Wamezidiwa ujanja na wazanzibari!!!Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??
Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??
Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??
Thinking out loud.....
Wakipata Jukwaa la kusema watasema; lakini Mwigulu mbona kwenye bajeti yake kamsifia Mama sana tu na kasema Mama apewe Maua yake kwa "kufungua" nchiHawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??
Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??
Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??
Thinking out loud.....
The Boss! Wewe maoni yako ni nini ukiwaacha hao unaowataja! Hujui kuwa hata wewe kama mzalendo una haki ya kutoa maoni yako ! Mbona unajizalilisha hivyo mkuu!Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??
Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??
Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??
Thinking out loud.....
Samia kajichafua mwenyewe,zigo la kuuza Bandari yetu kwa wajomba zake atalibeba mwenyewe.Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??
Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??
Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??
Thinking out loud.....
Kumbe mpaka KIA?!Samia kajichafua mwenyewe,zigo la kuuza Bandari yetu kwa wajomba zake atalibeba mwenyewe.
Kuendesha nchi kijanja janja madhara yake makubwa sana.Alianza vizuri sana alirekebisha mambo mengi makubwa lakini kitendo cha kuuza Bandari,KIA & Misitu yetu kwa Waarabu kinapaswa kulaaniwa na watu wote wenye akili nzuri.
Unayemtetea, alingia pasipo kutegemea, kwa sababu hiyo, anapaswa adhibitiwe, unyayo hadi unyayo, anaweza kufanya tusiyoyategemea, kama hili la kuuza Bandari zooote!
Hili hata wewe mtetezi najua kinaniuma, ila kwa sababu ya interest zako
Ndio Airport inayopokea watalii wengi kuliko Airport zote Tanganyika.Kumbe mpaka KIA?!
Huyu mwanamke ni laana.
Ajabu sana, halafu kuna vipofu wanaotetea huu ushetani tuliofanyiwa na mkoloni toka Makunduchi, wanauficha kwa vivuli vya "interest" zao za kihuni, aibu kuu iwe juu yao.Ndio Airport inayopokea watalii wengi kuliko Airport zote Tanganyika.
Siamini kama anamuunganisha mwigulu na wazarendo. Dalali namba 3 wa DP WordYaan wee The Boss tangu suala LA DP world liwe wazi, sijui umekuajee, yaan sijui umekutwa na jambo gani.
Hadi huruma maskini wee, poleeeeeee sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli mama Samia kajiharibia mwenyewe na siasa huwa haina huruma, ataubeba mzigo wake mwenyewe.Samia kajichafua mwenyewe,zigo la kuuza Bandari yetu kwa wajomba zake atalibeba mwenyewe.