UKIMWI upo ndugu zangu

Kuna watu kadhaa nawafahamu huu ni mwaka 20 tangu waanze kutumia dawa za kupunguza makali ya ukimwi. Siku hizi siyo kama zamani, wagonjwa wengi wanaisha maisha ya kawaida. Kupata HIV siyo mwisho wa maisha.

Yaa, uko sahihi, sema tu changamoto ni kule kudondoka ghafla na kukata moto. Ikifika point dawa inafikia ukomo.
 
Duh mkuu ebu mfariji mwenzio

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Na hapo ndipo wanapokoseaga vijana. Yaani wanapiga show utafikiri kuna sheria ya goli la ugenini.
Kumbe mtu ukipiga kigoli chako cha mapema tu inatosha, kikubwa point 3 sio idadi ya magoli.
Naomba kuuliza,
1. Kwenye kusex na mademu ukiwa unatumia vilaini vya kutosha ili kusiwe na michubuko unaweza kuambukizwa?

2. Vipi watu wa kundi la damu group O+ na O- wanaweza kupata maambukizi ya h.i.v?
 
Vijana tuache kupaki basi , kama unafunga goli fanya chap sio kama Gabriel Jesus vichenga vya kishamba mwishowe unaukwaa so sad
 
UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.

Tuwe makini na wadada.
Kweni ukiwa na HIV kuna nini kibaya mtu mpaka alie?
 
Inshort ulimnyanyapaa
 
Kwani wewe hapo una guarantee au unajua siku zako, sio kwamba ni muda wowote unaweza kufa? Ninaye shangazi yangu alikutwa na ngoma toka nikiwa primary ila mpaka leo bado yupo, huku ndugu kadhaa na uzima wao tulishawazika
Hii kitu nakuwa sielewi,
Broo alikufa kwa hii kitu 1999, mke mkubwa Alifuatia mwaka 2000,

mke wa pili mdogo anatumia ARV yuko hai hadi leo anadunda mwaka wa 25 huu tangu mmewe afariki.
 
Naomba kuuliza,
1. Kwenye kusex na mademu ukiwa unatumia vilaini vya kutosha ili kusiwe na michubuko unaweza kuambukizwa?

2. Vipi watu wa kundi la damu group O+ na O- wanaweza kupata maambukizi ya h.i.v?
Ukiwa unatumia vilainishi ni ngumu sana kupata maambukizi maana hakuna michubuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…