Ukioa Malaya/mdangaji kuzaa mabinti Malaya hakuepukiki ni uhakika

Mtibeli umeandika utumbo. Kuna watoto wa wachungaji ni viruka njia.. kwanini na wao wasingekuwa kama wazazi wao? Kama huna cha kuandika tulia kuliko uandike uharo.
We Unajua Mwamposa Kabla Ya Kuwa Mchungaji Alipitia Njia Zipi? Au Uchungaji Amezaliwa Nao?
Kwa Akili Zako Nimshauri Mwenye Jina Unalolitumia Hapa Akuburuze Mahakamani Kwa Kumdhalilisha.
 
Ramadan Kareem.
 
Kwasasa wanawake wengi Wana bei yao!hasta akiwa mlokole ana bei yake!!ukitenga mzigo Anakua mpole hata kama mhusika ana Ngoma atakubali tu!
 
Inatokana na akili ya Mtu. Maamuzi yanategemea akili. Akili haitegemei maamuzi
Akili mtu anarithi.
Wapi tunapishana
Lugha anajfunza. Kumbe tumeelewana boss.

Lugha inategemea Sauti ambayo Sauti unarithi kutoka kwa Wazazi au ukoo wako.

Unashindwa kuelewa independent variables Vs Dependent Variables

Hapo ndio unakwama.
 
We Unajua Mwamposa Kabla Ya Kuwa Mchungaji Alipitia Njia Zipi? Au Uchungaji Amezaliwa Nao?
Kwa Akili Zako Nimshauri Mwenye Jina Unalolitumia Hapa Akuburuze Mahakamani Kwa Kumdhalilisha.
Wewe maku nimemwongelea Mwamposa kwenye comment yangu? Huo ushauri kampe mamako mzazi.
 
Mtibeli umeandika utumbo. Kuna watoto wa wachungaji ni viruka njia.. kwanini na wao wasingekuwa kama wazazi wao? Kama huna cha kuandika tulia kuliko uandike uharo.

Hivi mtu kuwa mchungaji au Sheikhe ndio kunazuia asiwe muadilifu?

Unachanganya Kazi na character
Kila Kazi inahitaji watu waadilifu.

Narudia, ukizaa na Kahaba kupata mtoto Kahaba HAKUEPUKIKI. Ni Jambo la uhakika.
Mtoto wa nyoka hawezi kuwa chura.

Labda kama mambo ya Falsafa na saikolojia yalikupita kushoto
 
Huwa kuna muda unaandikaga ujinga mwingi sana. Ingekua huu upumbavu ulioandika ni kweli basi kungekuwa na makahaba wasio na idadi kila upande.
 
Ni sawa na kusema, ukioa mke anayejiheshimu; unakuwa na uhakika pia wa kupata mabinti wenye tabia nzuri. Kitu ambacho sio kweli.

Kiufupi, umezingua.

Hiyo ndio iko hivyo.
Mpera hauzaagi mapapai.

Hayo Mengine ni ninyi kizazi cha sasa mnashindwa kuelewa kimakusudi alafu mnalialia kuwa watu wa siku hizi wamevurugwa wakati ninyi ndio mmevurugwa.

Embe halianguki mbali na mti wake.
 
Huwa kuna muda unaandikaga ujinga mwingi sana. Ingekua huu upumbavu ulioandika ni kweli basi kungekuwa na makahaba wasio na idadi kila upande.

Kwani sasa hivi wanaidadi?

Au unafikiri Kahaba Mpaka akapange foleni barabarani.
Humo kwenye Ndoa Makahaba wamejaa kuliko barabarani.
 
Leo Dada anajaribu kujustify kuwa kaaba au Malaya akifanikiwa ki uchumi au watoto wake wakisoma na kuwa na kazi nzuri basi maana ya kuwa kaaba ni jambo la kheri tu.

Nafikiri hayo ni matokeo ya kutofikiri vizuri.
 
Huwa kuna muda unaandikaga ujinga mwingi sana. Ingekua huu upumbavu ulioandika ni kweli basi kungekuwa na makahaba wasio na idadi kila upande.
Ukahaba was Sasa unaujua!!?unaanzia kwenye mawazi ya mwanamke!

Kama mwanamke anawaza Ili nitoe penzi lazima Me anihudumie Kodi,ada,Hela ya mchezo,mama anaumwa,Hela ya kusuka n.k unafikiri sio ukahaba!!?

Wako wapi wanawake wachapakazi wa enzi zile wenye kujitegemea badala ya kuwaza kudanga Ili wapate mahitaji!!

Ukahaba wa kisasa hauhitaji mwanamke awe site!! Ni ukahaba wa kimtandao!!
 
Kama umalaya au ukahaba ni tabia ya kurithi, na mnasema kwamba bibi zetu walijitunza na walijiheshimu, sasa hiki kizazi cha hawa wanawake kimetoka wapi

Hakuna jipya chini ya Jua
Kama wangekuwa wamejifunza misemo ya kitanda hakizai haramu isingekuwepo.

Koo za kikahaba zipo
Koo za watu waadilifu zipo
Koo za matajiri zipo
Koo za Fukara zipo
Koo za Wachawi zipo.
Koo za usodoma na ugomora zipo.

Ambacho hakikuwepo ni watu kuwa Huru kueleza kama hivi na kuibua Mambo ya Siri hadharani.

Ingawaje wapo watu Exceptional ambao huweza kutoka koo za kikahaba lakini Kwa Neema tuu wakapata akili ya kujiongeza na kuwa watu Wema.
Watu hao ni Wachache Sana, exceptional
 
Baba yangu kamhudumia mama pamoja na sisi wanae kwa 100%. Je, mama ni kahaba kwa kuhudumiwa na baba? Acheni upumbavu.
 
Kwani sasa hivi wanaidadi?

Au unafikiri Kahaba Mpaka akapange foleni barabarani.
Humo kwenye Ndoa Makahaba wamejaa kuliko barabarani.
Makahaba walikuwepo tangu enzi za Nuhu ila kusema kahaba lazima azae kahaba ni upunguani na ukosefu wa akili. Wewe ukimpa mimba kahaba hizo mbegu zako zinakuwa na ukahaba ndani yake?
 
Hawezi kukuelewa

Yeye anajua Kahaba ni wale tuu wa kwenye casino na madanguro.
 
Makahaba walikuwepo tangu enzi za Nuhu ila kusema kahaba lazima azae kahaba ni upunguani na ukosefu wa akili. Wewe ukimpa mimba kahaba hizo mbegu zako zinakuwa na ukahaba ndani yake?

Kahaba lazima azae Kahaba
Labda kama hujui mchango wa Mama kwa Mtoto kisayansi na kiimani.
 
Hiyo ndio iko hivyo.
Mpera hauzaagi mapapai.

Hayo Mengine ni ninyi kizazi cha sasa mnashindwa kuelewa kimakusudi alafu mnalialia kuwa watu wa siku hizi wamevurugwa wakati ninyi ndio mmevurugwa.

Embe halianguki mbali na mti wake.
Huna la kuwashauri vijana kuhusu haya mambo.

Wewe endelea tu kuishi na mke wako; Kama ambavyo wengine wametulia.

Vijana wa siku hizi sio wajinga kama unavyo dhani.

Usilazimishe ujinga kwenye vichwa vya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…