PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rudi shule ujifunze kuandika kwanza
utakumbuka huyo tapeli na kibaka wa kisiasa aliwahi kupotoshwa ana aliewahi kumuita mtu mkubwa nchi hii kwamba akiwa anaenda Chadema HQ avae bullet proof vest,

sasa mjamaa alivyo na tumbo kubwa ambalo halina structure ya kueleweka, bullet proof vest ikawa inambana karibu imuue kabisa,

Baada ya siku3 akaacha kuvaa 🤣

Sasa sijui huyo mpotoshaji alimwambia Chadema HQ ni hatar zaidi ya Ghaza 🤣
 
Sema hivi; No refomu ni mkakati wa pamoja wa kususia uchaguzi ili kuepusha ushindani kwa mgombea.

Sina maelezo zaidi!
 
Lissu ni mpigania HAKI kwahiyo wapenda HAKI wote hapa Nchini Tanzania tuko naye bega kwa bega.
 
Wakuu mambo vipi?

Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea

Utagundua kitu Flani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao

And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua

Possibly wakaja kustuka wakati it's too late

Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
Jumuiya ya Ulaya EU) US na People's Power.
 
Wakuu mambo vipi?

Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea

Utagundua kitu Flani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao

And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua

Possibly wakaja kustuka wakati it's too late

Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
1743758237839.png

Kwani hujui?
Kiongozi mwenyewe si mama Samia!🙂🙂
 
Yaani huyo mtu mkubwa awepo nyuma yake bila idara nyeti kumjua?
Yaani unataka kuniambia wewe uwe na taarifa ambazo idara nyeti na serikali wasiwe nazo? Embu jaribu kuwa serious basi...
 
ki-ukweli Lissu hakustahili kuwa mwanasiasa Tanzania, such a great alent is being wasted!

kinachowachanganya CCM Lissu anavyojenga hoja hadi wasiompenda wanatapatapa!

upande wa CCM mikutano yao hakuna mjengaji hoja mzuri kama Lissu.

imenikumbusha campaign ya uraisi ya US Kamala kushinda anacheka cheka na ku-waste USD 2B!

sasa hivi CCM wanasubiri CDM wana events sehemu nao ndio wanapeleka events zao huko.

refer no reforms, No Elections kanda ya Kusini, ghafla Nchimbi naye yupo Kusini!
Umepiga penyewe mkuu🙏
 
Wakuu mambo vipi?

Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea

Utagundua kitu Flani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao

And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua

Possibly wakaja kustuka wakati it's too late

Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
Mtu mmoja mkubwa CCM na Serikalini ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nae ni Samia Suluhu Hassan.
 
utakumbuka huyo tapeli na kibaka wa kisiasa aliwahi kupotoshwa ana aliewahi kumuita mtu mkubwa nchi hii kwamba akiwa anaenda Chadema HQ avae bullet proof vest,

sasa mjamaa alivyo na tumbo kubwa ambalo halina structure ya kueleweka, bullet proof vest ikawa inambana karibu imuue kabisa,

Baada ya siku3 akaacha kuvaa 🤣

Sasa sijui huyo mpotoshaji alimwambia Chadema HQ ni hatar zaidi ya Ghaza 🤣

Umesikiliza hotuba ya katibu mkuu wako leo?

Hahaha I hope utaachana na maandiko ya lisu kila siku
 
Back
Top Bottom