#COVID19 Ukimya wa Serikali dhidi ya chokochoko za Askofu Gwajima, Je imempuuza? Inamuogopa? Anainamlia timing?

#COVID19 Ukimya wa Serikali dhidi ya chokochoko za Askofu Gwajima, Je imempuuza? Inamuogopa? Anainamlia timing?

Umeingia JF 2017....hujui chochote kuhusu Mshana Jr, hata km amekengeuka kidogo kwenye hii ishu ya chanjo ' lakini credibility yake ni kubwa sana JF (akili kubwa) kulinganisha na wewe ambaye hata kuandika sawa sawa ni shida.
Kumbe unajua amekengeuka!.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Ngoja nikueleze kitu bwana mkubwa, hakuna mwanadamu asiye na haya...halafu hivi vitu vinafanyika public sio mafichoni ushawishi wa gwajima ni mkubwa isitoshe sio mtu wa hovyo ( Ameelimka) na anajua kuitumia elimu yake ipasavyo, anajua kujenga hoja...naweza kusema wanajipanga namna nzuri ya kumwingia bila kuharibu image ya kisiasa isitoshe gwajima yupo upande wao (CCM) kwa hiyo kama watachanga karata zao vibaya watajikuta wanapoteze imani kubwa kwa wananchi ogopa sana binadanu aina ya gwajima anaweza kukusumbua kuliko gaidi. Wako wachache sana, kiufupi jamaa kawazidi maarifa, BBB serikali wakitumia nguvu tu...wameumia[emoji4]
Ana elimu gani huyo Gwajima? Aonyeshe vyeti vyake...Kwa taarifa ni lofa fulani akapata bahati ya kudanganya wengine, wakapotea steps. Huyo tapeli na mzandiki, mjinga, mkabila na asiye na staha hata kidogo.
 
Sikuwahi kujua kama upotoshaji wake una wafuasi wengi kiasi hiki
 
Ana elimu gani huyo Gwajima? Aonyeshe vyeti vyake...Kwa taarifa ni lofa fulani akapata bahati ya kudanganya wengine, wakapotea steps. Huyo tapeli na mzandiki, mjinga, mkabila na asiye na staha hata kidogo.
ww mwenye elimu jambo gani umefanya ktk jamii inayokuzunguka
 
Kwa sababu hizo chanjo zilishafanyiwa majaribio za muda mfupi, muda wa kati, na muda mrefu
Wakati zimeanza kutumika ulikuwepo ukajua ilikuaje? Waafrika ni watu wajinga sana. Hata mkiachiwa miaka 100 hamuwezi kugundua chanjo. Wazungu sasaiv wameanza hadi kujaa kwenye viwanja vya mpira baada ya kuchanja. Ina maana wote wale ni wajinga, ila nyinyi ndo mna akili?
 
Ana elimu gani huyo Gwajima? Aonyeshe vyeti vyake...Kwa taarifa ni lofa fulani akapata bahati ya kudanganya wengine, wakapotea steps. Huyo tapeli na mzandiki, mjinga, mkabila na asiye na staha hata kidogo.
Elimu ya mtu haipo kwenye vyeti, kuwa na vyeti sio kuelimika. .....kuna watu (wengi) wana mavyeti ya PhD lakini kichwani ni sifuri.

Mjibuni hoja yake...na sio kushambulia personality yake.
 
Wakati zimeanza kutumika ulikuwepo ukajua ilikuaje? Waafrika ni watu wajinga sana. Hata mkiachiwa miaka 100 hamuwezi kugundua chanjo. Wazungu sasaiv wameanza hadi kujaa kwenye viwanja vya mpira baada ya kuchanja. Ina maana wote wale ni wajinga, ila nyinyi ndo mna akili?
Mimi kutokuwepo ndio inamaana hazikufanyiwa hayo majaribio? Nikikwambia vita kuu ya pili ya dunia ilianza mwaka 1939 na kuisha 1945 , na kwa sababu sikuwepo, utasema haikutokea? Hivi ndani ya vichwa vyenu mmejaza kinyesi cha mbwa?
Jibuni hoja za Gwajima!
 
Mtoa mada unaheshimankubwa sana jf , naona unaamua kuishisha menyewe!

Au account yake Iko hacked
 
Mtoa mada unaheshimankubwa sana jf , naona unaamua kuishisha menyewe!

Au account yake Iko hacked
Haya ni maoni yangu.. Ni mimi mwenyewe na siwezi kukana maandishi yangu...
Sijatukana
Sijadhihaki
Sijatuhumu
Nimeandika uhalisia wa yatokanayo.... Lakini kwa bahati mbaya sana chote nilichoandika hakikujadiliwa bali mjadala mzima ukaangukia kwenye ishu ya chanjo na hoja zisizojibiwa
Kama heshima yangu itashuka JF itashushwa na vingine lakini sio mada..!
 
Naamini kuwa kama tutaendeleza hisia badala ya hoja bila kujali nani analeta hoja mezani. Kama tutaendelea kudhihaki watu wanaojitolea kuleta hoja za kuvusha jamii kwenye changamoto mbalimbali. Siku si nyingi tutajikuta tumekuwa kama baadhi ya jamii duniani. Mgonjwa mmoja wa korona LOCKDOWN nchi nzima.
 
Mshana Jr nakuheshimu sana.Hivi nisaidie ikiwa jamii ya wasomi wamekaa kimya wakati hoja juu ya chanjo zinaibuliwa. Ikiwa TEKNOLOJIA ya chanjo ya UVUKO 19 inahojiwa na wasomi hawana jibu, kumdhihaki Askofu Gwajima ni kutoitendea haki jamii.
 
Sijamdhihaki @albaaliyo bali nimeonesha uhalisia wake na kumchagiza kuwa njia aliyotumia si sahihi akiwa kama kiongozi..
Chakula hata kiwe kitamu vipi kikishaingia mchanga hakiliki tena
Kuna namna ya kuwasilisha hoja na kuwasiliana na jamii.. Weledi, heshima, hekima na kuzingatia maadili ni mambo ya msingi sana kwenye lolote
Uwasilishaji hoja wake ni wa kusuta, kuzodoa na ubabe huku akiingiza mambo binafsi ya familia...hili unaona ni sawa?

Kingine ana demand serikali imjibu ama iweke naye mjadala.. Seriously? Hivi kuna utaratibu Kama huu serikalini?
Kuna mataifa chanjo imewavusha na sasa hawako kwenye level ya kitisho tena...! Hata tumtetee vipi nitabaki na msimamo wangu kuwa kakengeuka!
 
JamiiForums1286998605.jpg
 
Ana elimu gani huyo Gwajima? Aonyeshe vyeti vyake...Kwa taarifa ni lofa fulani akapata bahati ya kudanganya wengine, wakapotea steps. Huyo tapeli na mzandiki, mjinga, mkabila na asiye na staha hata kidogo.
Amekuzidi KILA kitu
 
Gwajiboy anamtukana Rais indirect kwa kumtumia Waziri wake, na serikali inatumia kanuni ya ukitaka kumchinja kobe lazima umulie timing
Kakichaa kanapingana na wataalam wa afya wa dunia nzima...
 
Alichofanya gwajiboy ni kuwawini wajumbe yaani kuwawahi wao kabla ya kuwiniwa yeye.Hizi ni mbinu za kucontrol mahojiano kitaalamu ipo hii.
Inaitwa mbinu ya kumchanganya adui
 
Back
Top Bottom