KORESHI mana
Senior Member
- Nov 29, 2024
- 186
- 269
Mimi sina hata chama, ila kiukweli ukisikiliza hoja za mheshimiwa, kushinda ajipange sana, ntakua wa-kwanza kuwapigia kura chama kikuu cha upinzani, ikiwa tu wataacha siasa mihemko au siasa balehe. Uwezo wakushinda huenda wanao, ila kinachowaponza ni hicho.Sawa na wewe ni chawa promax.
Kila mtu ashinde mechi zake.