Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
- Thread starter
- #41
Kwahyo msina kwake haujamuuma?Lissu sio Malissa wakujiripokea.
Kama sura halisi ya adui huijui busara ni kusoma mchezo kwanza. Vinginevyo unaweza kuwa next target kirahisi kwa sababu huku mazania kabisa.
Huu ni ukomavu kutoka kwa Lissu kuanza kupunguza siasa za hisia na mihemko nyakati za hatari. Kaona ngoja kwanza ausome mchezo ana source zake na yeye