UKIMWI upo ndugu zangu

Hahaha mkuu usiseme Ivyo
 
Kwani wewe hapo una guarantee au unajua siku zako, sio kwamba ni muda wowote unaweza kufa? Ninaye shangazi yangu alikutwa na ngoma toka nikiwa primary ila mpaka leo bado yupo, huku ndugu kadhaa na uzima wao tulishawazika
Wala shida sio hiyo. Shida ni ile stigma unayo kuwa nayo ndani ya nafsi yako.

Kumeza vidonge kila siku sio kazi ndogo
 
We jamaa mleta habari, hebu jifunze namna ya kuandika ueleweke vema, unaandika baghalashaghala, panga vizuri sentensi zako zieleweke vema kwa wasomaji
 
Ukimwi upo ndugu zangu nimetoka kumpeleka Rafiki yangu tupo chuo mwaka wa TATU ameathirika, aisie analia mpaka basi amekata tamaa. Tuwe makini na wadada wanachukua kwa masponser.
Mwambie anaweza sasa kugegeda kwa uhuru bila hofu ya kupata hiv🤣🤣🤣🤣🤣
Ni mwendo wa kuwapelekea moto wadada tuu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…