Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?

Wabongo washazoea kuchambana... So wengi watamuunga mkono Dr. Tulia. Lakini aliyoulizwa ni ya kawaida.
Kwa wadadisi wa mambo over-reaction yake inaweza kuchukuliwa kama cover-up ya motives behind the scene ambazo zilisababisha wauliza maswali wayaulize!
 



Kaka paskali

Hivi tunaweza kusema mtu flan anaweza kuwa Rais wa inchi just because anaweza kujibu hoja?

Kwani pale Mh tulia amejibu Hoja au ametoa maelezo ya kilichotokea mpaka akashindwa kwenda Ukraine

Au it's because ameongea mbele ya wazungu?
 
Kwa sasa hivi nchi kama nchi kwa walio⁷ko kwenye uongozi hatuna mwanamke anayeweza kuwa Rais. Huyu aliyepo mwenyewe ni tiatia mayi seuse hao wengine! Labda tukachukue kwenye taasisi za kimataifa au za research! Wakimleta hapa Prof. Makene naweza kuwaelewa! Tulia hana uwezo huo!
 
Ila Pascal una mihemuko sana, huo uwezo aliouonesha Tulia ndio upi? Wa kufoka foka?

Kuongoza nchi ni zaidi ya uwezo wa kufoka foka, please!
Hajakosea Pascal,kufokafoka ndio kuonyesha msisitizo kwa kiingereza,Dr Yuko vizuri sana huko,Sasa uwezo huo ndio anapaswa akubali kujadili kwenye Bunge lake katiba mpya na kuhusu watu wanatekwa na kuuwawa wengine, hapo nitamuona hasukumwi na mihemko!
 
Yule alikuwa mahiri sana. ccm na Tanzania watu mahiri hawatakiwi
Ukiwa mahiri utatengenezewa skendo ya kukuondoa kwenye track na kuharibu reputation uliyokuwa nayo !!
Kisha humo ndio watu kama yule jamaa wa Arusha huwa wanapewa vyeo kwa Kazi nzuri iliyotukuka ya kumdhalilisha Waliyekuwa wakimuogopa kwa umahiri wa kujenga hoja !!
Humo Chamani ndivyo tunavoishi !
 
Naungana na wewe kabisa kuwa Dr. Tulia aliweza kuongea kama vile.
 
Uwezo upi?
1. Alivyopaniki badala ya kujibu hoja kwa utulivu IPU?

2. NI kweli wewe ni mwandishi mkongwe uliyeshindwa kuuchambua udhaifu akioonyesha Tulia?

3. Je uongozi ni kupayuka?

4. Je uongozi sio mchanganyiko wa busara, utulivu, ukomavu kifikra na hekima?...je Tulia anazo sifa hizo?

5. Kuna spika anabemenda bunge kama Tulia?

6. Je kuna spika Tulia ameonyesha ukomavu gani kuwaongiza wabunge kuisimania serikali badala yake amekuwa chawa wa rais?

Waza upya umekurupuka
 
Garbage in garbage out!
 
Pascall, inchi yetu hii hajafikiwa level ya kuongoza mwanamke, kuongoza, kwa sbb ya mifumo mibovu ya utungaji sheria, inchi kama marekani ni rahisi kuongoza mwanamke, kule hata jiwe linaongoza inchi ile kwa sbb mifumo yao ya kisheria ipo vzr.
Dr. Tulia ni mzuri sana ila anathiriwa na mifumo mibovu ya sheria zinazotungwa na ccm.
Hivyo basi inchi hii hata umuweke obama, hawezi kuongoza kwa mifumo mibovu ya sheria.
NB. Sheria plus utamaduni mzuri wa ujibikaji ndo kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…