Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

Waamini Lazima Wasomewe waraka ili Wajue kifungu gani ndani ya Mkataba kinakiuka haki zao....!

Nyinyi mnaotetea mnatakiwa kuja na hoja Zenye nguvu kujibu Kifungu kimoja baada ya Kingine...! Na Sio Kugeneralise kuwa Bandarini hakuna Ufanisi,kuna Wizi....!

Uwekezaji Wenye tija hakuna anayepinga, ila vifungu Vibovu ndani ya Mkataba LAZIMA WATZ WOTE TUUNGANE KUVIPINGA..!
 
Umeandika ujinga. Unaonesha vile ulivyo na akili ndogo ya kuuona mkataba wa bandari ni mzuri kwa sababu unawahusu waarabu waislamu.
Mpumbavu siku nyingine ukija uje kwa adabu.

Unaweza kunionesha wapi nimesema mkataba wa bandari ni mzuri kwa sababu ynawahusu warabu na waislamu? Ukishindwa wewe ni mpumbavu mara elfu kumi.
 
Mtu uwasomee waraka waumini wako kanisani kenye vigango na parokia zote.

Hauishii hapo unasema kabisa kanisa katoliki halibahatishi na lina mizizi mpanga ngazi ya kaya kwenye nchi yenye imani tofauti then unataka usiitwe udini!

Ni mpumbavu tu atakayekubali walichokifanya kanisa katoliki sio udini.
Basi uwe unaenda kusali Jumuiya kila Jumamosi hiyo ndio mizizi kwenye Kaya 🤣🤣
 
Mtu uwasomee waraka waumini wako kanisani kenye vigango na parokia zote.

Hauishii hapo unasema kabisa kanisa katoliki halibahatishi na lina mizizi mpanga ngazi ya kaya kwenye nchi yenye imani tofauti then unataka usiitwe udini!

Ni mpumbavu tu atakayekubali walichokifanya kanisa katoliki sio udini.
TEC imelieshisha taifa, waraka mmoja watu wanatafutana, mpaka sasa elim imesambaa kwa spidi ya 10G, mambo serous ambayo yanagusa taifa na watu wake lazima pawepo na watu wa kunyosha mambo bila kuangalia upande wowote,au kujipendekeza
 
Halijawahi kusema linafanya udini. Kwa hiyo mnataka tusubiri kanisa liseme linafanya udini!?

Kulikoni kumsemea mtu au taasisi? Si moja kwa moja wala indirectly TEC wamesema tatizo lao si uwekezaji, Wala mwekezaji - tatizo lao ni mkataba.

Si TEC peke yao na wala hata hawakuwa wa kwanza kuona hivyo.

Kulikoni ninyi kuwakomalia hao kumhusu udini wala siyo hawa?

Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.

Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.

======

Edo Kumwembe: Wakati mwingine wanasiasa wanakuwa kama mashabiki wa Simba na Yanga, wanapenda kuambiwa wanachotaka kusikia. Mfano ukiongea positive kuhusu kitu wanakuacha, ukiongea wanachokiona wao negative wanasema usichanganye dini na siasa...

View attachment 2724950
hahahahahah ukiitizama vizuri body language yake namna alivyokuwa anaongea kwanza alionekana ni mtu ana hofu ya kitu fulani kibaya kinaweza kutokea wakati wowote kwa uzembe wa siasa chafu dhidi ya bandari ambazo chama chake ilianzisha wakidhani itawasaidia au kuwanufaisha mambo nyeti kama ya bandari unawatumia kitenge mwijaku n.k huu ni moshi mzito unafukuta moto utakuja kuwaka wasipo kaa meza moja na wadau na taasisi mbalimbali kulimaliza hili suala la bandari hahahahahhaah
 
Mtu uwasomee waraka waumini wako kanisani kenye vigango na parokia zote.

Hauishii hapo unasema kabisa kanisa katoliki halibahatishi na lina mizizi mpanga ngazi ya kaya kwenye nchi yenye imani tofauti then unataka usiitwe udini!

Ni mpumbavu tu atakayekubali walichokifanya kanisa katoliki sio udini.
Uwekezaji ni Uchumi wa Watanzania bila kujali dini zao, Mapadri, Maaskofu, Masheikh, maimamu na hata masharifu na wengineo wote nao ni Watanzania wenye malsahi mapana na uchumi wa nchi yao.
Dini nayo ni kazi kama kazi zingine, wanasiasa mara zote hupenda kumiliki vyote na kutaka wengine wamiliki vichache kwa sababu ya uoga wa madaraka yao, mfano wanapenda sana kuzitumia nyeenzo zote kwa maslahi yao lakini wanapotishiwa usalama wa nafasi zao wanakimbilia kujihami,
1.Wakati wa kutafuta kura na kukubalika utawaona kwa wanadini( je wao hawachanganyi siasa na dini?)
2. Wanapotafuta kuombewa wanakimbilia kwa watu wa dini( je kwanini wasiombewe na wanasiasa wenzao)
3. Wanapotafuta ushauri wanakimbilia kwa viongozi wa dini( kwanini?)
Siasa ni maisha na maisha ni siasa, Misingi ya siasa inagusa nyanja zote, zote katika nchi na inawahusisha wote, hakuna anayeachwa.
Siasa msingi wake uko kwenye DINI, Uko ndiko ilikoanzia, Sheria zinazotumiwa na serikali zinatokana na dini, mfumo wa kimadaraka uliasisiwa na Mungu mwenyewe kupitia wafalme, Jamii nyingi wafalme waliongozwa na waonaji, waganga, watabiri na manabii kama viongozi wa dini, hivyo basi hivyo viwili havitofautishwi.
Wanasiasa wasijimilikishe Siasa kama mali yao peke yao, ndio maana wakitaka nafasi hawabagui nani awape au asiwape kura, huomba kwa wote kwa kuwa wanajua wote ni wamiliki wa siasa.
 
Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.

Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.

======

Edo Kumwembe: Wakati mwingine wanasiasa wanakuwa kama mashabiki wa Simba na Yanga, wanapenda kuambiwa wanachotaka kusikia. Mfano ukiongea positive kuhusu kitu wanakuacha, ukiongea wanachokiona wao negative wanasema usichanganye dini na siasa...

View attachment 2724950
Mstaafu hapo kashinda Tu kusema kuwa maaskofu wasiiingilie bandari
Maana nae ni muhusuka
 
Wacha tuendelee KUFINY
Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.

Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.

======

Edo Kumwembe: Wakati mwingine wanasiasa wanakuwa kama mashabiki wa Simba na Yanga, wanapenda kuambiwa wanachotaka kusikia. Mfano ukiongea positive kuhusu kitu wanakuacha, ukiongea wanachokiona wao negative wanasema usichanganye dini na siasa...

View attachment 2724950
Wacha tuendelee “ KUFINYWA”,,,laba tutaamka
 
Mtu uwasomee waraka waumini wako kanisani kenye vigango na parokia zote.

Hauishii hapo unasema kabisa kanisa katoliki halibahatishi na lina mizizi mpanga ngazi ya kaya kwenye nchi yenye imani tofauti then unataka usiitwe udini!

Ni mpumbavu tu atakayekubali walichokifanya kanisa katoliki sio udini.
Acha kabisa, kuna wakati kuna mambo kiukweli yanakera sana! Halafu hapo tunaambiwa hao wazee hawajakosea kwakuwa wamesoma, wana PhDs nyingi.

Kwangu mimi mpaka sasa, yule Shoo ndo ameongea kiuungwana na busara ya hali ya juu huku akionyesha kuwa ni mwingi wa subra na fikra kulingana na jamii hii paana waliomo. Sio unaongea na kuamua mambo na kushinikiza kila mtu afuate hivyo kama wewe ndo uliyewaleta duniani au kama vile kila mtu anaona unavyoona wewe. Hata kama anapinga, lakini ile ndo namna watumishi wa kiroho wanavyotakiwa kutoa haki ya nafasi kwa mlengwa.
 
Kuna kipindi wasafi jioni pale wanajilipua kichizi tofauti na zile mbuzi tatu za asbuhi
 
Kulikoni kumsemea mtu au taasisi? Si moja kwa moja wala indirectly TEC wamesema tatizo lao si uwekezaji, Wala mwekezaji - tatizo lao ni mkataba.

Si TEC peke yao na wala hata hawakuwa wa kwanza kuona hivyo.

Kulikoni ninyi kuwakomalia hao kumhusu udini wala siyo hawa?

View attachment 2725020
Hizi njemba uwezo wao wa kuchanganua mambo ni mdogo sana!
maaskofu wamezungumzia mapungufu ya mkataba wao wanaleta udini!?
 
Back
Top Bottom