Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

Mkuu upo sahihi sana nimekaa na mwanamke wa kichaga kupika. Na usafi kweli ni shida Ila kwenye swala la kusaka pesa wako vizuri ilo nakubali

Mimi kwetu ni kanda Ya ziwa ubaya wa hawa wanawake wetu huku kanda ya ziwa ni "ushamba" kosa tu akishajua Abc kazaa kazaa ambazo alikuwa hajawah kuzionja hapo ndo tatizo

Swala kuacha mtoto ni si kweli hakuna kabila ambalo mwanamke anaweza kutelekeza hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja
Kuoa inategemea na interest zako binafsi. Kama unatafta comfort na mapenzi kwa mke basi oa makabila ambayo wako sophisticated kwenye mapenzi kama makabila ya pwani pwani. Tanga hadi Bagamoyo yote hio unashuka nayo hadi Lindi kuelekea Mtwara.

Kama unataka serious partner anaeweza kuivaa nafasi yako hata ukiwa haupo oa kaskazini. They are very resilient and strong katika maisha ila hawavumilii uzembe. Ukiwa mwanaume hujielewi na huna vision huwezi kudumu na partner wa mikoa hii lazma utatemwa tu. Mapenzi na mahaba kwao sio kipaumbele so huwezi kufurahia comfort japo sio kaskazini yote. Wale akina "Namnani" inasemekana wao kugusanisha kwao ni mchezo wao pendwa so hawasumbuagi kama "Shimboni shafo"
 
Ila wachaga mwanangu historia zao zinatosha mkuu Yan Ata wale marafiki zangu wa kike wazazi wao wa kiume weng hawapo
 
Formula ya maisha na ndoa sio rahisi kiasi hiki!

Siwezi kuoa mchagga hata nipewe Bure au mahali watoe wao!

Makabila mengine yalioa Wachagga hakuna rangi hawaioni!
Upo sahihi japo sio wachaga wote.
 
Mikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha
1.Kilimanjaro
2.Iringa
3.Kigoma
4.Mara
5.Mwanza

Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃‍♂️
Kigezo kipi umetumia kusema hayaa yote
 
Dah, Mimi nilioa Tanga kwa kweli yaliyonikuta ni siri yangu.
 
Mbna mimi nina mrangi wangu lakini ana akili ya maisha balaa sema dah! Kwenye simu hajambo kuchati hadi saa saba za usiku sijui anachati na akina nani.
Sema sisi tushajiwekea utaratibu hakuna kugusa simu ya mwenzako ila roho inaniuma hatari maana yeye saa 12 asbhi sms zinaanza kuingia.
Tatizo uzuri wake na uweupe wake wanichanganya au mwenzenu ndo nsharogwa hvo?
Atakuwa ni nyoka kabsaa huyo.
 
Back
Top Bottom