UKIMWI upo ndugu zangu

Kwani wewe hapo una guarantee au unajua siku zako, sio kwamba ni muda wowote unaweza kufa? Ninaye shangazi yangu alikutwa na ngoma toka nikiwa primary ila mpaka leo bado yupo, huku ndugu kadhaa na uzima wao tulishawazika
Ni dhairi kupata ngoma si mara zote ni kufa, hii ni kama there is exception to every general rule
 
Sio kweli
Huyo mwenye virusi vya ukimwi anatumia dawa vizuri na kwa muda mrefu
Mwathilika wa vvu akitumia dawa muda mrefu anakuwa undetectable au untransmittable hawezi kumwambukiza mwingine means viral load through treatment cannot sexually transmit the virus to others.
Na yule mwenza wake ambae hana maambukizi ya VVU atatumia dawa ya PrEP kirefu chake ni Pre-exposure prophylaxis ni dawa za kupunguza makali ya VVU kwa watu wasio na VVU ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU.
Kwa hiyo hao wanaweza kushiliki tendo la ndoa bila wasiwasi wowote na watoto wakapata vizuri bila tatizo
 

kumbe! bas kuna raia alinipa hayo matango[emoji23] mi nikaishi nayo
 
UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.

Tuwe makini na wadada.
...UKIMWI umeishakuwa Maradhi ya Kawaida TU, mradi unafuata yanayotakiwa. Kuna ndugu yangu ana Mwaka wa 17 Sasa Toka aambiwe ana UKIMWI !
Hapo kati kati ndugu zetu kama Tisa hivi wameishafarikia Kwa malaria, Kwa kuharisha, Kwa Kisukari na Kwa homa TU!
Ajipe Moyo. UKIMWI umeishakuwa Ugonjwa wa Kawaida tuu, fuata Masharti...
 
nyie madogo wapumbavu kweli mimi
Miaka 3 nimekula wanawake 2 tu
Mama mwenye nyumba na First year niliyempata nikiwa second year
Na uhandsome niliweka uoga mbele nikawa naonekana mshamba
 
Hebu tupe kavideo tuone akimwaga chozi. Weka nakale kawimbo .. ukiona mtu mzimaaa..analia mbele za watu ujue kunajambo.
 
UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.

Tuwe makini na wadada.
Asijali dawa zipo ila anatakiwa awe na mpunga wa maana, na aende abroad.
Uliwahi kuona wapi virus akiwa modified na ikakosekana dawa yake?
wazungu wanatuchezea sana.
 
uyo apo ukute anajijua kama ameshaungua alitaka akupasie muwe saresare. jamaa wana roho mbaya kabisa.

apo angekuambukiza hlf kinachofata anajiliza kuwa wew ndo umemwambukiza ndo walivyo hao watu waivyo
 
[emoji478][emoji478]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…