Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Unadhani EU na USA wameandika Barua bila kuwa na mtu wa ku coordinate?Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Baada ya kuona 2025 ni kugumu mmeanza UgaidiAkiibuka anaanza kuomba hela na kuelezea alivyopigwa risasi
HatersWho is Lisu bwana mdogo. Ooooh nimekumbuka. Ni yule mlopokaji na anayejiita mwanasheria wakati hajui sheria
Ulitaka atunge shairi?Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Soma post #3.Au msiba haumuhusu Lissu
Mungu AturehemuPeter Msigwa damu ya Mzee Kibao inakulilia na itakutesa sana hadi siku unaingia kaburini.
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu
usitukaneKama imepwaya mbona mnawaua viongozi wake.
Shenzi zako.
YAAANI wanaona kuwa wana cdm ni malaika kumbe duuuuuuuuni ngumu sana kumuelewesha mwana CDM
hajasikia?Lissu yuko West Africa.
sababu ni lopolopo angekuwa kishaongea sanaa mtuhumiwa huyoBila kumsikia Lissu, huwa mnapata tabu Sana,
Lisu ni Kibwabwaja? Lazima apige domo ? Labda anaomboleza anatakiwa aseme nini ?Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Na katibu mkuu wa chama alikuwepo hadi msibani, sijui waungwana wanataka nini cha zaidiSasa kila mwanachadema akiongea si inakuwa taasisi iliyokosa utaratibu? Mwenyekiti taifa na mwenyekiti kanda ya kaskazini walishaongea inatosha. Pia think tank ya CHADEMA ndugu Mdude Nyagali alishaongelea hilo suala.
Kwenye utiaji saini wa uboreshaji wa reli ya Tazara makamu wa Rais hakuwepo, vipi nao wana mgogoro?Makam mwenyekiti hayupo!
Wewe Hawa watu lazima wanamgogoro si kawaida