Mimi Kwa uelewa wangu japo sijui ni sahihi au sio sahihi;-
Mtia Nia alipewa jukumu la kuanzisha mchakato was katiba mpya yaani aitishe Bunge la katiba!!ye akapuuza hilo na akajiona anazo means za kuzuia hilo Ili apate kushinda Tena kiti kwa katiba ya sasa!!
Akajaribu ku manipulate upinzani na so called nusu mkate ambao ungefanikiwa kupitia Mbowe kushinda uenyekiti hapo chadema!!
Sasa basi,waliompa maagizo mtia Nia na wao wakakwamisha mpangokazi wake kwa kuhakikisha Lisu anashinda uenyekiti baada ya Lisu kushinda ndio wanamtumia Lisu ili azuie uchaguzi na uchaguzi ukishazuiaw Ina maana chama changu kitapoteza Dola Kwa ukomo wa muda na nchi kuongozwa na idara hadi reforms zikamilike ndio uchaguzi ufanyike!!
Waliompa maagizo wametupa sisi ccm mlango wa kutokea kama mtego ili tuahirishe uchaguzi Hadi reforms zifanyike na hapo kwenye reforms ndipo kizungumkuti kilipo!coz hatujui idea imelenga Nini hasa na Hadi Sasa hiyo code not decoded!
Wametupa option ya kuongeza muda wa Bungee baada ya kuona tunahaha sana na kauli za Lisu zilizotushika pabaya!!
Na hii imetokana na shingonzetu ngumu za sisi makada kutosikiliza idara yaani waliotipa madaraka wanataka nini na wao wanataka kutuonesha kwamba wanatumudu na wanaweza Fanya lolote kama maagizo Yao yasippfuatwa!!
Vifo vya makada viongozi wa Chama waliochaguliwa na wengine kupotea na wengine kukutwa wamekatwa mapanga vinaashiria Kuna idara isioonekana IPO mzigoni!Sasa hatujui ni ni kitajiri kama Hali ikiendelea kuwa hivi ilivyo!!
Kama tukilazimisha kinyume na matakwa yao wale jamaa walishamuonya kama mchakato wa katiba mpya hautoanza mwaka 2022 ni Rasmi mtia Nia itakua "too late kwake"
Hii too late ndio hayo mapicha picha tunayoyaona na mengine yapo loading yatakuja!!
Naamini Bado tuna KAZI ya kupigana na idara na sio upinzaninwa chadema kama makada wenzangunwaliowengi wawazavyo!!
No mawazo yangu huru hayo!!Yaani kufuatilia kwangu maandiko ya humu kumenipa hiyo tafakuri!!!