Ukimya wa Tanzania na JWTZ Kule Congo DRC si wa Kawaida – Kuna Kitu Kinachezwa?

Acha Tshesekedi na akili zake za kikabila amalize vita mwenyewe kama ataweza, kwanini uingilie tribalism war na I hope M23 washinde
 
Kazi ya kuchukua kandarasa anaijua Kagame tu na Ruto
 
Suala la JWTZ kuwatandika M23 zilikuwa ni propaganda za CCM ambazo hazikuwa na uhalisia wowote
 
Wee nae lioga lioga km sio mwanaume?!!
Nyie ndo wale wezi wakivamia ndani mnajificha uvunguni..!!
Ahah hivi ushawai fika sehemu yenye vurugu ata siku moja ukaona kasheshe lake mkuu acha tu nisha shuudia mtu anakufa hivi niishie hapo
Tu
 
Wapo tu km walinda amani yaani wao hawashabikii upande wowote.
Wapo pamoja na Malawi, Tanzaia na South Africa.

Na commanding power ni South Africa.

Jana askari 13 wa South Africa wamekufa.

Kwa Tanzania, mpaka sasa hakuna taarifa yoyote.
 
Ushauri wa ovyo kutika kwa layman
 
Sasa naanza kuelewa kwanini Asante 🙏🙏
 
Si ulisema ulikuwa jeshini wewe au ulikuwa unatupanga??

Au ulikimbia mgambo halafu mnakuja humu kujimwambafai?? Sasa mjeshi gani anaogopa vurugu??!!
Siogopi vurugu ila na huruma humanity nieelewe
 
Inabidi hili wazo lifanyiwe kazi nawewe upewe japo ya soda kwa wazo murua
 
JW ya 70s na 80s siyo sawa na hii ya 2000s.
Wale wa 70/80 walikuwa wameiva hasa, hawakuweka pesa mbele wao ilikuwa kazi kazi
 
Hii point kabisa ya kuinakili kwa dunia ya sasa tulipaswa kufanya hii kitu ni sehemu ya kuongez ajira pia kukuza income ya nchi wakati huohuo unalinda maslahi yako.

Ni kweli kabisa. Zile sifa zama za ukombozi kwa sasa hazina nafasi. Sasa ni nipe nikupe. Au mupe umupe akupe
 
Hakuna kitu. Pumba tupu. JW zamani sio sasa.... Na Kwa Namna Tunavyomuogopa Kagame Kimbaumbau trust me JW hata pua hawezi kusogeza😁😁
 
Ni mwaka wa uchaguzi, utulivu ni muhimu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…