Kwahyo msina kwake haujamuuma?Lissu sio Malissa wakujiripokea.
Kama sura halisi ya adui huijui busara ni kusoma mchezo kwanza. Vinginevyo unaweza kuwa next target kirahisi kwa sababu huku mazania kabisa.
Huu ni ukomavu kutoka kwa Lissu kuanza kupunguza siasa za hisia na mihemko nyakati za hatari. Kaona ngoja kwanza ausome mchezo ana source zake na yeye
Hao siyo manaibu mwenyekiti wa chadema.
uchunguzi uanzie pale HQ kuna jambo zito la kushangaza sana pale..Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Naya alipigwa risasi tarehe 07/09/2017 ni kumbukumbu mbaya kwake itakuwa.Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Lissu anaujua ukweli wa tukio tangu kuhusika kwa Mbowe kwenye mauaji ya Mzee Kibao na namna Mbowe anavyowawinda wenzie ndani ya chama.Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
HII INAONYESHA PARAMETER YA JAMBO HILI INA UTATA!, SI AJABU ANAELIA SANA NDIYO MCHAWI MWENYEWE!, NA PENGINE MZEE WA WATU AMEONDOSHWA KAMA CHAMBO TU, ILI YULE MUHIMU ISIWE NONGWA!Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Sometimes silence is louder than words.Kwahyo msina kwake haujamuuma?
Umemaliza kila kitu 😄😄Sasa kila mwanachadema akiongea si inakuwa taasisi iliyokosa utaratibu? Mwenyekiti taifa na mwenyekiti kanda ya kaskazini walishaongea inatosha. Pia think tank ya CHADEMA ndugu Mdude Nyagali alishaongelea hilo suala.
Naona wanazingatia hiyo tarehe hao wauajiHata yeye Lissu, tarehe 7'Septemba, ni siku ya kumbukumbu mbaya sana!
Nimejiuliza swali kama hilo. Kwamba hayupo nchini au imekaaje
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Kama imepwaya mbona mnawaua viongozi wake.CHADEMA imepwaya
Kilaza ktk ubora wakoKitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Kamateni waharifu kwanzaKitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Who is Lisu bwana mdogo. Ooooh nimekumbuka. Ni yule mlopokaji na anayejiita mwanasheria wakati hajui sheriaKitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO