Naenda na tone yake boss ili afunguke sababu zinazomfanya aamini HIV ni uongo huenda tukajifunza kitu. Watu kama hawa huwa napenda kujadiliana nao, wakati wote mnaenda kulia yeye anaenda kushoto. Inafurahisha kujua kwann wamechagua kuwa tofauti na dunia πMkuu unajibu kwa experience na uelewa et..?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Sawa sema hapo umekubaliana nae kuwa kuna dawa za kufubaza ukimwi hii ni kweli..?Naenda na tone yake boss ili afunguke sababu zinazomfanya aamini HIV ni uongo huenda tukajifunza kitu. Watu kama hawa huwa napenda kujadiliana nao, wakati wote mnaenda kulia yeye anaenda kushoto. Inafurahisha kujua kwann wamechagua kuwa tofauti na dunia π
Anaongelea antiretroviral, twende taratibu boss ili tujifunze kwake.π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Sawa sema hapo umekubaliana nae kuwa kuna dawa za kufubaza ukimwi hii ni kweli..?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa nimeconclude ni wa form 7 au form 4Jibu maswali yafuatayo;
Kuna vipimo hospitali vyenye uwezo wa kuona virusi?
Kama kuna dawa ya kufubaza virusi kwann hakuna dawa ya kutibu ukimwi?
π€£π€£π€£π€£πππ Mi ajajibu swali langu... Hivo akijibu nahisi utajua unadeal nae vipi.. isije ikawa una bishana na mtu ambaye tayari ameaminishwa kitu fulani...Anaongelea antiretroviral, twende taratibu boss ili tujifunze kwake.
Hao tumekutana nao sna makazini mwisho wa siku wanakuja na kutuomba msamahaNaenda na tone yake boss ili afunguke sababu zinazomfanya aamini HIV ni uongo huenda tukajifunza kitu. Watu kama hawa huwa napenda kujadiliana nao, wakati wote mnaenda kulia yeye anaenda kushoto. Inafurahisha kujua kwann wamechagua kuwa tofauti na dunia [emoji2]
Yaaas that why nikasema wee upo na fact sana.. maana unadeal na hao watu na unajua yapi yanawasibu all in all napenda uendelee kutupa somo zaidi kuhusu ARVsHao tumekutana nao sna makazini mwisho wa siku wanakuja na kutuomba msamaha
Wakati huo CD4 zipo very low
Walikua wanatukebehi na kusema yeye ataomba kanisani tu hatatumia ARVs
Wanaaanza ARVs ikiwa too late wanakaribia kupata AIDS
Si ndo tutajua alichoaminishwa boss. Wala hata hakuna ubishi mkubwa, ni kueleweshana. Duniani kuna watu wenye mtazamo kama wake ambao wanaamini hiv haisababishi AIDS, na hiv ilikuwepo na watu waliishi nayo bila matatizo. Ngoja nikupe mfano wa article chache kuhusu hili.π€£π€£π€£π€£πππ Mi ajajibu swali langu... Hivo akijibu nahisi utajua unadeal nae vipi.. isije ikawa una bishana na mtu ambaye tayari ameaminishwa kitu fulani...
Ngoja aje na hoja yake.....nitaendelea........Yaaas that why nikasema wee upo na fact sana.. maana unadeal na hao watu na unajua yapi yanawasibu all in all napenda uendelee kutupa somo zaidi kuhusu ARVs
Nimeipata mkuu nashukuru pia ππ tapitia kwa makini zaidi.. ili nijue mpaka mtu anabisha inakuaje..Si ndo tutajua alichoaminishwa boss. Wala hata hakuna ubishi mkubwa, ni kueleweshana. Duniani kuna watu wenye mtazamo kama wake ambao wanaamini hiv haisababishi AIDS, na hiv ilikuwepo na watu waliishi nayo bila matatizo. Ngoja nikupe mfano wa article chache kuhusu hili.
Kabisa mkuuNimeipata mkuu nashukuru pia ππ tapitia kwa makini zaidi.. ili nijue mpaka mtu anabisha inakuaje..
Duuh....!!!Ngoja aje na hoja yake.....nitaendelea........
Mimi siwezi kukubaliana na mtu anaesema HIV ni sawa sawa na malaria , au bora malaria inatesa ..big no
Na no hard feeling kwa ndugu zangu HIV candidates just naongea uhalisia kwa uwelewa wangu
Kwa mfano mdogo tu kutumia dozi ya mseto tu au panadol basi unaomba umalize
Je kutumia ARVs in all your life
Then namuuliza why ukitaka kuanzishiwa ARVs procedures inatutaka mtu apimwe LFT and RFT ( liver function test and renal fuction test ) ingawa asilimia ya 99% mahospital hawafanyi hivyo???
Muhimu aje atujuze.......ila kama mpaka mastaa wakizungu wenye hela zao wanasumbuliwa na HIV akina charlie sheenNimeipata mkuu nashukuru pia [emoji120][emoji120] tapitia kwa makini zaidi.. ili nijue mpaka mtu anabisha inakuaje..
Daaaah yaan mda wote huu nilikua najua hili gonjwa ngozi nyeupe hawana.. au virusi vimetofautiana makali...?Muhimu aje atujuze.......ila kama mpaka mastaa wakizungu wenye hela zao wanasumbuliwa na HIV akina charlie sheen
Then useme ni fix wangekua tayar wameshatoa nusu ya utajiri wao nakuondoa tatizo
Nishahudumia wazungu wengi wenye hili tatizo na wanatumia ARVs vizur sna ila sio hizi za kwetu zinazitoka india
Duuh haya mambo yanawenyewe alafu wenyewe sasa ndio kama wewe ani umeelezea full.... An sijui anatokaje huyu jamaaaπππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa nimeconclude ni wa form 7 au form 4
Haya maswali yako ni ya biology ya form 4
Anyway hakuna kipimo kinachoweza kuona kirusi bali kipimo kinatumia mechanism ya immunoeassy means....kinauwezo wa ku detect antibody against HIV virus
Yaani akiingia HIV virus mwilini mwako mwili una respond na kuzalisha antibody against antigen(HIV virus)
Hizo antibody haziwezi kuzalishwa na mwili mpaka pale tu iwe ni HIV virus kaingia
Kama utasema hivyo hata hivyo vipimo vyengine vya H-pylori, mrdt for malaria , homa ya ini huwezi kuona parasite au bacteria husika kwaiyo navyo havikubaliki?
Pili imekua ni ngumu kupata dawa inayotibu HIV sabbu ya mechanism ya virus in multiplication wanachofanya wanatumia cells zko to make their millions copy
Na hua ukiwa attack wanajificha in periferal organs zako(liver,kidney ) na kua dormant kwa mda then wanarudi tena thats why mtu akiwa anatumia dawa vzur kila sku basi hivi vimelea vinapotea kwenye blood circulation ndo maana tukumchukua mtu huyu damu kwa ajili ya kupima VRL tunakuta inasoma TND (target not detected) means no virus detected ila haimanishi tayar amekua HIV negative
Ni kwamba havipo tu kwenye circulation
Kuanzia leo basi ondoa hilo wazoDaaaah yaan mda wote huu nilikua najua hili gonjwa ngozi nyeupe hawana.. au virusi vimetofautiana makali...?
Nishaondoa mkuu πππππKuanzia leo basi ondoa hilo wazo
Wazungu wengi huwezi kuwatambua sababu wanajua how they supposed to live with HIVNishaondoa mkuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Oky hapo sasa naanza kupata concept.. hivo generally kwa mtoto aliezaliwa na HIV imekaaje hyo baada ya miaka kumi na kuendelea ana uwezekano wa kufeli ini na figo..?Wazungu wengi huwezi kuwatambua sababu wanajua how they supposed to live with HIV
Na wana what it takes.....to make them live so comfortable with it
Wanakula vizur
Hawana kazi nzito
Wanafanya mazoez vzur
Wanapumzika vzur
Wanatumia ARVs first class kwa kufata maelekezo yote waliopewa kwa ufasaha kabisa
Hawana stress za maisha
Wana world class checkup za kila mwezi kuanzia LFT, RFT, etc in managing the drug toxicity
So huwezi mkuta mzungu kachoka kwa HIV kwa sabbu hizo
Hata hapa wapo watu wenye HIV wakiwa na hizo qualities wanadunda.....ila ni wachache
Mara nyingi wengi wanafeli kwenye check up za ini na figo thats why after 10+ years za matumizi ya ARVs figo au ini zinafeli