Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
- Thread starter
- #21
Mwanamke kama hana hisia na wewe in first place hana tuSio kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke kama hana hisia na wewe in first place hana tuSio kweli.
Hatuna mazoea kihivyo, ila kuna siku tuko kwenye party akaja mwenyewe kuomba kukaa na mimi! hapo tulipiga sana story ila baada ya hapo akaendelea na umbuzi wake yani,Una mazoea nae ya namna yoyote ile????.
Vijana wanahangaika sanaAlafu mahusiano hayanaga master
Punguza ustaarabu sana chief..kwa haraka ndio ushauri wanguHatuna mazoea kihivyo, ila kuna siku tuko kwenye party akaja mwenyewe kuomba kukaa na mimi! hapo tulipiga sana story ila baada ya hapo akaendelea na umbuzi wake yani,
Huyu Dada anajua kuninyoosha si mchezo.
Rudia kusoma.Mwanamke kama hana hisia na wewe in first place hana tu
Msichana akikuambia muwe marafiki kwanza huyo ni bonge la demu ,mstaarabu asiye gawa ovyo ,unaweza kumuamini kama unataka mahusiano imara nae yadumu mda mrefu msingi wa urafiki Ni mzuri tofauti na msichana mmejuana tu tayari ghetoni romance kavua chupi msichana wa hivyo ajithamini Kipimo chake ni kumpa mwanaume amwingile na kutoa yote akiamini ndio atapendwa mwanaume akilala mbele akija mwanaume yeye kuvua chupi kama kunywa maji ,wasichana wanaojitambua hujua wanaume hupenda kupima oil hivyo akikuambia muanze kama tafiki anakupima.kama.wewe mpima oil au una malengo mazuri naeKAtika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari
Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye
Na hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka
Mwanaume ukiwmbiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia
Nimewasilisha
Hapana sio siku hiyo baada ya miez minne na kuendeleaBado point yako haina uzito maana leo hii ukimtongoza mwanamke akakubali cku hiyo hyo watasema huyo malaya/kahaba sijui nini sasa tuwe upande gani binafsi naona bado tu weupe sanaa kwenye maswala ya mahusiano
Literally yes
Hapa ni kama mchezaji amedondoka ndani ya box , hapo ni kulalamika tuuh refa akupe penalty
Ni kweli kwa muda ule hujamvutia.
Ila wakati mwingine ukitoa nafasi ya urafiki anaweza badili mtazamo ukamvutia, hasa akikutana na sifa fulani nzuri ulizonazo.
Sahii kabisa,Ni nadra sana kwa mwanamke kubadilisha mtizamo wake wa mara ya kwanza
Sahii kabisa,Kumtongoza mwanamke ni process inayohitaji kuzingatia vitu vingi na moja wapo ni uwezo wako wa ku predict outcomes before making a move.
Yan kuna mamzingira unapaswa kujua kabisa hapa kwa namna yoyote ile the answer will be no..na kuna mazingira unaweza kutengeneza ili ku guarantee a Yes as an answer
Huyo usitongoze, tengeneza mazingira umle kwanza, baada ya kumla,yeye ndo ataomba umtongoze Wewe,Mimi kuna mchepuko mmoja, sijui naanza kumtongozea wapi.
Akikutana na mimi anakuwa Serious kupita maelezo yani.
Sijui ni uoga ama vipi!!
Tatizo la wanawake,Sio kweli. Si kila mwanamke anatongozwa haraka.
Mara nyingi akisema hivyo ni hataki kukupoteza. Akikwambia sikutaki ni kwamba utapotea hutokuwa karibu nae naye hataki hilo litokee. Na wakati huo huenda anataka apime kama utamfaa ama laah.
So ni rahisi akiona humfai kabisa wakati mko friend mkabaki friend. Bt ukimfaa mnasogea hatua nyingine.
Ukikubali urafiki wewe endelea kumjali na kuweka ukaribu nae usimtongoze tongoze tena mara mbili mbili. Utakuja shtuka tu mnaanza kuitana babe.[emoji23][emoji23]