UKIMWI upo ndugu zangu

Kuna mdada tulikuwa tumezoeana ila yy akiishi mkoa mwingine. Kuna wkt akanitembelea mkoa nilipo. Nakumbuka alikuja Ijumaa usiku na ilikuwa tushinde pamoja ile J'mosi hlf aondoke mapema J'pili. Sasa bwana mimi geto huwa nina vile vidude vyeupe vya kupimia ngoma. Kuna jamaa alinipaga[emoji38]

Sasa bidada kaja tu kabla ile mambo hayajawa mengi nikachomoa mavipimo mbele ya bibie tayari kwa upimaji. Nikaona kabisa bibie kapoteza nuru na uchangamfu wa mwanzo[emoji20][emoji2296]. Basi ile kugusisha tu chake kikachora mistari mara mbili waah waah! kuashiria tayari apa kuna moto. ila nkazuga sijapaniki.

daah apo bana pozi likapotea ukimya ukatanda mb.00 nayo ikarudi kujificha ndani kabisa uko kwenye korodani. cha ajabu bidada yey hakushtuka!

Usiku ukaisha kukakucha. Sasa bana mpango mzima wa sikuile ulikuwa tutumie ile Jmos yote kukanyagana ila sasa ndoivo mpango wenyewe umeshaingia luba maana hakuna kinacholika tena.

Ikabidi ile asbh na mapema ntafute pakwenda maana nilijua nikishinda pale nisijezalisha mengine.

Basi nkasepa na kurudi saa 5 usiku, nikamkuta bibie kalala nikamuamsha tukaenda bar ya mkesha. Tulikaa huko hadi J'pili asbh tukapita home kuchukua vitu vya bibie na kujiswafi tukapitiliza stendi akapanda basi zile za asbh akarudi kwao.

Siku ile nimerudi geto nimechoka vibaya kila kiungo cha mwili kinauma vibaya maana toka ile ijumaa baada ya yale majibu sikuwahi kupata usingizi kamwe. nmetoka stendi nikapitiliza geto nikatandika usingizi wa mwana nikome.
 
Kwann alienda kupima kwani aliumwa?
Unaambiwa kapimwa akiwa mzima wa afya hii thread imenishtua kidogo Kuna uwezekano watanzania wengi wakawa na maambukizi bila kujua zamani tulizoea kuona dalili za mwanzo ya HIV kama homa au Tb
 
Kuna mdada tulikuwa tumezoeana ila yy akiishi mkoa mwingine. Kuna wkt akanitembelea mkoa nilipo. Nakumbuka alikuja Ijumaa usiku na ilikuwa tushinde pamoja...
Hivyo vipimo vinasaidia sana ni vile tu watu hawana misimamo.. mwanamke kama hataki kupima achana naye kwasababu huyo haushindi naye muda wote so hujui amepitia mangapi.

Mimi mpaka Leo hii Nina Zaid ya wanawake wanne ambao nimeshuhudia kwenye vipimo wakiwa hawako vizuri na kabla ya kupima wanakuwa watata sana ila ukishapima mambo yanakua sio mazuri na wapo wengine wanakubali bila ubishi ila ukipima unakuta imooooo, kwaiyo usimwamini mtu bila kumpima mwenyewe......anza kumpima ndo muende hospital kuhakikisha rushwa IPO Kila sehemu, Kuna Dem ashawahi nizunguka Kwa dokta ila alikuta mm mwenyewe sidanganyiki tulivoingia ndani nikamwambia hapa tunapima Tenaaaaaa na ndo ikawa mwisho wa mm na yeye
 
[emoji38][emoji38] umerudi nyuma ili unitumbukize na mimi humo haya bhna mkuu, ila 90 mpka 96 kama mtu bado anafukuzana na mbususu huyo atakua hajielewi bado.

Jombaa, maana wewe ni anko wangu, ukijiepusha na mbusus katika umri wako, utakuwa jembe miaka yako yote. Hata ukifika 45, utaonekana kama vile uko 35. Maana mbusis zinazeesha. Utakuta kijana mdogo tu, ana 40 kesha choka na kuanza kukanyaga chini kama anatembea kwenye kokoto bila viatu. πŸ˜‚ 🀣 πŸ˜‡
Ukifikia hatua hiyo, ni shidaaa.
 
Huyu yupoo huru ni kuwachanuaa tu sasaa🀣🀣,Dah!Kuna manzi alinikibali nikampima ikasoma negative haloo sikuamini nikavaa ndomu vile vilee...kichechee haswaa lakn kipimoo et kikataka kunihujumu et mstari mmjaa🀣🀣.
 
Vipi mkuu, upo? maana juzi ulitafutwa sana na wadau humu ili utolee ufafanuzi juu ya kuwafukuza kazi wazawa pale bandarini kisa unataka kuajiri wafanyakazi wapya.
Nilishatolea ufafanuzi. Wafanyakazi wa bandari ndiyo walikuwa wanaongoza kwa kuwaponda vijana wasio na ajira na kuwaambia wajiajiri maana fursa ni njingi. Sasa nimewatimua wote ili waje kuwafundisha kwa vitendo.
 

Duu, siku hizi mambo yenu yako shwari. Kwa hiyo unampima instantly. Errors ikoje kwenye kipimo hichoo. Mii zamani kuna mabinti kama watatu walivyokuja kutaka nichakate mbusisu machale yakanicheza. Kumbe kweli wameshaumia. Baada ya miaka 3 - 5 wote walikufa live kwa ukimwi. Zamani ilikuwa shidaa, you do you die. πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‡ starehe ya muda wa nusu saa na ushee, inakugharimu maisha yako yote.
 
Acha uzinzi
Unasema umeoa Ila kutwa kuwapima uwaitao mademu ngoma,ili iweje?uwaf.uck ama?mheshimu mkeo
Kifo kinaletwa hata na ajali brah
 
Huyo binti anaroho mbayaaa
Alitaka kukuambukiza bila huruma

Mlizungumzia hiyo ishu baada ya yeye kuondoka?
 
Mpe Pole sana then mwambie asiogope sana bora ya ukimwi kuna dawa za kutuliza makali, mwambie kuna Kisukari ambao hauna dawa na asilimia 60% hutakiwi kula baadhi ya vyakula, mwambie kuna Pressure nayo ni mbaya sana, mwambie ukimwi now days ni kawaida tu πŸ˜‚
 
UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.

Tuwe makini na wadada.
Tunashukuru kwa ushauri watu watumie kondomu au wapime afya zao kabla ya kuanza kumiminiana mbegu
 
Hahahah demu wa kuvaa visendo vya manyoya unagonga kishababi kweli? Ukitaka uwe salama pendelea a kugonga wale mademu ambao wanaonekana washamba washamba. Hao mara nyingi huwa watu wanawa ignore sababu hawako kisasa.
Umesema kweli Mkuu, hao Wana nafuu
 
Sawa mjomba huu ushauri nitaufanyia kazi vilivyoπŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…