Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

Lissu sio Malissa wakujiripokea.

Kama sura halisi ya adui huijui busara ni kusoma mchezo kwanza. Vinginevyo unaweza kuwa next target kirahisi kwa sababu huku mazania kabisa.

Huu ni ukomavu kutoka kwa Lissu kuanza kupunguza siasa za hisia na mihemko nyakati za hatari. Kaona ngoja kwanza ausome mchezo ana source zake na yeye
Kwahyo msina kwake haujamuuma?
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
uchunguzi uanzie pale HQ kuna jambo zito la kushangaza sana pale..

wengine walijitenga kushirikishwa na waligoma kulishiriki kwa namna yoyote ile na sasa they are not safe themselves 🐒

kimya kingi kina mshindo
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Naya alipigwa risasi tarehe 07/09/2017 ni kumbukumbu mbaya kwake itakuwa.
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Lissu anaujua ukweli wa tukio tangu kuhusika kwa Mbowe kwenye mauaji ya Mzee Kibao na namna Mbowe anavyowawinda wenzie ndani ya chama.
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
HII INAONYESHA PARAMETER YA JAMBO HILI INA UTATA!, SI AJABU ANAELIA SANA NDIYO MCHAWI MWENYEWE!, NA PENGINE MZEE WA WATU AMEONDOSHWA KAMA CHAMBO TU, ILI YULE MUHIMU ISIWE NONGWA!
 
Labda kabla ya kumtaja Mh.Lissu mngemwambia katibu wa CCM Bw.Nchimbi ajitafakari ni Ilani ya chama chao au aina gani ya siasa inayotengenezwa kwa uongozi wake halafu uje hapa useme kama umemsikia au la .Kwa watekeleza Ilani ndio hivyo mwasema kila kitu mama Abdul kaleta na zaidi ya haya na Mh.Lissu aongee nini kwa mwezi Septemba.
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO

Hujui kuwa alitweet kitambo
 
Kilaza
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Kilaza ktk ubora wako
 
Kamateni waharifu kwanza
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Who is Lisu bwana mdogo. Ooooh nimekumbuka. Ni yule mlopokaji na anayejiita mwanasheria wakati hajui sheria
 
Back
Top Bottom