Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachofanywa ni kufafanua Vifungu vya Mkataba, baaasi...!Mtu uwasomee waraka waumini wako kanisani kenye vigango na parokia zote.
Hauishii hapo unasema kabisa kanisa katoliki halibahatishi na lina mizizi mpanga ngazi ya kaya kwenye nchi yenye imani tofauti then unataka usiitwe udini!
Ni mpumbavu tu atakayekubali walichokifanya kanisa katoliki sio udini.
Sina tatizo na kanisa lolote liwe KKKT,Katoliki na hata kanisa la ufufuo na uzima la mchungaji gwajima.Si Kanisa Katoliki, KKKT nk wenye kupinga uwekezaji. Wote wantamka hayo.
Wapo na usitarajie wakiupinga kwa misingi ya dini watasema tunapinga kwa misingi ya dini.2. Hayupo anayeupinga mkataba huu aliyetamka anaupinga kwa sababu ya vionjo vyovyote vya dini.
Again yupo na usitarajie aseme napinga kwa sababu ya udini kuwahamasisha waumini wako kanisanai peke yao na kuwaacha wengine ni dalili tosha.Hayupo aliyechanganya udini popote kwenye kuupinga bali sababu zote zimewekwa wazi.
Bado wanapumua ni kuendelea kupiga spana
Aise [emoji1] inabidi tufanye mchakatoSi tunapambana na na riz apa moro washatuchomea nyumba kama 200 tumpishe mwekezaji tupo bize kidogo tuache [emoji38] [emoji23] [emoji1] [emoji1787]
Acha Gubu, hili ni La Watz Wote haijarishi chama chako,dini yako au Kabila Lako...Mkiambiwa mlinde kura zenu mnasema hayawahusu, wacha CCM iwapeleke mperampera labda akili zitawakaa sawa sawa!
Mlitudanganya sana enzi za Nyenyere wenu, kwa sasa kanisa limeonesha udini dhahiri.Walisema waungwana fumbo mfumbie mjinga:
View attachment 2724951
1. Hayupo anayepinga uwekezaji.
2. Hayupo anayeupinga mkataba huu kwa misingi ya udini.
3. Hayupo aliyechanganya udini kwenye kuupinga.
4. Wakemewe Kwa nguvu zote wenye kuu-unga mkono kishabiki ikiwamo kwa misingi ya uchama, udini, ukanda (ubara au uzanzibari), kujuana, jinsia, nk.
Mna udini sana nyieYaonyesha weye ndio mwenyetatizoo[emoji848][emoji3]
Usitarajie kanisa liseme wazi kuwa linapinga kwa sababu ya udini, lkn ile kulihubiri makanisa yote yatosha kabisa.1. Si Kanisa Katoliki, KKKT nk wenye kupinga uwekezaji. Wote wanatamka hivyo.
2. Hayupo anayeupinga mkataba huu, aliyetamka anaupinga kwa sababu ya vionjo vyovyote vya dini, si wanasiasa, wala TEC.
3. Hayupo aliyechanganya udini popote kwenye kuupinga bali sababu zote zimewekwa wazi. Si LIssu, Slaa, Mwabukusi Wala Mdude.
4. Angalia wenye kuu-unga mkono:
View attachment 2724958
Ninakazia:
"Wakemewe kwa nguvu zote wenye kuu-unga mkono kishabiki ikiwamo kwa misingi ya uchama, udini, ukanda (ubara au uzanzibari), kujuana, jinsia, nk."
Wao na washirika zao, tena bIla kujali nafasi zao leo au jana katika jamii.
DpW waja...Bado wanapumua ni kuendelea kupiga spana
Umepoteza muda wako na bando lako bure kuandika ushuzi.
Kwa hiyo mizizi ndo itumike kuhubiri makanisani! Kama sio udini.Sasa kama ina mizizi mpaka chini ulitaka usikie nini? huo ndio ukweli wenyewe. ulitaka usikie nini?
Sio kweli, kanisa limepinga kabisa na kusuggest tuendelee kuendesha wenyeweUkipinga uwekezaji obvious utakua na mental problems [emoji53]
Kinachopingwa ni baadh ya terms za mkataba.
Umeandika ujinga. Unaonesha vile ulivyo na akili ndogo ya kuuona mkataba wa bandari ni mzuri kwa sababu unawahusu waarabu waislamu.Mtu uwasomee waraka waumini wako kanisani kenye vigango na parokia zote.
Hauishii hapo unasema kabisa kanisa katoliki halibahatishi na lina mizizi mpanga ngazi ya kaya kwenye nchi yenye imani tofauti then unataka usiitwe udini!
Ni mpumbavu tu atakayekubali walichokifanya kanisa katoliki sio udini.
Jiwe alikuwa shetaniSasa kama 2020 tungelindaje wakati walikodiwa mpaka jeshi la Rwanda lije lilinde uhuni wao mkuu [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Usitarajie kanisa liseme wazi kuwa linapinga kwa sababu ya udini, lkn ile kulihubiri makanisa yote yatosha kabisa.
Udini mtupu! Kwa nini ht kesi wanaofungua ni wagalatia tu!?Kinachofanywa ni kufafanua Vifungu vya Mkataba, baaasi...!
Na Vifungu hivyo havimtaji Yesu Wala Roho Mtakatifu,vinahusu mambo ya jamii na Uchumi..! Vifungu hivyo vikirekebishwa vitakuwa na Manufaa kwa Wote Waislamu na Wakristo..!
Udini unatoka wapi hapo?
Hakuna anayepinga Uwekezaji bali Wapo wanaopinga MKATABA..!
Naunga mkono hojaWalisema waungwana fumbo mfumbie mjinga:
View attachment 2724951
1. Hayupo anayepinga uwekezaji.
2. Hayupo anayeupinga mkataba huu kwa misingi ya udini.
3. Hayupo aliyechanganya udini kwenye kuupinga.
4. Wakemewe Kwa nguvu zote wenye kuu-unga mkono kishabiki ikiwamo kwa misingi ya uchama, udini, ukanda (ubara au uzanzibari), kujuana, jinsia, nk.
Dah! Ila sidhani kama watakuelewaSina tatizo na kanisa lolote liwe KKKT,Katoliki na hata kanisa la ufufuo na uzima la mchungaji gwajima.
Nina tatizo na kanisa linalowahamasisha wafuasi wake kupinga mkataba ndani ya kanisa.
Unapotoa waraka na kusema tutausoma kwa waumini wetu wote ndani ya kanisa na kwenye vigango na parokia zetu zote maana yake nini?kwamba ungesoma kwa kila mtu bila ya kuhamasisha waumini wako tu ndani ya kanisa ujumbe wa waraka usingefika?
Kwanini uwasomee waumini wako tu tena ndani ya kanisa jambo linalohusu nchi ambayo haina dini?
Haushii hapo unaanza na kuitisha mamlaka kwamba nyinyi mna mizizi na hambahatishi hii tafsiri yake nini?
Wapo na usitarajie wakiupinga kwa misingi ya dini watasema tunapinga kwa misingi ya dini.
Tanzania kuna makanisa mengi tofauti tofauti ni katoliki tu ndiyo waliowasomea waumini wao kupinga huu mkataba tena ndani ya kanisa kwanini wasiwasomee watanzania wote na kuwahamasisha watanzania wote wa dini zote.
Kuthibitisha kwamba wao wamejizatiti peke yao wakaanza kusema RC ni kanisa kubwa lina mizizi mpaka kwenye kaya na halibahatishi wakiimaanisha wao peke yao wanatosha sio waislamu wala dhehebu lingine huu kama sio udini ni nini?
Again yupo na usitarajie aseme napinga kwa sababu ya udini kuwahamasisha waumini wako kanisanai peke yao na kuwaacha wengine ni dalili tosha.