Ukioa Malaya/mdangaji kuzaa mabinti Malaya hakuepukiki ni uhakika

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
UKIOA MALAYA/MDANGAJI KUZAA MABINTI MALAYA HAKUEPUKIKI NI UHAKIKA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Hakuna sababu hata Moja ya maana ya mwanamke kuwa Kahaba. Kuwa Kahaba ni uchaguzi wa Mtu na hakutokani na hali ngumu ya Maisha.
Uchaguzi wa Mtu hutokea ndani Kabisa ya nafsi ya Mtu na Wala sio Nje.

Ukienda sites na kwenye madanguro ukiwasililiza wanawake ambao wanafanya ukahaba hoja zao nyingi wanakuambia ati Sababu kubwa ni Hali ngumu ya Maisha. Jambo ambalo sio kweli Kabisa. Hali ngumu ya Maisha haiwezi kumfanya mtu akajivua UTU wake kwa kiwango cha kuwa Kahaba na Kulala na kila mwanaume hovyohovyo.

Kujigeuza Jalala au dampo la kutupia uchafu wa kila mwanaume ni uamuzi wa juu kabisa wa mwanamke kujitendea uovu.

Mwanamke Kahaba Hana tofauti kubwa na mwanamke mchawi. Wote wanaweza kufanya lolote na kumdhuru yeyote Yule.
Kama mtu kajigeuza dampo la Kulala na mwanaume yeyote Yule unafikiri ni kitu gani kingine hakiwezi?

Sasa kuna wale Nice Guy, wanaume dhaifu ambao kwa Sababu ya kuongozwa na hisia na kutotumia vizuri Akili Zao hufikiri kuwa mwanamke Kahaba anaweza kubadili.

Wengine hudanganywa na wanawake wakiambiwa kuwa Makahaba wanaweza kubadilika.
Huo ni Uongo!

Ukitaka kujua Kahaba yeyote habadiliki nenda kamuulize, kwa nini yeye ni Kahaba au kaamua kuwa Kahaba?
Msikilize.
Muulize tena, nini kifanyike aache ukahaba?
Asilimia 99% watakuambia, akipata mwanaume anayeweza kumhudumia vizuri na kumtunza anaweza kuacha ukahaba.

Wakati Fulani nilifanya utafiti mdogo kwa kutembelea Makahaba kwenye Sites Zao. Wengi wao nilipowauliza walijibu Majibu yanayofanana na Hilo.

Nilipowauliza, imetokea wamepata huyo mwanaume mwenye uwezo wa kuwahudumia na kuwatunza lakini baada ya miaka kumi au kumi na tano akafilisika nini kitatokea?
Wengi wao walipata kigugumizi.

Ni kwamba Makahaba ni materialists in nature. Hawana mapenzi ya KWELI. Wapo after Money.

Kuamua kuoa Mwanamke Kahaba ni uamuzi Mgumu Kabisa kwa Wanaume ambao hawakufunzwa vyema.

Fuatilia popote pale.
Ukiona binti yeyote ni Msumbufu, kiruka Njia na anakimbizana na wanaume kwenye magheto. Shida imeenzia mbali kwa Mama yake.

Ukiona Mkeo anatabia ya Umalaya Umalaya, Kulala hovyo na wanaume. Unakutakuta meseji.
Usikimbilie kupiga simu ukweni.
Ninakuhakikishia asilimia 90% ukiona Mkeo ni Malaya ujue shida imeanzia Mbali.
Mama alivyo ndivyo Binti yake alivyo kwa asilimia kubwa.

Sisi Watibeli ukishagundua mwanamke anaumalaya hatunaga Muda WA kujadili na ukweni kwa Sababu kwa Kiasi kikubwa tunajua kuna uhusiano wa karibu wa Tabia za wake zetu na huko kwao. Sisi tunafukuza.

Tabia ya Mkeo utaiona kwa mabinti zako kama Wazazi wake(wakwe zako hawapo).

Ndio maana zamani ilishauriwa watu waoe Wanawake wakiwa Bikra. Kwa Sababu sio rahisi kumkuta Binti wa Miaka 20 Akiwa Bikra kama hakuwa akijitunza.

Hii inaenda mbali zaidi, kama Mama WA Binti unayetaka kumuoa ni single Mother na waliachana na Mumewe. Jua kuna asilimia kubwa ya Binti zake nao kuwa kama Mama Yao.

Hii inamaanisha, kama Ulichukua mwanamke Akiwa single mother ukamuoa kunauwezekano Mkubwa Binti zako nao wakafuata Mkondo uleule.
Na Hilo litatokea Miaka kuanzia 15 Mpaka 25 inayofuata.

Utapigishana kelele na watoto bure wakati hawana kosa lolote. Kwa Sababu vya Kurithi vinazidi.

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
 
Ukahaba ni tabia sio kinasaba genes, kuna wachungaji wa mzaa watoto bar maid na makahaba, sidhani kama tabia ya ukahaba ni ya kurithi hapana inasababishwa na
1.umasikini
2.mazingira tunao ishi
3. Sera za serikali zinazo ruhusu uhuru wa hovyo.
4. Malezi ma mbovu ya watoto nk.

Hizo sababu zote zina rekebishika kwa binaadamu yoyote. Kuna watu wanasema bar maid au kahaba akiamua kuongia ndoa she is the best wife sio kwa utulivu ule aliamua.
 
Kuna hulka na silika. Zote ni Tabia

Huwezi rekebisha silika ila hulka inarekebishika
 
Hulka atitude silika behaviour, hivi ni vitu ambavyo ni vya mda kulingana hali ya uchumi ya mtu kwa wakati huo, mind set ya mtu au mtizimo hauwezi kua static hapana hubadilika wakati wowote, ukahaba ni behaviour au mindset ya mtu is obliged to change.
 
Kiufupi kiasi fulani kuna ukweli hivi

Maana ata mimi nina mdogo wangu wa kike katulia sana,mpaka sasa kaolewa

Kuna siku mama alikuwa akimwambia mdogo wangu,uku mimi nikiwa nje

Mwanangu napenda utulivu wako,hivyo ulivyo wewe ndivyo ata mimi nilikuwa enzi za ubinti wangu

Epuka vishawawishi

Mpaka sasa alipata mume,wana miaka 3 kwenye ndoa

Kwa sasa nina mjomba mmoja kutoka kwa mdogo wangu very lovery
 
Attitude ni Mtazamo
Attitude inapelekea Hulka.

Hulka inabadilika kutokana na kubadilika kwa Attitude.

Silika haibadiliki.

Silika ni tabia zilizokaa na kufanywa kwa Muda mrefu zikahifadhiwa kwenye Vinasaba.

Zingatia, mambo yote unayoyafanya yanakuwa Recoded kwenye Vinasaba.
 
Kiufupi kiasi fulani kuna ukweli hivi

Maana ata mimi nina mdogo wangu wa kike katulia sana,mpaka sasa kaolewa

Kuna siku mama alikuwa akimwambia mdogo wangu,uku mimi nikiwa nje

Mwanangu napenda utulivu wako,hivyo ulivyo wewe ndivyo ata mimi nilikuwa enzi za ubinti wangu

Epuka vishawawishi

Mpaka sasa alipata mume,wana miaka 3 kwenye ndoa

Kwa sasa nina mjomba mmoja kutoka kwa mdogo wangu very lovery

Nakuambia Embe halianguki mbali na mti wake
 
Naona single maza na malaya makahaba Wana uhitaji mkubwa sana mitaani kuliko uhalisia unaotaka kuaminishwa mitandaoni.
Single maza wanaolewa na vijiwe vya makahaba na malaya vikiongezeka kila siku na wanaume wakivitafuta kwa gharama kubwa....
Ulichukunguza vizuri ukoo wako wa baba na mama una single maza , makahaba , na malaya wa kutosha!! Kwenye ukoo wako tu au familia unayotoka umeshawahi kutoa suluhisho ya yaliyopo na yatakayokuja mbele au matokeo ya mbele???
Inshu ya malezi kutoa kizazi kilicho bora yapasa uwekezaji na kujitoa kiroho na kimwili na pesa kwa wazazi husika kupata kilicho bora japo inategemea na asili ya huo ukoo....
Kuna malaya mmoja Yuko tinde mtoto wake ni daktari bingwa muhimbili na nyumba yake kapanga meneja wa kituo cha mzani tinde unaniambiaje hapo......
Kuna jambazi mmoja kisusi alikamatwa kwa kuiba gari ya voda na akakaa jela miaka kumi na tano mkewe akawa malaya mbwa lakini nina hakika watoto wake huwafikiii hata robo ya hapo ulipo!!!
Niishie hapo.
Mada zisitolewe kimihemuko zaidi wakati kwenye ukoo wako na familia matatizo yanazidi uliyoandika hapa.
 
Ukianza kurudi nyuma kuanzia kwa mama yako kuja kwa bibi na kurudi nyuma hivyo hivyo, unaweza usifike mbali ukakutana na kahaba. Ile ni tabia sio vina saba.

Nafikiri Somo la Vinasaba watu wengi hawalielewi.

Vinasaba kwa uelewa wako ni kitu gani?

Unajua matendo yote unayoyafanya yanayojirudiarudia yanarekodiwa kwenye Genes zako?
Yakifanyika kwa Muda mrefu ndio huingia kwenye silika yaani mtoto akizaliwa anatenda kama Mababu zake walivyotenda.
 
Ila baba akiwa hata na tabia chafuu zisizoelezeka anazaa vitukuu vya Yesu na mtume ibadani masaa 24🐒
Kuwa mwanamke ni kazi sana kuliko kazi yenyewe 😭😭.
Kazi ga i wakagi nye ninrahisi tuu u apanua mapaja kidume anazamisha kibamia...sasa hapo kuna kazi gani
 
Back
Top Bottom