Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Unadhani EU na USA wameandika Barua bila kuwa na mtu wa ku coordinate?
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Ulitaka atunge shairi?
 
Peter Msigwa damu ya Mzee Kibao inakulilia na itakutesa sana hadi siku unaingia kaburini.
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu

Watanzania hamkosi vituko, mhanga Tundu Lissu alifikiwa na jambo hili anatembea kwa kuchechemea mkamkatia jina Sonny, hamjui maumivu yake kesi hata faili lake halijulikani kama polisi walilifungua na upelelezi umeishia wapi !

Ninyi watanzania hamtaki kuandamana kupinga serikali kwa matukio ya mzee Ali Kibao, Tundu Lissu, Azori Gwanda na wengineo wasio na majina mitaa na vijijini waliopotea kutekwa kufunguliwa kesi za mchongo !

Mnaishia kuwalaumu wahanga zaidi ya 80 waliotajwa katika mikutano wa CHADEMA na TLS mnaishia kulaumu wahanga ? !
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Lisu ni Kibwabwaja? Lazima apige domo ? Labda anaomboleza anatakiwa aseme nini ?
 
Soma post #3.

Kama hujaelewa tena basi una tatizo la kiafya.
Nisielewe nini sasa, yy ni makam mwenyekiti wa chama hajaomboleza msiba yupo kimya lazima tuhoji hii ni ishara ya migogoro ndani ya chadema
 
Sasa kila mwanachadema akiongea si inakuwa taasisi iliyokosa utaratibu? Mwenyekiti taifa na mwenyekiti kanda ya kaskazini walishaongea inatosha. Pia think tank ya CHADEMA ndugu Mdude Nyagali alishaongelea hilo suala.
Na katibu mkuu wa chama alikuwepo hadi msibani, sijui waungwana wanataka nini cha zaidi
 
Na katibu mkuu wa chama alikuwepo hadi msibani, sijui waungwana wanataka nini cha zaidi
Makam mwenyekiti hayupo!
Wewe Hawa watu lazima wanamgogoro si kawaida
 
Makam mwenyekiti hayupo!
Wewe Hawa watu lazima wanamgogoro si kawaida
Kwenye utiaji saini wa uboreshaji wa reli ya Tazara makamu wa Rais hakuwepo, vipi nao wana mgogoro?
 
Back
Top Bottom