UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

FRANCIS DA DON unashangaa!

Sikuwahi kumnyanyapaa mshikaji hata mara moja!

Kama awali tulivyokuwa washikaji kabla ya kugundua ana Ukimwi ndivyo nilivyobaki kuwa vilevile hata baada ya kugundua ana Ukimwi.

Tulikuwa tunamsindikiza kuchukua dawa zao kipindi cha nyuma tukiwa watatu, yeye na sisi washikaji zake wawili.

Akawa anakula msosi fresh! Baadaye kaenda kupima akawa hana Ukimwi. Tangu 2016 mpaka sasa hivi mshikaji akipima hana Ukimwi na hatumii dawa.

Sasa hivi anakula vizuri na anaendelea na mazoezi yake ya boxing.
Waliulizwa Kuna watu wamepona Aids hao watalam wao wadai eti ni rare cases kutokana na Sijui magroup ya damu Sijui Nini.. yaani uongo hauna maisha jaman. Utaanguka TU. Only truth shall remain Permanently
 
Lakini utaanzishiwa ARV mapema. Sawa na mtu wa BP. Alaf mkuu ni Jana nilitoka kumweleza Mama Mmoja anaejitia mzungu pori kwamba Bahati mbaya miili ya binadamu Figo zao hazikuumbwa kuchuja sumu za dawa za Kila siku so ikilemewa zinafail Mungu angekuwa ameziumba Kwa ajili hiyo angeziwekea nguvu zisingekuwa zinafail Kwa kula madonge Kila siku.
Haya mambo ya figo ni kumuomba Mungu! Kuna mama mmoja figo zake zote mbili zimefeli! Mungu atunusuru.

Akitoka kufanyiwa Kidney dialysis anachoka vibaya!

Sababu yeye mwenyewe anasema alikuwa anataka kupungua kwa sababu ni mnene, mazoezi yalimshinda hivyo akaamua kumeza vidonge vya kupunguza uzito. Hivyo yeye ikawa ni mwendo wa kubwia tu ili apungue.

Kama hauna hela huo ugonjwa unakufa mapema Mungu atunusuru. Huwa anapumzika sana zikizidi siku 2 anapelekwa tena hospitalini.
 
Alaf wengne wanachukia uwembamba eboooooooo!!!! Hebu nitembee kifua mbele na wembamba wangu.
 
Yan mkuu kupotea Njia sio kosa ukiwa unatembea mahala kosa linakuja unaendelea kwenda huku unasema oooh nimeshapotea Wacha niendelee tuu Huko mbele Nimeshachanganya maana wanasema ivi na vile bla bla bla .... bila hata Kufanya intense analysis.
Janabi (prof) nimemsikia Kwa maskio yangu akisema Milo tunayokula Ina mambo mawili tuu.. kuwapa nguvu askari wanaotulinda au kuwapa maadai nguvu. Na hii ni Kwa Wote sio wenye ukimwi Wala ukoma au wazima.
Yaani mule mule Mkuu!

Mimi mara ya mwisho kuumwa ni 2013 kama sikosei, tena yalikuwa ni Malaria niliyapata Chuo.

Nashukuru Mungu, baada ya hapo sijaumwa mpaka leo.

Licha ya kula chakula kizuri pia ni mtumiaji mkubwa wa asali. Asali inasaidia sana kusafisha damu. Huwa nakunywa kikombe kimoja kidogo kwa asubuhi na wakati wa kulala.

Halikadhalika ni mtumiaji wa vitunguu swaumu. Sikuwa najua kumne navyo vinasaidia kuongeza kinga ya mwili. Binafsi nilikuwa nazitumia kwa lengo la kusaidia mmeng'enyo wa chakula. Kumbe zina faida kubwa sana.
 
Alaf wengne wanachukia uwembamba eboooooooo!!!! Hebu nitembee kifua mbele na wembamba wangu.
Hawajui tu!

Uwembamba ndiyo mwili unaopiganiwa duniani, ndiyo mwili mzuri.

Ila usiwe mwembamba sana! Uwe ile uwembamba wa kawaida.

Nina kawaida ya kufanya medical check up mwanzoni mwa mwaka na mwisho wa mwaka ni ratiba yangu.

Nipo miongoni mwa watu ambao si mwembamba wala si mnene! Nipo kati kwa kati.

Nikapima uzito nikamuuliza daktari vipi hapo kilo yangu?

Akaniambia baki hapo hapo! Miili kama yenu inatafutwa sana duniani!
 
Waliulizwa Kuna watu wamepona Aids hao watalam wao wadai eti ni rare cases kutokana na Sijui magroup ya damu Sijui Nini.. yaani uongo hauna maisha jaman. Utaanguka TU. Only truth shall remain Permanently
Hao madaktari nimeamua kutowafuatilia. Nimeamua kula sahani moja na wanasayansi na kile nilichokishuhudia mwenyewe kwa akili yangu pasipo kushurutishwa.
 
Hawajui tu!

Uwembamba ndiyo mwili unaopiganiwa duniani, ndiyo mwili mzuri.

Ila usiwe mwembamba sana! Uwe ile uwembamba wa kawaida.

Nina kawaida ya kufanya medical check up mwanzoni mwa mwaka na mwisho wa mwaka ni ratiba yangu.

Nipo miongoni mwa watu ambao si mwembamba wala si mnene! Nipo kati kwa kati.

Nikapima uzito nikamuuliza daktari vipi hapo kilo yangu?

Akaniambia baki hapo hapo! Miili kama yenu inatafutwa sana duniani!
Imagine umekwenda mwisho wa mwaka na ukajikuta una sukari,cancer au moyo mkubwa,what will happen.Najaribu kufanya uone jinsi unachofanya kilivyo cha hatari,na jinsi walivyokunasa kwenye mkakati wao wa hatari.Naomba uwaze kwa kina,you are not doing the right thing.
 
Mimi huwa siamini haya mambo ya Ukimwi.

Kuna mshikaji wangu mmoja alizaliwa nao, alikuwa anakula fresh na dawa akawa anatumia tena tulikuwa tunamsindikiza na baadaye aliacha kutumia dawa.

Mshikaji mpaka sasa hivi akipima hana Ukimwi na hatumii madawa. Anakula vizuri anafanya mazoezi na kwa sasa hivi ana training boxing.

Ana mwili mzuri na wenye afya! Na ana nguvu hatari! Nilikuwa na training naye!

Yeye ni mtu wa boxing mimi ni na training karate (shaolinj kempo).
Mkuu unaweza kunifundisha karate nipige na misamba?
 
Yaani mule mule Mkuu!

Mimi mara ya mwisho kuumwa ni 2013 kama sikosei, tena yalikuwa ni Malaria niliyapata Chuo.

Nashukuru Mungu, baada ya hapo sijaumwa mpaka leo.

Licha ya kula chakula kizuri pia ni mtumiaji mkubwa wa asali. Asali inasaidia sana kusafisha damu. Huwa nakunywa kikombe kimoja kidogo kwa asubuhi na wakati wa kulala.

Halikadhalika ni mtumiaji wa vitunguu swaumu. Sikuwa najua kumne navyo vinasaidia kuongeza kinga ya mwili. Binafsi nilikuwa nazitumia kwa lengo la kusaidia mmeng'enyo wa chakula. Kumbe zina faida kubwa sana.
Kuna ndugu yangu ana ngoma hatumii dawa na ukimuona huwezi kuamini.
Kila mara anabwia tu asali.
 
Madaktari wote wanajua!!!!!, kama unabisha muite daktari yeyote hapa jukwaani unaemjua, aje hapa, nipo namsubiri, aje abishee!!! Tatizo wako underspecific instructions kuhakikisha mashudu ya ARV yanaliwa kwa wingi kuliko chakula lishe. Then baadae wanakuuzia figo kwa milioni 200…..

ARV hazitibu Ukimwi , wala hazipandishi kinga ya mwili, bali for sure, zinaleta kidney na liver failure, na hiki ndicho huua waathirika…, uliza daktari yeyote, halafu rudi hapa akishakupa majibu, nakusubiri!!
Kama ni hivyo miaka ile kabla ya ARV watu walikonda sana na kufariki sana kwa HIV ila baada ya ARV mbona hatuoni ile hali ya watu kuumwa sana na kukonda sana
 
Mfuatilie mada zake kuhusiana na huo ugonjwa,ila siku hizi kapotea,zaidi ya mwaka mmoja sijamuona sijui atakuwa amefagiliwa na huo ugonjwa,maana yake alikua hivi hivi anasema UKIMWI haupo,inaonekana alikua ni mtu wa dry sana
tusaidie kuupandisha hapa huo uzi wake tuwekee link tumsome
 
Back
Top Bottom