Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
UKIOA MALAYA/MDANGAJI KUZAA MABINTI MALAYA HAKUEPUKIKI NI UHAKIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna sababu hata Moja ya maana ya mwanamke kuwa Kahaba. Kuwa Kahaba ni uchaguzi wa Mtu na hakutokani na hali ngumu ya Maisha.
Uchaguzi wa Mtu hutokea ndani Kabisa ya nafsi ya Mtu na Wala sio Nje.
Ukienda sites na kwenye madanguro ukiwasililiza wanawake ambao wanafanya ukahaba hoja zao nyingi wanakuambia ati Sababu kubwa ni Hali ngumu ya Maisha. Jambo ambalo sio kweli Kabisa. Hali ngumu ya Maisha haiwezi kumfanya mtu akajivua UTU wake kwa kiwango cha kuwa Kahaba na Kulala na kila mwanaume hovyohovyo.
Kujigeuza Jalala au dampo la kutupia uchafu wa kila mwanaume ni uamuzi wa juu kabisa wa mwanamke kujitendea uovu.
Mwanamke Kahaba Hana tofauti kubwa na mwanamke mchawi. Wote wanaweza kufanya lolote na kumdhuru yeyote Yule.
Kama mtu kajigeuza dampo la Kulala na mwanaume yeyote Yule unafikiri ni kitu gani kingine hakiwezi?
Sasa kuna wale Nice Guy, wanaume dhaifu ambao kwa Sababu ya kuongozwa na hisia na kutotumia vizuri Akili Zao hufikiri kuwa mwanamke Kahaba anaweza kubadili.
Wengine hudanganywa na wanawake wakiambiwa kuwa Makahaba wanaweza kubadilika.
Huo ni Uongo!
Ukitaka kujua Kahaba yeyote habadiliki nenda kamuulize, kwa nini yeye ni Kahaba au kaamua kuwa Kahaba?
Msikilize.
Muulize tena, nini kifanyike aache ukahaba?
Asilimia 99% watakuambia, akipata mwanaume anayeweza kumhudumia vizuri na kumtunza anaweza kuacha ukahaba.
Wakati Fulani nilifanya utafiti mdogo kwa kutembelea Makahaba kwenye Sites Zao. Wengi wao nilipowauliza walijibu Majibu yanayofanana na Hilo.
Nilipowauliza, imetokea wamepata huyo mwanaume mwenye uwezo wa kuwahudumia na kuwatunza lakini baada ya miaka kumi au kumi na tano akafilisika nini kitatokea?
Wengi wao walipata kigugumizi.
Ni kwamba Makahaba ni materialists in nature. Hawana mapenzi ya KWELI. Wapo after Money.
Kuamua kuoa Mwanamke Kahaba ni uamuzi Mgumu Kabisa kwa Wanaume ambao hawakufunzwa vyema.
Fuatilia popote pale.
Ukiona binti yeyote ni Msumbufu, kiruka Njia na anakimbizana na wanaume kwenye magheto. Shida imeenzia mbali kwa Mama yake.
Ukiona Mkeo anatabia ya Umalaya Umalaya, Kulala hovyo na wanaume. Unakutakuta meseji.
Usikimbilie kupiga simu ukweni.
Ninakuhakikishia asilimia 90% ukiona Mkeo ni Malaya ujue shida imeanzia Mbali.
Mama alivyo ndivyo Binti yake alivyo kwa asilimia kubwa.
Sisi Watibeli ukishagundua mwanamke anaumalaya hatunaga Muda WA kujadili na ukweni kwa Sababu kwa Kiasi kikubwa tunajua kuna uhusiano wa karibu wa Tabia za wake zetu na huko kwao. Sisi tunafukuza.
Tabia ya Mkeo utaiona kwa mabinti zako kama Wazazi wake(wakwe zako hawapo).
Ndio maana zamani ilishauriwa watu waoe Wanawake wakiwa Bikra. Kwa Sababu sio rahisi kumkuta Binti wa Miaka 20 Akiwa Bikra kama hakuwa akijitunza.
Hii inaenda mbali zaidi, kama Mama WA Binti unayetaka kumuoa ni single Mother na waliachana na Mumewe. Jua kuna asilimia kubwa ya Binti zake nao kuwa kama Mama Yao.
Hii inamaanisha, kama Ulichukua mwanamke Akiwa single mother ukamuoa kunauwezekano Mkubwa Binti zako nao wakafuata Mkondo uleule.
Na Hilo litatokea Miaka kuanzia 15 Mpaka 25 inayofuata.
Utapigishana kelele na watoto bure wakati hawana kosa lolote. Kwa Sababu vya Kurithi vinazidi.
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam