Ukimya wa Philip Mpango na Mwigulu kwenye ishu ya DP World unashangaza

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"?

Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja?

Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..?

Thinking out loud.
 
Samia amejichafua mwenyewe, kwa uzembe na uvivu wake kila siku kutojishughulisha kwenye ufuatiliaji wa karibu wa masuala muhimu ya nchi, usiwasingizie wasiohusika, wacha aliyechezea uchafu umchafue mwenyewe.

Joto limeanza kuwapanda sasa mnatafuta wa kufa nao, mawakili wa shetani mnaenda kushindwa, unaleta habari za kusadikika hapa "Project Chafua Samia" kipofu usiyejua mjinga hana sababu yoyote ya kutengenezewa project yoyote, mjinga hujichafua mwenyewe kwa mikono yake.

Mkataba wa hovyo zaidi uliowahi kuingiwa kwenye historia ya Tanganyika huru tangu iumbwe, mkataba uliokuja kuutweza utu wetu, kutunyan'ganya mamlaka ya nchi yetu, kutuondolea uhuru wetu, kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yetu, unataka nani mwenye akili timamu asimame kuutetea huu ujinga?

Hebu tueleze vizuri, kwanini iwe kwa Mwigulu na Mpango pekee, kwanini hujawataja Makamba na Kikwete?!

Huu upuuzi wako na wenzio umepitwa na wakati siku nyingi sana, endeleeni kujidanganya.
 
Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??

Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??

Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??

Thinking out loud.....
Wamezidiwa ujanja na wazanzibari!!!
 
Wakipata Jukwaa la kusema watasema; lakini Mwigulu mbona kwenye bajeti yake kamsifia Mama sana tu na kasema Mama apewe Maua yake kwa "kufungua" nchi
 
Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??

Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??

Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??

Thinking out loud.....
The Boss! Wewe maoni yako ni nini ukiwaacha hao unaowataja! Hujui kuwa hata wewe kama mzalendo una haki ya kutoa maoni yako ! Mbona unajizalilisha hivyo mkuu!
 
Unayemtetea, alingia pasipo kutegemea, kwa sababu hiyo, anapaswa adhibitiwe, unyayo hadi unyayo, anaweza kufanya tusiyoyategemea, kama hili la kuuza Bandari zooote za Tanganyika

Hili hata wewe mtetezi najua linakuuma, ila kwa sababu ya interest zako tu
 
Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??

Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??

Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??

Thinking out loud.....
Samia kajichafua mwenyewe,zigo la kuuza Bandari yetu kwa wajomba zake atalibeba mwenyewe.

Kuendesha nchi kijanja janja madhara yake makubwa sana.Alianza vizuri sana alirekebisha mambo mengi makubwa lakini kitendo cha kuuza Bandari,KIA & Misitu yetu kwa Waarabu kinapaswa kulaaniwa na watu wote wenye akili nzuri.
 
Kumbe mpaka KIA?!

Huyu mwanamke ni laana.
 
Unayemtetea, alingia pasipo kutegemea, kwa sababu hiyo, anapaswa adhibitiwe, unyayo hadi unyayo, anaweza kufanya tusiyoyategemea, kama hili la kuuza Bandari zooote!

Hili hata wewe mtetezi najua kinaniuma, ila kwa sababu ya interest zako

Tena kitendo cha kuwateua Wazanzibari watupu kuuza mali za Tanganyika ni ushenzi uliopitiliza.
 
Samia kajichafua mwenyewe,zigo la kuuza Bandari yetu kwa wajomba zake atalibeba mwenyewe.

Kuendesha nchi kijanja janja madhara yake makubwa sana.Alianza vizuri sana alirekebisha mambo mengi makubwa lakini kitendo cha kuuza Bandari,KIA & Misitu yetu kwa Waarabu kinapaswa kulaaniwa na watu wote wenye akili nzuri.
Kwa kweli mama Samia kajiharibia mwenyewe na siasa huwa haina huruma, ataubeba mzigo wake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom