Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?

Tulia Ackson ameharibu sana kwenye huo mkutano unomsifia. Yawezekana una sugar coat kwa ajili ya vibiashara vyako vya PPR na Ofisi ya Bunge lakini down kwenye ubongo wako unajua kabisa kwamba alichofanya Tulia ni UVUNDO.
In international diplomacy. Rule no 1. Never go bananas at the podium. In other words do not over react. Do not show your anger even when justified. Keep calm.

Jibu sahihi kwa uzoefu wangu lingekuwa simply

Regrettably President Zelenskys schedule made it difficult when I asked to visit. I look forward to visiting Ukraine at his earliest convenience.

Ila kutoa direct answers kwenye forums hizo ni hatari... you are always walking eggshells
Wabongo washazoea kuchambana... So wengi watamuunga mkono Dr. Tulia. Lakini aliyoulizwa ni ya kawaida.
Kwa wadadisi wa mambo over-reaction yake inaweza kuchukuliwa kama cover-up ya motives behind the scene ambazo zilisababisha wauliza maswali wayaulize!
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kuzungumzia uwezo wa wanawake kwenye lile "jambo letu lile", (naomba nisiliseme), ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe ni mwanamke, then mwanamke mwingine ni Dr.

Tulia Akson Mwansasu, ameonyesha uwezo, analiweza lile "jambo letu" hivyo kwenye bandiko hili nauliza, je tumchagize kwenye lile "jambo letu", kwasababu ambazo ziko obviously au tuache tuu mambo yaende hivyo hivyo yanavyopaswa kwenda, kama maji kufuata mkondo, kwa kuachia ule utaratibu wa kawaida wa mserereko hata kama ni bora liende, liende tuu?.

Angalizo: JF ni ukumbi wa wote, watoto, vijana, wakubwa na wazee, mimi ni mwandishi wa habari wa wote, nawaandikia watoto, vijana, wakubwa na wazee, ila pia kuna baadhi ya hoja ni za kikubwa, kwanza huwa zinapanda muda watoto wamelala hivyo huwa nawaandikia , wakubwa tuu na sio watoto, hivyo hili sio bandiko la watoto.

Namna ya kujipima kama wewe ni.mkubwa ama mtoto, ni ukijiona umesoma pale nilipoandika "jambo letu" ukijiona wewe unajiuliza hilo "jambo letu" ni jambo gani, basi ujijue tuu hili bandiko sio zaizi yako, okoa tuu muda wako, jiendee mabandiko mengine ya saizi yako.

Hapa ninauzungumzia huo uwezo mkubwa wa Dr. Tulia alionao na aliouonyesha hapo juzi kati, ni upi, kauonyeshea wapi na ana fiti vipi kwa lile "jambo letu lile"?.

Kwanini Dr. Tulia auonyeshee uwezo wake huo kule badala ya hapa nyumbani wakati ni jukumu la mhimili wake kuisimamia serikali yetu!, Je tumshinikize kwa Bunge letu kwanza li do the right thing, kuitekeleza ile hukumu ya Mahakama ya Rufaa, kuhusu ubatili wa katiba yetu na ubatili wa sheria zetu?, kwanini Bunge letu liendelee kututungia sheria batili zinazokwenda kinyume na katiba?.

Kitendo cha kumpa Rais wetu kuzisaini sheria batili kinyume cha katiba, kutakuja kutokea wabunge makini ambao watahitaji Ibara ya 46A ya katiba yetu itekelezwe, kwanini huu mhimili wetu wa Bunge utufanyie hivi wakati mhimili huu uko chini ya Mwanasheria nguli, mbobezi na mbobevu?.

Endelea kufuatana nami mdogo mdogo. ambapo Rais Samia japo anaitwa Mama, kwa umri wangu mimi ni Dada (mimi ni wa 60s) na Dr. Tulia, ni mdogo kwangu, hivyo mimi nawaita ni madada wawili, mtu na dada mtu, au mtu na dada yake, mmoja ni Dada Mkubwa , mwingine ni Dada Mdogo.

Mhimili Mkuu kabisa ni Serikali unaongozwa na Dada Mkubwa, mhimili wa pili kwa ukubwa ni Bunge, unaongozwa na Dada mdogo, tena almanusa na ule mhimili wa tatu, kama tusingepindisha katiba, CJ aendelee kinyume cha katiba, kwenye hierarchy ya mhimili ile, the most senior ilikuwa aingie Mwanamke!, hivyo tungekuwa chini ya madada watatu, "Three Sisters".

Kuhusu jambo letu, kwa vile mada ni kumhusu Dada Mdogo na uwezo wake kwenye lile jambo letu, sio vibaya nikiendelea kusisitiza kuwa hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Dada Mkubwa, tena wengi walimjua baada ya kukabidhiwa lile jambo baada ya lile tukio, lakini angalia akina sisi, tulianza nae wapi, au tulianza nae lini.

Dada Mkubwa tulimspoti tangu 2010 New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!

Kuna wengi wamemjua Dada Mkubwa baada ya kuwa..., hapa najikumbusha watu walimpoti lini na wakasema nini kuhusu 2025, tangu 2010, fifteen years back!.
Mtu kama huyu, leo anapomsifia Dada Mkubwa, mtu kumuita, chawa sio kumtendea haki!, ni sawa tuu na kama kumtukana!.

Wanabodi, hili ni bandiko la 2015, 9 years back, watu tulizungumzia jambo letu kumhusu Dada Mkubwa na tulisema kitu kuhusu 2025 ambacho ni cha kweli na huo ndio ukweli wenyewe.

Tulipoanza kulizungumzia jambo letu enzi zile na kujadili possibility ya mwanamke kuwa, aliyeibuka kinana ni Dada Mkubwa Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material? tulisema

Wanabodi, hili ni bandiko la 2015, 9 years back, watu tulizungumzia jambo letu kumhusu Dada Mkubwa na tulisema kitu kuhusu 2025 ambacho ni cha kweli na huo ndio ukweli wenyewe.

Yule Mwamba alipoingia (Blaza Wangu), tulimlaumu kuteua wanaume zaidi kwa hoja kuwa wanawake hawatoshi Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa! ila ukweli sio kweli kuwa wanawake hawatoshi, bali ni tatizo la mfumo dume ulioota mizizi kwenye jamii nyingi za kiasili za Kiafrika.

Mwaka 2017, pia nilizungumza jambo kumhusu Dada Mkubwa na 2025 Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” nilisema

April, 2020, nilisema tena kitu kumhusu Dada Mkubwa, na lile jambo letu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza nilisema

Hapa nilisema kitu kumhusu Dada Mkubwa na lile jambo letu.

Hivyo alipoingia, Dada Mkubwa akazungumzia jambo letu, nami nikaunga mkono kwa kushauri
Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! hapa nilieleza sii lazima awe Dada Mkubwa, bali yule aliyepangiwa, hivyo mpaka ninapoandika hapa, Mpangaji wa yote bado hajatuambia amempangia nani, kuweka posibili ya Dada Mdogo, hawa kwa kuzingatia HII kitu!, na ni kufuatia hiyo kitu, ndipo jina la Dada Mdogo, lilipoibuka!.

Paskali.

Kaka paskali

Hivi tunaweza kusema mtu flan anaweza kuwa Rais wa inchi just because anaweza kujibu hoja?

Kwani pale Mh tulia amejibu Hoja au ametoa maelezo ya kilichotokea mpaka akashindwa kwenda Ukraine

Au it's because ameongea mbele ya wazungu?
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kuzungumzia uwezo wa wanawake kwenye lile "jambo letu lile", (naomba nisiliseme), ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe ni mwanamke, then mwanamke mwingine ni Dr.

Tulia Akson Mwansasu, ameonyesha uwezo, analiweza lile "jambo letu" hivyo kwenye bandiko hili nauliza, je tumchagize kwenye lile "jambo letu", kwasababu ambazo ziko obviously au tuache tuu mambo yaende hivyo hivyo yanavyopaswa kwenda, kama maji kufuata mkondo, kwa kuachia ule utaratibu wa kawaida wa mserereko hata kama ni bora liende, liende tuu?.

Angalizo: JF ni ukumbi wa wote, watoto, vijana, wakubwa na wazee, mimi ni mwandishi wa habari wa wote, nawaandikia watoto, vijana, wakubwa na wazee, ila pia kuna baadhi ya hoja ni za kikubwa, kwanza huwa zinapanda muda watoto wamelala hivyo huwa nawaandikia , wakubwa tuu na sio watoto, hivyo hili sio bandiko la watoto.

Namna ya kujipima kama wewe ni.mkubwa ama mtoto, ni ukijiona umesoma pale nilipoandika "jambo letu" ukijiona wewe unajiuliza hilo "jambo letu" ni jambo gani, basi ujijue tuu hili bandiko sio zaizi yako, okoa tuu muda wako, jiendee mabandiko mengine ya saizi yako.

Hapa ninauzungumzia huo uwezo mkubwa wa Dr. Tulia alionao na aliouonyesha hapo juzi kati, ni upi, kauonyeshea wapi na ana fiti vipi kwa lile "jambo letu lile"?.

Kwanini Dr. Tulia auonyeshee uwezo wake huo kule badala ya hapa nyumbani wakati ni jukumu la mhimili wake kuisimamia serikali yetu!, Je tumshinikize kwa Bunge letu kwanza li do the right thing, kuitekeleza ile hukumu ya Mahakama ya Rufaa, kuhusu ubatili wa katiba yetu na ubatili wa sheria zetu?, kwanini Bunge letu liendelee kututungia sheria batili zinazokwenda kinyume na katiba?.

Kitendo cha kumpa Rais wetu kuzisaini sheria batili kinyume cha katiba, kutakuja kutokea wabunge makini ambao watahitaji Ibara ya 46A ya katiba yetu itekelezwe, kwanini huu mhimili wetu wa Bunge utufanyie hivi wakati mhimili huu uko chini ya Mwanasheria nguli, mbobezi na mbobevu?.

Endelea kufuatana nami mdogo mdogo. ambapo Rais Samia japo anaitwa Mama, kwa umri wangu mimi ni Dada (mimi ni wa 60s) na Dr. Tulia, ni mdogo kwangu, hivyo mimi nawaita ni madada wawili, mtu na dada mtu, au mtu na dada yake, mmoja ni Dada Mkubwa , mwingine ni Dada Mdogo.

Mhimili Mkuu kabisa ni Serikali unaongozwa na Dada Mkubwa, mhimili wa pili kwa ukubwa ni Bunge, unaongozwa na Dada mdogo, tena almanusa na ule mhimili wa tatu, kama tusingepindisha katiba, CJ aendelee kinyume cha katiba, kwenye hierarchy ya mhimili ile, the most senior ilikuwa aingie Mwanamke!, hivyo tungekuwa chini ya madada watatu, "Three Sisters".

Kuhusu jambo letu, kwa vile mada ni kumhusu Dada Mdogo na uwezo wake kwenye lile jambo letu, sio vibaya nikiendelea kusisitiza kuwa hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Dada Mkubwa, tena wengi walimjua baada ya kukabidhiwa lile jambo baada ya lile tukio, lakini angalia akina sisi, tulianza nae wapi, au tulianza nae lini.

Kili kitu kumhusu Dada Mkubwa na Dada Mdogo na Jambo letu zama deep hapa...
Mimi ni mtu wa mastori mastori, kwa wale wa short and clear unaweza kumruka Dada Mkubwa, uka jump kwa Dada Mdogo

Tuje kwa Dada Mdogo

Paskali
Kwa sasa hivi nchi kama nchi kwa walio⁷ko kwenye uongozi hatuna mwanamke anayeweza kuwa Rais. Huyu aliyepo mwenyewe ni tiatia mayi seuse hao wengine! Labda tukachukue kwenye taasisi za kimataifa au za research! Wakimleta hapa Prof. Makene naweza kuwaelewa! Tulia hana uwezo huo!
 
Ila Pascal una mihemuko sana, huo uwezo aliouonesha Tulia ndio upi? Wa kufoka foka?

Kuongoza nchi ni zaidi ya uwezo wa kufoka foka, please!
Hajakosea Pascal,kufokafoka ndio kuonyesha msisitizo kwa kiingereza,Dr Yuko vizuri sana huko,Sasa uwezo huo ndio anapaswa akubali kujadili kwenye Bunge lake katiba mpya na kuhusu watu wanatekwa na kuuwawa wengine, hapo nitamuona hasukumwi na mihemko!
 
Yule alikuwa mahiri sana. ccm na Tanzania watu mahiri hawatakiwi
Ukiwa mahiri utatengenezewa skendo ya kukuondoa kwenye track na kuharibu reputation uliyokuwa nayo !!
Kisha humo ndio watu kama yule jamaa wa Arusha huwa wanapewa vyeo kwa Kazi nzuri iliyotukuka ya kumdhalilisha Waliyekuwa wakimuogopa kwa umahiri wa kujenga hoja !!
Humo Chamani ndivyo tunavoishi !
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kuzungumzia uwezo wa wanawake kwenye lile "jambo letu lile", (naomba nisiliseme), ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe ni mwanamke, then mwanamke mwingine ni Dr.

Tulia Akson Mwansasu, ameonyesha uwezo, analiweza lile "jambo letu" hivyo kwenye bandiko hili nauliza, je tumchagize kwenye lile "jambo letu", kwasababu ambazo ziko obviously au tuache tuu mambo yaende hivyo hivyo yanavyopaswa kwenda, kama maji kufuata mkondo, kwa kuachia ule utaratibu wa kawaida wa mserereko hata kama ni bora liende, liende tuu?.

Angalizo: JF ni ukumbi wa wote, watoto, vijana, wakubwa na wazee, mimi ni mwandishi wa habari wa wote, nawaandikia watoto, vijana, wakubwa na wazee, ila pia kuna baadhi ya hoja ni za kikubwa, kwanza huwa zinapanda muda watoto wamelala hivyo huwa nawaandikia , wakubwa tuu na sio watoto, hivyo hili sio bandiko la watoto.

Namna ya kujipima kama wewe ni.mkubwa ama mtoto, ni ukijiona umesoma pale nilipoandika "jambo letu" ukijiona wewe unajiuliza hilo "jambo letu" ni jambo gani, basi ujijue tuu hili bandiko sio zaizi yako, okoa tuu muda wako, jiendee mabandiko mengine ya saizi yako.

Hapa ninauzungumzia huo uwezo mkubwa wa Dr. Tulia alionao na aliouonyesha hapo juzi kati, ni upi, kauonyeshea wapi na ana fiti vipi kwa lile "jambo letu lile"?.

Kwanini Dr. Tulia auonyeshee uwezo wake huo kule badala ya hapa nyumbani wakati ni jukumu la mhimili wake kuisimamia serikali yetu!, Je tumshinikize kwa Bunge letu kwanza li do the right thing, kuitekeleza ile hukumu ya Mahakama ya Rufaa, kuhusu ubatili wa katiba yetu na ubatili wa sheria zetu?, kwanini Bunge letu liendelee kututungia sheria batili zinazokwenda kinyume na katiba?.

Kitendo cha kumpa Rais wetu kuzisaini sheria batili kinyume cha katiba, kutakuja kutokea wabunge makini ambao watahitaji Ibara ya 46A ya katiba yetu itekelezwe, kwanini huu mhimili wetu wa Bunge utufanyie hivi wakati mhimili huu uko chini ya Mwanasheria nguli, mbobezi na mbobevu?.

Endelea kufuatana nami mdogo mdogo. ambapo Rais Samia japo anaitwa Mama, kwa umri wangu mimi ni Dada (mimi ni wa 60s) na Dr. Tulia, ni mdogo kwangu, hivyo mimi nawaita ni madada wawili, mtu na dada mtu, au mtu na dada yake, mmoja ni Dada Mkubwa , mwingine ni Dada Mdogo.

Mhimili Mkuu kabisa ni Serikali unaongozwa na Dada Mkubwa, mhimili wa pili kwa ukubwa ni Bunge, unaongozwa na Dada mdogo, tena almanusa na ule mhimili wa tatu, kama tusingepindisha katiba, CJ aendelee kinyume cha katiba, kwenye hierarchy ya mhimili ile, the most senior ilikuwa aingie Mwanamke!, hivyo tungekuwa chini ya madada watatu, "Three Sisters".

Kuhusu jambo letu, kwa vile mada ni kumhusu Dada Mdogo na uwezo wake kwenye lile jambo letu, sio vibaya nikiendelea kusisitiza kuwa hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Dada Mkubwa, tena wengi walimjua baada ya kukabidhiwa lile jambo baada ya lile tukio, lakini angalia akina sisi, tulianza nae wapi, au tulianza nae lini.

Kili kitu kumhusu Dada Mkubwa na Dada Mdogo na Jambo letu zama deep hapa...
Mimi ni mtu wa mastori mastori, kwa wale wa short and clear unaweza kumruka Dada Mkubwa, uka jump kwa Dada Mdogo

Tuje kwa Dada Mdogo ambaye ndiye mwenye Bandiko lake.
Naomba kuanza na declaration of Interest,
Dada Mdogo ni mwalimu wangu wa sheria, mwaka wa kwanza UDSM, somo letu la kwanza, hivyo naomba usijekuonekana hapa ni mwanafunzi anampigia promo mwalimu wake ili ndio awe yeye kwenye lile jambo letu!. No!, hapa ni meritis, facts na hoja.

Kujifagilia rukhsa!, mimi ndie mtu wa kwanza kutangaza humu jf kuwa Dada Mdogo atakuwa Spika wetu Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... humo nilisema

Hivyo, ilipojitokeza fursa ya U Spika, nilisema Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa? na Dr. Tulia alipoukwaa Uspika, hatukumkopesha nilisema Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

Alipoingia akaanza moto wake Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi
Akaendelea kuwasha
Pamoja na mazuri yake yote, Dr. Tulia pia ni binadamu, anaweza kukosoea, hivyo alipokosea kwenye madudu ya IGA ya DPW na bandari zetu, tulimpaka "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

Mazuri yake, yameendelea na Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria? na alipoukwaa urais wa IPU ndio funga kazi, juzi kati ndio kafunga kazi.

Hitimisho.
Dada Mdogo ameonyesha uwezo kuwa anaweza na kweli anaweza, kwa vile kwenye lile jambo letu, tumeamua twende na mwanamke, mnaonaje Dada Mkubwa akiamua kumpisha na kumuachia Dada Mdogo lile jambo letu?.

Jumamosi Njema
Paskali
Naungana na wewe kabisa kuwa Dr. Tulia aliweza kuongea kama vile.
 
Uwezo upi?
1. Alivyopaniki badala ya kujibu hoja kwa utulivu IPU?

2. NI kweli wewe ni mwandishi mkongwe uliyeshindwa kuuchambua udhaifu akioonyesha Tulia?

3. Je uongozi ni kupayuka?

4. Je uongozi sio mchanganyiko wa busara, utulivu, ukomavu kifikra na hekima?...je Tulia anazo sifa hizo?

5. Kuna spika anabemenda bunge kama Tulia?

6. Je kuna spika Tulia ameonyesha ukomavu gani kuwaongiza wabunge kuisimania serikali badala yake amekuwa chawa wa rais?

Waza upya umekurupuka
 
Ukiwa mahiri utatengenezewa skendo ya kukuondoa kwenye track na kuharibu reputation uliyokuwa nayo !!
Kisha humo ndio watu kama yule jamaa wa Arusha huwa wanapewa vyeo kwa Kazi nzuri iliyotukuka ya kumdhalilisha Waliyekuwa wakimuogopa kwa umahiri wa kujenga hoja !!
Humo Chamani ndivyo tunavoishi !
Garbage in garbage out!
 
Pascall, inchi yetu hii hajafikiwa level ya kuongoza mwanamke, kuongoza, kwa sbb ya mifumo mibovu ya utungaji sheria, inchi kama marekani ni rahisi kuongoza mwanamke, kule hata jiwe linaongoza inchi ile kwa sbb mifumo yao ya kisheria ipo vzr.
Dr. Tulia ni mzuri sana ila anathiriwa na mifumo mibovu ya sheria zinazotungwa na ccm.
Hivyo basi inchi hii hata umuweke obama, hawezi kuongoza kwa mifumo mibovu ya sheria.
NB. Sheria plus utamaduni mzuri wa ujibikaji ndo kila kitu.
 
Back
Top Bottom