PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
na infact,
Lazima atakua anamchochea na anampotosha kwa makusudi kisayansi ili aingie rasmi kwenye mtego wa kisiasa, ili ampoteze mazima kwenye medani za kisiasa za Tanazania, right gentleman? 🐒
Wa kumpoteza Lisu hayupo kwa sasa
 
Hakuna kupoteza ndugu Tlaatlaah na usiwe mtu usiyeamini....

Maana wewe na wenzio huko mna macho lakini kwa jinsi mlivyo masikini wa ufahamu na uelewa, hamuoni badala yake mungu wa dunia hii (Ibilisi, shetani baba wa uongo) amewafanya muone mauza mauza na kujitumainisha ktk hayo....!

Mna masikio lakini wewe na wenzio masikini wa uelewa na ufahamu huko, hamsikii badala yake mnasikizishwa upotofu ili mpotee na kuangamia kirahisi bila ya mwangamizi kutoa jasho....!

Ndugu Tlaatlaah acha kuwa mtu mjinga usiye na ufahamu. Jiokoe sasa wewe na nafsi yako before it's too late kwa kungumza na kuitetea HAKI YA MUNGU kwa ajili ya AMANI yako na ya watoto wako. HAKI YA MUNGU HAIPINGWI NDUGU Tlaatlaah....

Kinachokwenda kupotea ni utawala huu dhalimu, wa uonevu na wenye kuinajisi na kukanyaga haki za watu wa Mungu Jehovah kwa miaka zaidi ya 64 sasa chini ya CCM...

Put this in your freaking head, kwamba: MUNGU YUKO KAZINI....!;

Kilichofanyika ni Mungu mwenyewe kugeuza mioyo yenu kuwa migumu kama wa Farao wakati wa Musa akiwa ktk "process" ya kuikomboa Israel na Waisrael toka ktk utumwa na utawala wa ukandamuzaji, uonevu na mateso wa Farao wa Misri ya kale...

Ufahamu na akili zenu zimepinduliwa ili muone kuwa ni TUNDU LISSU na CHADEMA binadamu ndo wanawasumbua huku ukweli ukiwa siyo....

Lakini the true fact ni kuwa Mungu mwenyewe yuko kazini kuokoa na kukomboa watu wake...
 
Lissu ni kibaraka wa mabeberu, na wanataka kumtumia kuichafua amani ya Tanzania, na inawezekana anajua kuwa anatumiwa vibaya, au hajui.
Hata bibi wa kijijini hauwezi kumwendea Kwa hoja za kijinga kama hizi.
 
Vipi yule anae SEMA degree ziende VETA??!
Unajua ili kuhitimu degree unaitaji credit hours zisizo pungua 120 Unit so Leo hii degree ipelekwe VETA.

BORA MARA MIA ALIE SHAURI WAPEWE NG'OMBE MBILI MBILI 😊😊😊
Hii nchi haiwez kuendelea kama mbadala wa CCM ,katika uchumi huu wa dunia ya sasa hiv anaona kupewa ng'ombe mbili mbili ndo suluhisho, nachelea kusema jamaa ni mpumbavu kwelikweli hajui anachopigania. So pathetic!!!!
 
Hakuna kupoteza ndugu Tlaatlaah na usiwe mtu usiyeamini....

Maana wewe na wenzio huko mna macho lakini kwa jinsi mlivyo masikini wa ufahamu na uelewa, hamuoni badala mmefanywa muone mauza mauza na kujitumainisha ktk hayo....!

Mna masikio lakini wewe na wenzio masikini wa uelewa na ufahamu huko, hamsikii badala yake mnasikizishwa upotofu ili mpotee na kuangamia kirahisi bila ya mwangamizi kutoa jasho....!

Ndugu Tlaatlaah acha kuwa mtu mjinga usiye na ufahamu. Jiokoe sasa wewe na nafsi yako before it's too late kwa kungumza na kuitetea HAKI YA MUNGU kwa ajili ya AMANI yako na ya watoto wako. HAKI YA MUNGU HAIPINGWI NDUGU Tlaatlaah....

Kinachokwenda kupotea ni utawala huu dhalimu, wa uonevu na wenye kuinajisi na kukanyaga haki za watu wa Mungu Jehovah kwa miaka zaidi ya 64 sasa chini ya CCM...

Put this in your freaking head, kwamba: MUNGU YUKO KAZINI....!;

Kilichofanyika ni Mungu mwenyewe kugeuza mioyo yenu kuwa migumu kama wa Farao wakati wa Musa akiwa ktk "process" ya kuikomboa Israel na Waisrael toka ktk utumwa na utawala wa ukandamuzaji, uonevu na mateso wa Farao wa Misri ya kale...

Ufahamu na akili zenu zimepinduliwa ili muone kuwa ni TUNDU LISSU na CHADEMA binadamu ndo wanawasumbua huku ukweli ukiwa siyo....

Lakini the true fact ni kuwa Mungu mwenyewe yuko kazini kuokoa na kukomboa watu wake...
Gentleman,
kwamba Mungu ni wako pekeyako, na huyo tapeli Lisu ndio yesu, right?🤣

sasa kama umehamia kwenye kuhubiri injili kwa kutishia watu kana kwamba Mungu ni wako pekeyako, si ukafungue kanisa tu gentleman?🤣

kwamba kuzuia uchaguzi ndio haki na kupiga kura ni ubatili, right?🤣
 
Wa kumpoteza Lisu hayupo kwa sasa
basi itakua kuna anae mchanganya, maana yupo kama kachanganyikiwa hivi, na hivi no reform no elections inapingwa kila kona kawa confused kabisaa gentleman 🐒
 
Gentleman,
kwamba Mungu ni wako pekeyako, na huyo tapeli Lisu ndio yesu, right?🤣
No...

Mungu Yehova ni baba yetu wote.

Ni Mungu wako, ni Mungu wangu ni Mungu wa wale wengine wote..

Tofauti ni kuwa huyu Mungu Yehova, ana watoto wa aina mbili:

1. Watukutu, wezi, wenye kiburi na watovu wa nidhamu na wasiofuata maagizo yake, wanaoonea wengine, mafisadi na wanaonajisi na waporaji wa haki za wengine (hawa ni nyie CCM/watawala)...

2. Wanaonewa, kunyanyaswa, kutekwa, kupotezwa na kuuwawa; kuporwa haki zao na yafananayo na hayo lakini hawainui mikono yao kupigana na wadhalimu na watesi wao (hao ni sisi wananchi wa kawaida)

#Makundi yote haya mawili ya watoto hawa wa Mungu yatapata HAKI ya hukumu stahili kila moja. Kundi la kwanza lipata hukumu ya adhabu. Na kundi la pili litapata thawabu ya uzima wa milele. Ili kundi la kwanza lijiponye, ndiyo maana nikakuambia wewe Tlaatlaah personally kuwa, jiponye nafsi yako na ya watoto wako. Simama na tetea HAKI ya MUNGU na utaokoka...!!
sasa kama umehamia kwenye kuhubiri injili kwa kutishia watu kana kwamba Mungu ni wako pekeyako, si ukafungue kanisa tu gentleman?🤣
Sio hivyo. Umekosea kuelewa..?

Na nasikitika tu kuwa kumbe hata hujui dhana nzima ya "Kuhubiri Injili ya Kristo". Injili ni habari njema juu ya HAKI YA MUNGU na AMANI KWA WATU WOTE...

Yeyote asimamae na kusema na kutenda yaliyo ya haki, huyo ni mhubiri wa Injili ya Kristo. Huhitaji kuwa na kanisa au msikiti ili uihubiri na kuitenda haki...

Tundu Lissu na CHADEMA na wengine wafananao nao ni wahubiri wa injili ya haki kwa watu wote maana HAKI ni Mungu kwa kuwa yeye ni MUNGU wa HAKI...

Nyie vipi? Si kwamba mnaikana na kuipinga HAKI? Mnadhani sehemu yenu stahiki ni wapi..?
kwamba kuzuia uchaguzi ndio haki na kupiga kura ni ubatili, right?🤣
Absolutely, ni tendo la HAKI 100%....!!!

Only if, uchaguzi na mchakato wake wote kunakoambatana na tendo la upigaji kura na kutangaza washindi katika uchaguzi huo kunafanyika ktk namna ya udanganyifu na ku - manipulate watu ili kupendelea wasio HAKI watwae madaraka na mamlaka ya kuwatwala watu kiujanja ujanja...

Ukipinga uonevu huu, ubaya huu, uchafu huu, uvunjifu wa taratibu na haki kwa namna hii, utakuwa unafanya tendo takatifu la haki na Mungu Jehovah atakuwa upande wako...!

Je, hivi si ndivyo ilivyo sasa ktk Tanzania hii? Au bado unaleta ubishi tu tukupe na data (takwimu) za unajisi wa haki dhidi ya watanzania kunakofanywa na watawala wa CCM..?

Hiyo ndiyo tofauti yangu mimi na wewe...
 
Wakuu mambo vipi?

Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea

Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao

And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua

Possibly wakaja kustuka wakati it's too late

Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
NI WENYE NCHI TUU. TUMECHOKA NA MACCM
 
Alishaaga !lakini kwenye Uzi wa mwisho was "usaliti wa jemadari wa marekani" aliandika taarifa zinatoka juu na kurudi chini!!ndio hiyo operation PJLK japo hatujui ipoje!! Desert mission labda ndio mission ya nchi kavu huku Tanganyika hatujui labda ndio hiyo ya kuzuia uchaguzi hatujui!!

Japo Kuna baadhi ya wajuvi nao wanahisi kwamba mgombea mwenza ndie mpangokazi wa hao jamaa the state!!

Kwenye maono inaonekana nyota itokayo Brazil ikawa kubwa sana na kung'aa kama jua Sasa hatujui kama nyota hiyo ndio mgombea mwenza ambaye alikua balozi huko Brazil!
Inawezekana kabisa na ninadhani ni bora ifanyike hivyo.

Hili taifa wa kuliokoa na kulinda rasilimali zake ni hao jamaa wakiamua kufuata maslahi na ustawi wa taifa hata wakimtumia TAL kama ni kwa maslahi mapana ya taifa ni sawa. Wasiwasi wangu ni je mzee wa msoga si miongoni mwa hao deep state? Uwepo wa msoga utafifisha sana kuliokoa taifa kwani anavyoonekana hana kabisa uchungu na taifa bali maslahi yake binafsi na famila yake au watu wa mtandao wake.

Tumia akili ni kweli aliaga na ni kama last seen yake ina zaidi ya mwaka au miaka miwili nadhani deep state wana cha kufanya kuliokoa taifa ambalo linataka kuwa mali ya watu fulani fulani tu wakutokea Ccm, ukiwa upande wa opposition unachukuliwa kama si raia halali wa nchi hii.
 
Wakuu mambo vipi?

Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea

Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao

And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua

Possibly wakaja kustuka wakati it's too late

Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
Matahila wa ccm hawakosi sababu za kukataa ukweli wa kujuwa kuwa wananchi wamechako wizi wa kura sasa wanasema tugawane mbao tu .
 
No...

Mungu Yehova ni baba yetu wote.

Ni Mungu wako, ni Mungu wangu ni Mungu wa wale wengine wote..

Tofauti ni kuwa huyu Mungu Yehova, ana watoto wa aina mbili:

1. Watukutu, wezi, wenye kiburi na watovu wa nidhamu na wasiofuata maagizo yake, wanaoonea wengine, mafisadi na wanaonajisi na waporaji wa haki za wengine (hawa ni nyie CCM/watawala)...

2. Wanaonewa, kunyanyaswa, kutekwa, kupotezwa na kuuwawa; kuporwa haki zao na yafananayo na hayo lakini hawainui mikono yao kupigana na wadhalimu na watesi wao (hao ni sisi wananchi wa kawaida)

#Makundi yote haya mawili ya watoto hawa wa Mungu yatapata HAKI ya hukumu stahili kila moja. Kundi la kwanza lipata hukumu ya adhabu. Na kundi la pili litapata thawabu ya uzima wa milele. Ili kundi la kwanza lijiponye, ndiyo maana nikakuambia wewe Tlaatlaah personally kuwa, jiponye nafsi yako na ya watoto wako. Simama na tetea HAKI ya MUNGU na utaokoka...!!

Sio hivyo. Umekosea kuelewa..?

Na nasikitika tu kuwa kumbe hata hujui dhana nzima ya "Kuhubiri Injili ya Kristo". Injili ni habari njema juu ya HAKI YA MUNGU na AMANI KWA WATU WOTE...

Yeyote asimamae na kusema na kutenda yaliyo ya haki, huyo ni mhubiri wa Injili ya Kristo. Huhitaji kuwa na kanisa au msikiti ili uihubiri na kuitenda haki...

Tundu Lissu na CHADEMA na wengine wafananao nao ni wahubiri wa injili ya haki kwa watu wote maana HAKI ni Mungu kwa kuwa yeye ni MUNGU wa HAKI...

Nyie vipi? Si kwamba mnaikana na kuipinga HAKI? Mnadhani sehemu yenu stahiki ni wapi..?

Absolutely, ni tendo la HAKI 100%....!!!

Only if, uchaguzi na mchakato wake wote kunakoambatana na tendo la upigaji kura na kutangaza washindi katika uchaguzi huo kunafanyika ktk namna ya udanganyifu na ku - manipulate watu ili kupendelea wasio HAKI watwae madaraka na mamlaka ya kuwatwala watu kiujanja ujanja...

Ukipinga uonevu huu, ubaya huu, uchafu huu, uvunjifu wa taratibu na haki kwa namna hii, utakuwa unafanya tendo takatifu la haki na Mungu Jehovah atakuwa upande wako...!

Je, hivi si ndivyo ilivyo sasa ktk Tanzania hii? Au bado unaleta ubishi tu tukupe na data (takwimu) za unajisi wa haki dhidi ya watanzania kunakofanywa na watawala wa CCM..?

Hiyo ndiyo tofauti yangu mimi na wewe...
Gentleman,
ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu, ndio mimi mtumishi mchapakazi wa wananchi, naweza kueleza ukweli mtupu kwa ujasiri bila woga wala aibu na bila kuchoka wala kutegemea ushirikina kama wengine bali kwa uwezo wa Mungu pekee,

na kwahivyo,
siwezi kubabaika wala kunyamaza hata kidogo, bali kwa bidii zaidi nitaendelea kucreate awereness kwa wananchi na kusaidia kadiri niwezavyo kuwanusuru na utapeli wa pesa zao, uhuru na haki zao za kikatiba dhidi ya upotoshaji wa vibaka wa kisiasa nchini 🐒
 
Weka ukweli wako hapa, eleza "ukweli wako wote mtupu" ili tuupime na kwa hakika tutajua kuwa ni ukweli au manipulation tu..

Si imeandikwa "mtawatambua kwa matendo yao?". Je, matendo ya CCM si yako dhahiri shahiri yakiwa yanapingana na neema ya Mungu unayoitamka kwa mdomo wako sasa...?

Sikiliza bwana: Hata shetani hujigeuza na kujifanananisha na malaika wa nuru ili kuhadaa watoto wa Mungu kabla haja - strike na kuua...!

That's who you are...

Ofkoz, you can keep barking kwa kadiri uwezavyo...

Speaking rightiousness and truth na propganda za uongo ni vitu viwili tofauti..

Wewe Tlaatlaah ni mtu mwenye ufahamu na uelewa mdogo sana. Lakini kikubwa zaidi ni kuwa you can't embrace HAKI. Na huu ndio udhaifu wako mkubwa na utakuja kukuangamiza na si kukufanikisha...!!

Kwa hiyo, ni kweli hakuna wa kukunyamazisha isipokuwa majira na nyakati za kukunyamazisha automatic zitawaidia na utanyamaza kimya na kusema moyoni mwako, LOOH, KUMBE I WAS STUPID...

Wito wangu: Simama, tetea na tenda yaliyo ya haki daima na Mungu atakuinua na kukukweza...!!
 
Weka ukweli wako hapa, eleza "ukweli wako wote mtupu" ili tuupime na kwa hakika tutajua kuwa ni ukweli au manipulation tu..

Si imeandikwa "mtawatambua kwa matendo yao?". Je, matendo ya CCM si yako dhahiri shahiri yakiwa yanapingana na neema ya Mungu unayoitamka kwa mdomo wako sasa...?

Sikiliza bwana: Hata shetani hujigeuza na kujifanananisha na malaika wa nuru ili kuhadaa watoto wa Mungu kabla haja - strike na kuua...!

That's who you are...

Of keep barking all the way...

Hakuna wa kukunyamazisha isipokuwa majira na nyakati za kukunyamazisha automatic zitawaidia...

Wito wangu: Simama, tetea na tenda yaliyo ya haki daima na Mungu atakuinua na kukukweza...!!
Gentleman,
ukweli ni kwamba no reform no elections ni useless slogan, nonsense strategy, null and void agenda, yenye lengo la kuwatapeli na kurubuni uhuru na haki za kikatiba za wananchi ikiwa ni pamoja na kushiriki kikamilifu uchaguzi Mkuu wa October.

Na ni ukweli usio na kificho,
kwamba viongozi wa no reform no elections ni matapeli na vibaka wa kisiasa nchini Tanzania 🐒
 
Back
Top Bottom