Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

KAtika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari

Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye

Na hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka

Mwanaume ukiwmbiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia
Nimewasilisha
Msichana akikuambia muwe marafiki kwanza huyo ni bonge la demu ,mstaarabu asiye gawa ovyo ,unaweza kumuamini kama unataka mahusiano imara nae yadumu mda mrefu msingi wa urafiki Ni mzuri tofauti na msichana mmejuana tu tayari ghetoni romance kavua chupi msichana wa hivyo ajithamini Kipimo chake ni kumpa mwanaume amwingile na kutoa yote akiamini ndio atapendwa mwanaume akilala mbele akija mwanaume yeye kuvua chupi kama kunywa maji ,wasichana wanaojitambua hujua wanaume hupenda kupima oil hivyo akikuambia muanze kama tafiki anakupima.kama.wewe mpima oil au una malengo mazuri nae
 
Screenshot_20230524-165833851.png


Mfano huyu kishanimwaga
 
Bado point yako haina uzito maana leo hii ukimtongoza mwanamke akakubali cku hiyo hyo watasema huyo malaya/kahaba sijui nini sasa tuwe upande gani binafsi naona bado tu weupe sanaa kwenye maswala ya mahusiano
Hapana sio siku hiyo baada ya miez minne na kuendelea
 
Ni kweli kwa muda ule hujamvutia.

Ila wakati mwingine ukitoa nafasi ya urafiki anaweza badili mtazamo ukamvutia, hasa akikutana na sifa fulani nzuri ulizonazo.

Achana na hizo porojo mkuu,

Penzi la kweli huwa Ni at first sight

Hayo ya kukupenda baadae jua ni unavumiliwa TU kwa sababu nyngn nyngn anazojua zinamfaidisha mwanamke mwnyw.

Usikubali kutumika, utaishia kupata sonona kwa kulazimisha penzi usikopendwa.
 
Ni nadra sana kwa mwanamke kubadilisha mtizamo wake wa mara ya kwanza
Sahii kabisa,
Ukimng'ang'ania sn ndo ile unakua msindikizaji Kwny mahusiano ya watu.

Unamhonga nae anamhonga yule ampendae,

achana kbs na mwanamke asieyekupenda

Otherwise nawe umefata Mbususu TU.

Binafs mwanamke niliemtaman TU hata asiponipenda sawa TU,ili mradi Papa anipatie[emoji4]
 
Kumtongoza mwanamke ni process inayohitaji kuzingatia vitu vingi na moja wapo ni uwezo wako wa ku predict outcomes before making a move.
Yan kuna mamzingira unapaswa kujua kabisa hapa kwa namna yoyote ile the answer will be no..na kuna mazingira unaweza kutengeneza ili ku guarantee a Yes as an answer
Sahii kabisa,
Binafs siwez kumtongoza mwanamke ambae najua direct Ni atanikataa,

nikishaona redflag za kunikataa hata sisemi chochote nampotezea kimya kimya.

Mpk nmetamka nishajiridhisha ntakubaliwa.

Zaid Zaid nikiwa na mashaka nae sn
Ntafanya nimle Kwanza afu kumtongoza kutafata baada ya kulalana tuzingumze muafaka ukoje baada ya zinaa tuliyoifanya.
 
Mimi kuna mchepuko mmoja, sijui naanza kumtongozea wapi.
Akikutana na mimi anakuwa Serious kupita maelezo yani.
Sijui ni uoga ama vipi!!
Huyo usitongoze, tengeneza mazingira umle kwanza, baada ya kumla,yeye ndo ataomba umtongoze Wewe,

Wanawake walioserius sana ukienda kichwa kichwa kumtongoza anakukataa live na kwa aibu sn, Kisha anakuchukia na uking'ang'ania sn anaweza kukudhalilisha.
 
Sio kweli. Si kila mwanamke anatongozwa haraka.

Mara nyingi akisema hivyo ni hataki kukupoteza. Akikwambia sikutaki ni kwamba utapotea hutokuwa karibu nae naye hataki hilo litokee. Na wakati huo huenda anataka apime kama utamfaa ama laah.

So ni rahisi akiona humfai kabisa wakati mko friend mkabaki friend. Bt ukimfaa mnasogea hatua nyingine.

Ukikubali urafiki wewe endelea kumjali na kuweka ukaribu nae usimtongoze tongoze tena mara mbili mbili. Utakuja shtuka tu mnaanza kuitana babe.[emoji23][emoji23]
Tatizo la wanawake,
Wakishajua ulishawatongoza
Hata ukiwa rafki yake haitosaidia

Chochote kizur na chema utakachofanya kwake atajua unajipendekeza TU kuskilizia jibu lake

Hata Kama Alikua anakuheshimu,hakuombi chochote,

Atabadilika ghafla,
ukimkwaza kdg anaropoka TU,
ataanza kukupiga vizinga bila aibu maana anajua unamtaka,hutochomoa.

You are ready to do anything for her

TAFSIRI YA WANAWAKE KWA MWANAUME ANAYEMPENDA KWELI SIO MISIMAMO

NI mwanaume aliyetayar KUFANYA chochote kwa ajili yake ili Kutetea penzi lake.

Hata Kama hapendi,Hana uwezo au kinadhalilisha utu wake, atafanya TU for the sake of love.

Mwanaume unayejitambua thamani yako, huwez kuruhusu huo Upuuzi eti mtu achezee hisia zako na kupotezeana muda.
 
Back
Top Bottom