Ukioa Malaya/mdangaji kuzaa mabinti Malaya hakuepukiki ni uhakika

Unajua maana ya Malaya wanawake wengi ni Malaya Ila wana-play innocent

Tabia za umalaya ni za kurithi
 
Hamu na tamaa ni vitu viwili tofauti Mkuu.
OK, basi tuvitenganishe. Tuseme hamu si tamaa na nyege ni hamu, ikizidi ndo inakuwa tamaa.
Tamaa ni Jambo linalotokea kwenye Akili ya Mtu kutaka Jambo Fulani.
Kwa mfano, umekaa zako barabarani akapita mdada mzuri mwenye msambwanda, unaweza kumtamani hata kama hauna Nyege/Hamu ya Ngono.
Sawa, umetamani usichokiweza sababu huna hamu.
Nyege haihusu Akili Bali ni tukio la Kimwili linalotokana na michakato ya Mwili.
Nyege ni kama Njaa, kiu n.k
Sawa, hata njaa inaleta hamu ya kupata chakula. Ndo maana mgonjwa anaweza kuwa na njaa ila asiwe na hamu ya kula.
Sio KWELI

Mtu anatoka kwenye tendo la ndoa sasa hivi Akitokea Nje bado anatamani misabwanda. Hiyo inaitwa tamaa.
Sawa.
U

Maamuzi ya Mtu huamuliwa na akili na saikolojia yake
OK.
Tumekubaliana kuwa tamaa ni hamu iliyopitiliza, ila tunarudi palepale kuwa iwe tamaa, iwe hamu au nyege bado inahitaji maamuzi na maanuzi hayarithishwi, sawa sawa? Tupo pamoja hapa?
 
Unajua maana ya Malaya wanawake wengi ni Malaya Ila wana-play innocent

Tabia za umalaya ni za kurithi
Umalaya ni maamuzi, maamuzi hayarithishwi yanafundishwa. Hamu ya kufanya ngono ndo inarithishwa ila si maamuzi ya kufanya ngono na nani.
 
Ni kweli wapo watoto baadhi wamelelewa na Bibi Zao na Wachache hawana Tabia za Mama zao. Hao ni exceptional lakini asilimia kubwa hurithi tabia za Wazazi wao.

Popote pale watu wenye Akili lazima wazingatie asili yako ndipo wakujue wewe ni mtu WA Aina gani.
Haina haja ya kumfuatilia mtu Mmoja kujua Tabia yake. Unafuatilia Ukoo au Jamii yao unapata kujua mtu Fulani atakuwa wa namna gani.
Hiyo ndio maana ya Vinasaba
 
Mkuu Nyege, njaa au kiu sio Tamaa.
Hayo ni mambo yanayodhibitiwa na Mifumo ya Mwili, yapo kibaolojia.

Tamaa ipo chini ya udhibiti wa akili na utashi wa Mtu.

Mambo yaliyochini ya utashi au akili ya mtu ndio huwekewa Sheria.
Mfano unaambiwa usitamani Mali ya jirani yako, mkewe na chochote alichonacho. Kwa sababu yapo chini ya utashi.

Huwezi mwambie mtu asiwe na Nyege, njaa au Kiu. Hizo ni basics need kisaikolojia.

Mtu hutumia tamaa yake kutumia vibaya Nyege, njaa au Kiu.

Tukirudi kwenye hoja.
Maamuzi hayarithishwi Hilo ni kweli.
Lakini kinacho-control maamuzi ya Mtu ambayo ni akili, silika na hulka(inayotokana na nurturing) yanatokana na urithi kwa sehemu kubwa
Sasa utaona kuwa Maamuzi yako nguvu yake kubwa hutokana na asili yako.
 
Hamna tabia isiyoweza kubadilika.
Huyo mama mtu aliitoa wapi hiyo tabia?? Bila shaka kwenye hiyo chain kuna alieianza, huyo alieianza alibadilika kutoka kua mwema hadi kua malaya hata malaya anaweza kubadilika pia.
 
Ni kweli wapo watoto baadhi wamelelewa na Bibi Zao na Wachache hawana Tabia za Mama zao. Hao ni exceptional lakini asilimia kubwa hurithi tabia za Wazazi wao.
Hawajarithi, wamefundishwa tabia za wazazi wao. Hata wangekuwa watoto wa malaika kisha ukawapeleka walelewe na malaya huenda wakafundishwa umalaya.

Popote pale watu wenye Akili lazima wazingatie asili yako ndipo wakujue wewe ni mtu WA Aina gani.
Ndo maana hii kitu dunia inapinga. Wewe kutokea jamii ya wasiotahiriwa haimaanishi una govi.
Haina haja ya kumfuatilia mtu Mmoja kujua Tabia yake. Unafuatilia Ukoo au Jamii yao unapata kujua mtu Fulani atakuwa wa namna gani.
Hiyo ndio maana ya Vinasaba
Haya ni mambo ya kizamani na ni ya kuyapinga. Na tukiyaendekeza hata wewe sijui mtibeli unaweza taja ukoo wako kwenye jamii fulani ukakataliwa kwa tabia isiyo yako.
 
Wewe una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki ?
Kwamba unamfuatilia kila sehemu au.

Hapa duniani hakuna mke wa mtu anaweza nikataa. Ni vile sitaki dhambi tu.

Wanaume wasiokuwa na hela,dhaifu na wasiojiamini ndiyo hupenda kuchambua sana wanawake.

Mtu anaona eti akiwa na aina fulani ya mke ndiyo atapata kitu/ vitu fulani.

Stupidity!

Ndiyo mana tumetanguliwa na watu weupe kwenye mambo mengi. Kama sio yote.
 
Mwanamke Kahaba Hana tofauti kubwa na mwanamke mchawi. Wote wanaweza kufanya lolote na kumdhuru yeyote Yule.
Kama mtu kajigeuza dampo la Kulala na mwanaume yeyote Yule unafikiri ni kitu gani kingine hakiwezi?πŸ€”πŸ™‡πŸΏβ€β™‚πŸ™‡πŸΏβ€β™‚
 
Wanaume wasiokuwa na hela,dhaifu na wasiojiamini ndiyo hupenda kuchambua sana wanawake.πŸ₯ΊπŸ€”πŸ₯ΊπŸ€”
 
Swali unaulizwa.
Kama watu hawarithi Tabia unafikiri ni Kwa nini wanadamu hawezi kuwa Malaika? Yaani kuwa wakamilifu?

Kuna Jambo tunapishana kulielewa.

Tabia IPO ya aina Mbili ambayo ni silika(nature) na hulka (nurturing)
Mazoea hujenga Tabia(hulka) na hulka hujenga Silika, wapi hupapati.
 
Wewe una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki ?
Kwamba unamfuatilia kila sehemu au.

Kwani wapi nimeandika uhakika wa mke wangu kuchepuka au kutochepuka?
Hoja yako ni ipi?
Hapa duniani hakuna mke wa mtu anaweza nikataa. Ni vile sitaki dhambi tu.
πŸ€“πŸ€“

Wanaume wasiokuwa na hela,dhaifu na wasiojiamini ndiyo hupenda kuchambua sana wanawake.
Kwako pesa ni muhimu Sana sio? Sio kila mtu anaudhaifu kama wako mbele ya Pesa.

Mtu anaona eti akiwa na aina fulani ya mke ndiyo atapata kitu/ vitu fulani.

Stupidity!

Ndiyo mana tumetanguliwa na watu weupe kwenye mambo mengi. Kama sio yote.

Hoja yako ni ipi.
Ndio inasubiriwa hapa.
Naona unarukia rukia matawi kama Ngedere. HUNA utulivu wa kiakili kujua nini uzungumze
 
Hamna tabia isiyoweza kubadilika.
Huyo mama mtu aliitoa wapi hiyo tabia?? Bila shaka kwenye hiyo chain kuna alieianza, huyo alieianza alibadilika kutoka kua mwema hadi kua malaya hata malaya anaweza kubadilika pia.

Tabia(hulka) ya kujifunza ndio hubadilika kwa wakati mfupi.
Silika(Tabia uliyozaliwa nayo) haibadiliki itakuchukua Miaka yako yote kubadilika, yaani unaanza na wewe kisha mtoto ukimzaa naye akazane kuibadilisha Mpaka kizazi labda cha nne huko ndio itakuwa imebadilika
 
Huwezi kuita wanawake wengine malaya na wakati huna uhakika kama mke wako ana kucheat au la.

Nadhani umenipata.

Hata mke wako anaweza kupitiwa tu kama ilivyo kwa malaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…