FRANCIS DA DON unashangaa!
Sikuwahi kumnyanyapaa mshikaji hata mara moja!
Kama awali tulivyokuwa washikaji kabla ya kugundua ana Ukimwi ndivyo nilivyobaki kuwa vilevile hata baada ya kugundua ana Ukimwi.
Tulikuwa tunamsindikiza kuchukua dawa zao kipindi cha nyuma tukiwa watatu, yeye na sisi washikaji zake wawili.
Akawa anakula msosi fresh! Baadaye kaenda kupima akawa hana Ukimwi. Tangu 2016 mpaka sasa hivi mshikaji akipima hana Ukimwi na hatumii dawa.
Sasa hivi anakula vizuri na anaendelea na mazoezi yake ya boxing.