Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Eti ni kweli Bosi (Bill Gates) huwa hanuniwi sababu ya kutegemea misaada [emoji848][emoji847]''Ataleta Dawa inayozuia Ukimwi Afrika'' inashangaza kwakweli....means kuna sababu moja kati ya hizi:-
1) Ukimwi upo tu Afrika
2) Ukimwi wa Afrika ni special na haufanani na wa mabara mengine
3) Kuna wagonjwa/waathirika wengi zaidi wa UKIMWI barani Afrika kuliko kwingine
Halafu tumefurahia na kukenua meno kuanzia Rais
Tuna Ujinga mkubwa sana watu wa bara hili.
Sijasema lazima lazima mtumiaji wa ARVs kwa miaka 10+ anafeli figoOky hapo sasa naanza kupata concept.. hivo generally kwa mtoto aliezaliwa na HIV imekaaje hyo baada ya miaka kumi na kuendelea ana uwezekano wa kufeli ini na figo..?
Sawa mkuu hapo umesemea kama chance ya kupata hayo magonjwa sio..?Sijasema lazima lazima mtumiaji wa ARVs kwa miaka 10+ anafeli figo
Big nooooooooooooooooooooo
Kweli mkuu maana inashangaza kua bado kenya wanamkaribisha na kilichowakuta watoto wao wakike juu ya HPV vaccineEti ni kweli Bosi (Bill Gates) huwa hanuniwi sababu ya kutegemea misaada [emoji848][emoji847]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwamba ndiyo maelekezo anayoyapata toka ktk ulimwengu ule [emoji848][emoji3526]Dawa sio ya kuponyesha ni ya kudhibiti
Alaf huyu jamaa na virus hajambo
Huyu billgates najiuliza sijui ni muabudia shetani au ndo shetani wenyewe (lucifer ) ila sisi hatujui maana....Kwamba ndiyo maelekezo anayoyapata toka ktk ulimwengu ule [emoji848][emoji3526]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hatarii sanaaaHuyu billgates najiuliza sijui ni muabudia shetani au ndo shetani wenyewe (lucifer ) ila sisi hatujui maana....
Aaah...! Nikiwaza yule Ke alivyokuwa akimfanyia Mumewe mwenye kisukari huwa naumia sana...[emoji24]Sikia nikwambie kama haushi kwenye hizi jamii basi jifunze, ndoa zina siri sana utakuta Baba hajiwezi kama ni kisukari Mama anamhudumia tu tumewaona wengi tu
[emoji1787] JF sihami ng'oo [emoji3]Acha kujitia ujuaji wewe mgawa vidonge. Unatumia vipimo vilivyosetiwa na magwiji wa porojo halafu wewe unajitia kujua? Unajua nn wewe? Kuna kipi ulichowahi kugundua ewe mgawa vidonge uliyejipachoka jina la daktari??
Dunia ina mambo mengi sana hii hasa kwa hao wenzetu wenye ukwasi, ingawa wapo pia ambao Mungu kawabariki directly.Huyu billgates najiuliza sijui ni muabudia shetani au ndo shetani wenyewe (lucifer ) ila sisi hatujui maana....
Tulia mwanawane pata somo hapo. Sie wengine tunacheka tuu lakini hili la arv mie wala situmii na nadunda mwaka wa 22. Ni mwendo wa mazoezi na chakula tuuMzabzab unanicheka tuuu
Hii code nineshindwa kuelewa mkuuAaah...! Nikiwaza yule Ke alivyokuwa akimfanyia Mumewe mwenye kisukari huwa naumia sana...[emoji24]
Ilifikia hatua akawa anagongwa hovyo hovyo na vijana wadogo na wakati mwingine hadi hapo hapo kwake kwakweli Mungu aniepushie mbali na hiyo adha [emoji119][emoji26]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
πππππππ Huna hatia (ii) dig down tena.....Tulia mwanawane pata somo hapo. Sie wengine tunacheka tuu lakini hili la arv mie wala situmii na nadunda mwaka wa 22. Ni mwendo wa mazoezi na chakula tuu
Wala skupingi kwa hilo mkuuTulia mwanawane pata somo hapo. Sie wengine tunacheka tuu lakini hili la arv mie wala situmii na nadunda mwaka wa 22. Ni mwendo wa mazoezi na chakula tuu
Ni kweli mie kuna jamaa aliniambia yupo kwenye centre for aids research kwamba kama ukigundua mapema bado ni hiv tuu mbona unatwanga maisha bila arvs.Wala skupingi kwa hilo mkuu
Shida ungeanza then ukaacha tungekua tushakusahau tayar
Ila kama hujaanza dawa....unakua most infectious....yaan kumuambukiza mtu ni kugusa tu mkuuNi kweli mie kuna jamaa aliniambia yupo kwenye centre for aids research kwamba kama ukigundua mapema bado ni hiv tuu mbona unatwanga maisha bila arvs.
Pia akasema kuwa upo likely kupata ngoma kutoka kwa mke au gelofrend kuliko malaya sema ni vile tuu hawawezi kama serikali shauri watu wahamie kwa malaya ila ukweli ndio huo
Hapo sasa kwenye kuliko kwa malaya..ππππππNi kweli mie kuna jamaa aliniambia yupo kwenye centre for aids research kwamba kama ukigundua mapema bado ni hiv tuu mbona unatwanga maisha bila arvs.
Pia akasema kuwa upo likely kupata ngoma kutoka kwa mke au gelofrend kuliko malaya sema ni vile tuu hawawezi kama serikali shauri watu wahamie kwa malaya ila ukweli ndio huo
Kwani ukianza then ukaacha hapa inakuaje sijakupata mkuuWala skupingi kwa hilo mkuu
Shida ungeanza then ukaacha tungekua tushakusahau tayar
Ah sasa wee sii umeambukizwa wacha na wengine waambukizwe, ebwana hii biashara ya watu lazima arv ziuzike sasa watu wasipo uguwa ngoma wengine wakale wapi. Kufa kufaana jombaIla kama hujaanza dawa....unakua most infectious....yaan kumuambukiza mtu ni kugusa tu mkuu
Oh wenza ndio wanatupeleka kaburini mwenyewe aloyekuwa gelofrend wangu ndio kaniunganisha kwa grid. Bora ningeendeleaga na malaya tuuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Hapo sasa kwenye kuliko kwa malaya..ππππππ