLissu hana cha kupoteza because hawez kuwa Rais na anajua hilo
Hawezi kupata wabunge wa kuunda serikali na anajua hilo
Hana lolote la kupoteza
Ila kwa Ile confidence ya matamko yao,
Serikali inabidi ijipange before it's too late
Lazima kuna mtu mkubwa sana, anasimamia show, and no wonder huyo mtu ndio amepambana mbowe asichaguliwe