UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

Waliulizwa Kuna watu wamepona Aids hao watalam wao wadai eti ni rare cases kutokana na Sijui magroup ya damu Sijui Nini.. yaani uongo hauna maisha jaman. Utaanguka TU. Only truth shall remain Permanently
 
Haya mambo ya figo ni kumuomba Mungu! Kuna mama mmoja figo zake zote mbili zimefeli! Mungu atunusuru.

Akitoka kufanyiwa Kidney dialysis anachoka vibaya!

Sababu yeye mwenyewe anasema alikuwa anataka kupungua kwa sababu ni mnene, mazoezi yalimshinda hivyo akaamua kumeza vidonge vya kupunguza uzito. Hivyo yeye ikawa ni mwendo wa kubwia tu ili apungue.

Kama hauna hela huo ugonjwa unakufa mapema Mungu atunusuru. Huwa anapumzika sana zikizidi siku 2 anapelekwa tena hospitalini.
 
Alaf wengne wanachukia uwembamba eboooooooo!!!! Hebu nitembee kifua mbele na wembamba wangu.
 
Yaani mule mule Mkuu!

Mimi mara ya mwisho kuumwa ni 2013 kama sikosei, tena yalikuwa ni Malaria niliyapata Chuo.

Nashukuru Mungu, baada ya hapo sijaumwa mpaka leo.

Licha ya kula chakula kizuri pia ni mtumiaji mkubwa wa asali. Asali inasaidia sana kusafisha damu. Huwa nakunywa kikombe kimoja kidogo kwa asubuhi na wakati wa kulala.

Halikadhalika ni mtumiaji wa vitunguu swaumu. Sikuwa najua kumne navyo vinasaidia kuongeza kinga ya mwili. Binafsi nilikuwa nazitumia kwa lengo la kusaidia mmeng'enyo wa chakula. Kumbe zina faida kubwa sana.
 
Alaf wengne wanachukia uwembamba eboooooooo!!!! Hebu nitembee kifua mbele na wembamba wangu.
Hawajui tu!

Uwembamba ndiyo mwili unaopiganiwa duniani, ndiyo mwili mzuri.

Ila usiwe mwembamba sana! Uwe ile uwembamba wa kawaida.

Nina kawaida ya kufanya medical check up mwanzoni mwa mwaka na mwisho wa mwaka ni ratiba yangu.

Nipo miongoni mwa watu ambao si mwembamba wala si mnene! Nipo kati kwa kati.

Nikapima uzito nikamuuliza daktari vipi hapo kilo yangu?

Akaniambia baki hapo hapo! Miili kama yenu inatafutwa sana duniani!
 
Waliulizwa Kuna watu wamepona Aids hao watalam wao wadai eti ni rare cases kutokana na Sijui magroup ya damu Sijui Nini.. yaani uongo hauna maisha jaman. Utaanguka TU. Only truth shall remain Permanently
Hao madaktari nimeamua kutowafuatilia. Nimeamua kula sahani moja na wanasayansi na kile nilichokishuhudia mwenyewe kwa akili yangu pasipo kushurutishwa.
 
Imagine umekwenda mwisho wa mwaka na ukajikuta una sukari,cancer au moyo mkubwa,what will happen.Najaribu kufanya uone jinsi unachofanya kilivyo cha hatari,na jinsi walivyokunasa kwenye mkakati wao wa hatari.Naomba uwaze kwa kina,you are not doing the right thing.
 
Mkuu unaweza kunifundisha karate nipige na misamba?
 
Kuna ndugu yangu ana ngoma hatumii dawa na ukimuona huwezi kuamini.
Kila mara anabwia tu asali.
 
Kama ni hivyo miaka ile kabla ya ARV watu walikonda sana na kufariki sana kwa HIV ila baada ya ARV mbona hatuoni ile hali ya watu kuumwa sana na kukonda sana
 
Mfuatilie mada zake kuhusiana na huo ugonjwa,ila siku hizi kapotea,zaidi ya mwaka mmoja sijamuona sijui atakuwa amefagiliwa na huo ugonjwa,maana yake alikua hivi hivi anasema UKIMWI haupo,inaonekana alikua ni mtu wa dry sana
tusaidie kuupandisha hapa huo uzi wake tuwekee link tumsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…