Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

Nasikia mmeuzwa huko nyinyiem ndio maana raia hawawapendi
😁😁😁😁😁😁😁 Mambo mengin ya hapa ni kuyaangalia tu ila kuna watu wa kuandika tu wanakwaza sana, hapa tutasumbuna tu bora nikasome uzi wa vyakula
 
Kwani mpaka sasa mechi ya wanajeshi na raia si kato katuwakilisha keshamuondoa zezeta mmoja duniani wananchi tuna jiweza hao wajinga gwanda tu zinawabeba ila wakija mmoja mmoja bila silaha tunawatafuna marinder
😁😁😁😁
 
Hawa jamaa kazi waliyobaki nayo ni kuzuia magari 100 pale Lugalo ili mwanafunzi mmoja avuke bara bara. Wanaweza kuvusha wanafunzi mmoja mmoja kwa interval hadi unajiuliza wanatumia nini kufikiri? Any way naona siku hizi askari wa usalama bara barani wameamua wasimamie uongozaji magari wenyewe maana hawa jamaa duh
 
Kwani Jeshi la polisi wanasemaje?
 
Media zilinyamazia Bandari,ndio itakuwa JWTZ
 
Tanzania "vyombo vya habari" vinafanya kazi kwa masharti waliyopewa na Abbas na Nepi kwa manufaa ya Samia.
 
Watunga sheria ndiyo wavunja sheria
Walinda sheria ndiyo waiba sheria
Elimu itolewayo kuhusu sheria ni kama imetegeshwa ili kuwapa maslahi kundi fulani kupitia rushwa
Wananchi wa chini kabisa ndiyo wahanga wa mapungufu yote ya utungaji, ulinzi na utekelezaji wa sheria, mwisho wa siku kuna kundi litachoka na kuamua liwalo na liwe na ndiyo utakuwa mwanzo wa kupotea kwa amani ya nchi
 
Wanaojiita haki za binadamu wanatetea nini
Vipi kuhusu wale wanasheria nguli kina nanihii au wote wameona wacheze ngoma moja tu na wanasiasa?

Yaani hata wale wa waraka huwezi kuwasikia Subutu
Wako bize kuonyesha mipaka ya Israel tu
Shame on you
 
Hatimaye baada ya kumalizana na "MITUMBA" mitaani....
 
Dereva bajaji kaua luteni wa jeshi???? Hv mnajua gharama ya kumtengeneza mwanajeshi Hadi afikie hicho cheo??? Basi km wanapigwa na mm nasema wapigwe tu maana hakuna namna
Ugomvi wa mwendesha bajaji na mwanajeshi uliopelekea mwanajeshi kushindwa vita na kufa unawahusu nini raia ambao hawakuwepo kwenye huo ugomvi?
 
Inamaana hapo Lugalo hakuna Mkuu wa Kambi?

Wanajeshi wanatokaje kambini kwenda kushambulia raia?

Mbona jeshi la polisi wameshamkamata mtuhumiwa? Hao wananchi wamekosa nini?
Hakuna Mtu aliye juu ya Sheria.
 
Ugomvi wa mwendesha bajaji na mwanajeshi uliopelekea mwanajeshi kushindwa vita na kufa unawahusu nini raia ambao hawakuwepo kwenye huo ugomvi?
Jeshi kwa busara litoe statement angalau kuweka sawa haya mambo kwani chuki inaongezeka baina yake na wenye jeshi lao
 
Unyonge kama huo,ndiyo wao wanautaka,ni upumbavu kabisa,mi sipendi kuonewa wala kuonea.Sasa mtaogopa hadi lini?
Na unasema wakikuchukulia demu wako,huoni huyo demu atakudharau maisha...?
akinidharau juu yake mwenyw tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…