Tumeishakuelewa wewe Chadema mpya imekuchanganya na Bado!Kuna siku mtanielewa
Tumeishakuelewa wewe Chadema mpya imekuchanganya na Bado!Kuna siku mtanielewa
Maandishi yako yanaonyesha auamini kwenye utendaji wa Lissu?kusema kua kuna mtu mkubwa anasukuma ajenda na No Reform No Election na kusema kua Huyo mtu ndo alifanya Mbowe Asichaguliwe
Lissu ana misimamo yake na ushawishi mkubwa sana wala hategemei mtu mkubwa kufanya Mambo yake Uwezo wake ndo uliomfikisha hapo alipo
Mtaje naniUnamjua ambae alimtoa lissu tegeta na kumpeleka ubalozini wakati anataka kukamatwa?
Ni kweli, ila hoja zake kuhusu uchafu katika chaguzi za Tanzania ni za dhahiri.Lissu ni kibaraka wa mabeberu, na wanataka kumtumia kuichafua amani ya Tanzania, na inawezekana anajua kuwa anatumiwa vibaya, au hajui.
Rudisha hii nyara Gombe fasta, huna kibali ujue acha kuisambaza mxiiiuuu.
No reform no electionLisu ni mfano wa maneno ya Donald trump
Aliyesema diaspora warudi kwao wakapambanie uhuru wa nchi zao
Mabeberu hawatumii mtu asie na hela, beberu si mjingaLissu ni kibaraka wa mabeberu, na wanataka kumtumia kuichafua amani ya Tanzania, na inawezekana anajua kuwa anatumiwa vibaya, au hajui.
Mimi Kwa uelewa wangu japo sijui ni sahihi au sio sahihi;-
Mtia Nia alipewa jukumu la kuanzisha mchakato was katiba mpya yaani aitishe Bunge la katiba!!ye akapuuza hilo na akajiona anazo means za kuzuia hilo Ili apate kushinda Tena kiti kwa katiba ya sasa!!
Akajaribu ku manipulate upinzani na so called nusu mkate ambao ungefanikiwa kupitia Mbowe kushinda uenyekiti hapo chadema!!
Sasa basi,waliompa maagizo mtia Nia na wao wakakwamisha mpangokazi wake kwa kuhakikisha Lisu anashinda uenyekiti baada ya Lisu kushinda ndio wanamtumia Lisu ili azuie uchaguzi na uchaguzi ukishazuiaw Ina maana chama changu kitapoteza Dola Kwa ukomo wa muda na nchi kuongozwa na idara hadi reforms zikamilike ndio uchaguzi ufanyike!!
Waliompa maagizo wametupa sisi ccm mlango wa kutokea kama mtego ili tuahirishe uchaguzi Hadi reforms zifanyike na hapo kwenye reforms ndipo kizungumkuti kilipo!coz hatujui idea imelenga Nini hasa na Hadi Sasa hiyo code not decoded!
Wametupa option ya kuongeza muda wa Bungee baada ya kuona tunahaha sana na kauli za Lisu zilizotushika pabaya!!
Na hii imetokana na shingonzetu ngumu za sisi makada kutosikiliza idara yaani waliotipa madaraka wanataka nini na wao wanataka kutuonesha kwamba wanatumudu na wanaweza Fanya lolote kama maagizo Yao yasippfuatwa!!
Vifo vya makada viongozi wa Chama waliochaguliwa na wengine kupotea na wengine kukutwa wamekatwa mapanga vinaashiria Kuna idara isioonekana IPO mzigoni!Sasa hatujui ni ni kitajiri kama Hali ikiendelea kuwa hivi ilivyo!!
Kama tukilazimisha kinyume na matakwa yao wale jamaa walishamuonya kama mchakato wa katiba mpya hautoanza mwaka 2022 ni Rasmi mtia Nia itakua "too late kwake"
Hii too late ndio hayo mapicha picha tunayoyaona na mengine yapo loading yatakuja!!
Naamini Bado tuna KAZI ya kupigana na idara na sio upinzaninwa chadema kama makada wenzangunwaliowengi wawazavyo!!
No mawazo yangu huru hayo!!Yaani kufuatilia kwangu maandiko ya humu kumenipa hiyo tafakuri!!!
Alitoka na kwenda Mwenyewe baada ya kuwazidi timing Usalama, usitake kulera porojo zako hapaUnamjua ambae alimtoa lissu tegeta na kumpeleka ubalozini wakati anataka kukamatwa?
Wakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Flani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao
And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua
Possibly wakaja kustuka wakati it's too late
Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewher
Nadhani tungeanzia kwenye point kwamba je,wanachokiongea kina mantiki?Wakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Flani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao
And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua
Possibly wakaja kustuka wakati it's too late
Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
Nadhani tungeanzia kwenye point kwamba je,wanachokiongea kina mantiki?
suala la mkubwa kuwa nyuma yao lije baadaye.
nashauri tujifunze kuamini kwamba watu wana fikira binafsi na wanauwezo wa kuzisimamia.
Mimi binafsi ninawaelewa,Lisu na Heche,nami kama mtanzania mzalendo nasema NO REFORMS NO ELECTION
kiongoz mkubwa anaeshauri watu wapewe ng'ombe wawili wawili ndo nchi ikue kiuchumi😅😅😅. Watu wengine ni takataka kama wakipewa madaraka kwasababu hawana akili kiasi hicho ambacho wakiwa wapinzani wanaonekana wapo nayoLissu Na Heche Ndiyo Viongozi Wakubwa Sana Tanzania
Mh.Lisu na Heche wamekuja kwetu sisi watanzania na wote wenye fikra huru tumewaelewa,Hoja Zina mashiko sana,
Na sio chadema tu hata ccm wenyewe wanatamani kuwe na mabadiliko,
Ila unajua kwa nini hawawezi kusemea huko kwao?
Unajua wanaogopa nini?
Jongwe aliwahi kuongea bungeni kuwa wabunge wa CCM waache kuwatuma wabunge wa chadema kwenda kuongea ishu zao,
So kuna watu wengi ambao hiko anachokifanya lissu ndio ombi lao la kila siku, ila je Wana sehemu ya kusemea?
So I'm very sure Hao watu wapo karibu na Rais so wanasikia kinachopangwa huko na wanaenda kuuza mechi
Ndivyo ilivyolipotiwa hivyoUlikuwepo au Umesimuliwa?
Wewe umewahi kushauri nini?kiongoz mkubwa anaeshauri watu wapewe ng'ombe wawili wawili ndo nchi ikue kiuchumi😅😅😅. Watu wengine ni takataka kama wakipewa madaraka kwasababu hawana akili kiasi hicho ambacho wakiwa wapinzani wanaonekana wapo nayo