Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Hilo la kushambulia legacy wala halina shida, maana hata mitume wa Mungu vitabu vinatuambia kuwa walishambuliwa.Ondoka kaburini hapo. Legasi inashambuliwa huku:
View attachment 2724969
Sang'udi, Phillipo, johnthebaptist, Paskali na "UP hapa kazi tu" popote mlipo kulikoni kimya chenu?
Semeni msikike.
Kikubwa wenye kushambulia legacy, na wale wasioshambulia wote kwa pamoja bado wanapita katika barabara, madaraja na kufaidi maendeleo aliyoyaleta huyo wanaemshambulia kwa kipindi cha miaka mi5 tu.