Ukimuua huyu nyoka kama wewe ni mchimbaji fukia hilo duara rudi kijijijini ukalime

We deal na mambo ya tech haya tuachie wengine
Ni kwamba unapotosha watu, na nikuache na mtazamo wako kuwa mimi mshenzi, mtoto wa single maza nk

Lakini hakuna uhusiano wa nyoka na kuwaka madini kwenye shaft alilofikia huyo nyoka labda kama mtu wa mambo ya kiroho alishughulikia (duara) husika...

Pia hatufahamiani kwa hiyo jikite kwenye mada yako, punguza kufanya assumptions kuhusiana na mimi, na nikueleze tu hayo mambo ya madini unayasemea, mimi nayafahamu vizuri sana, sidhani kama kuna kitu utanidanganya kuhusu madini...
 
Huyu si nyoka pundamilia?
Niliwahi mkuta mtoni kule oljoro jeshini na nikamuua
 
Mbona nilimuua na wala sina duara la zahabu aliingia chumbani kwangu mke wangu akanipigia nikaenda nikampa bakora moja tu kwisha kazi.
 
Kama naamua kumuacha hai ni kwa huruma yangu tu na vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…