PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hilo wazo katoa PM au nimetoa mm? Au unanifanisha na PM? Naona umetoka kweny msing wa hoja yangu ya viability ya ng'ombe wawili wawili
ok,ok,nikuulize swali hili,ipi bora kufunga ng'ombe wawili wa maziwa,na kushinda kwenye vibanda vya kubeti ni kipi kina manufaa kwa uchumi wa nchi?
 
ok,ok,nikuulize swali hili,ipi bora kufunga ng'ombe wawili wa maziwa,na kushinda kwenye vibanda vya kubeti ni kipi kina manufaa kwa uchumi wa nchi?
Alichokisema ni UTOPIAN yaan hakitekelezeki na kinafelisha uchumi. Duuh unacompare matatizo badala ya kuja na solutions. Tz kuendelea ni ndoto aisee kama unaowategemea mawazo ndo yale na bado kuna watu wanaunga mkono
 
Wakuu mambo vipi?

Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea

Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao

And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua

Possibly wakaja kustuka wakati it's too late

Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
Mstaaf aliyekataa kustaafu
 
Lissu hana cha kupoteza because hawez kuwa Rais na anajua hilo

Hawezi kupata wabunge wa kuunda serikali na anajua hilo

Hana lolote la kupoteza

Ila kwa Ile confidence ya matamko yao,

Serikali inabidi ijipange before it's too late

Lazima kuna mtu mkubwa sana, anasimamia show, and no wonder huyo mtu ndio amepambana mbowe asichaguliwe
Na siasa ndiyo ilivyo
 
Alichokisema ni UTOPIAN yaan hakitekelezeki na kinafelisha uchumi. Duuh unacompare matatizo badala ya kuja na solutions. Tz kuendelea ni ndoto aisee kama unaowategemea mawazo ndo yale na bado kuna watu wanaunga mkono
Tumeishawastukia,hamdanganyi mtu tena,miaka 64 ya uhuru bado tupo hivi mnatudanganya na amani,utadhani hata huko Botswana ambako kuna amani mnatawala ninyi.
Hoja ya kufuga inamtoa mwananchi kwenye umaskini uliopitiliza wa kusaidiwa na TASAF angalau kupata mlo wa siku.
Kiufupi tusio na maslahi kupitia umaskini wa watanzania tumeelewa na tunaunga mkono.
 
Wakuu mambo vipi?

Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea

Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao

And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua

Possibly wakaja kustuka wakati it's too late

Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
Kama ni kwa maslahi ya TAIFA huo upango usukwe tu
 
Mimi sina hata chama, ila kiukweli ukisikiliza hoja za mheshimiwa, kushinda ajipange sana, ntakua wa-kwanza kuwapigia kura chama kikuu cha upinzani, ikiwa tu wataacha siasa mihemko au siasa balehe. Uwezo wakushinda huenda wanao, ila kinachowaponza ni hicho.
Watashindaje bila reforms?
 
Back
Top Bottom