Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

Kuna majirani zangu ni matajiri ni wakemia by professional juices hz za viwandan nk Leo hii mmoja Ana 50 mke 47 mbona wanaish tu ikoje mkuu tuelimishane?? Ndo hao wamachame
Ni story ngapi kati ya 10 znazohusu wamachane zinazofanana na za hao majiran zako!?
 
H
Ndugu yangu kigoma na mara umebugi sana mimi niko hapa kazegunga njia panda ya mwandiga huku ni Uswahili kwa kwenda mbele.ukitaka kujua wapi liko tanuri ya umbea na Majungu nakukaribisha kugoma.ungesema wanaume hao kwa kweli wanapambana sana lkn wanawake utakuta maskini.
[/QUOTE
Hahahaa hapo mkuu ukigusia mwandiga,ujiji,gungu, kibirizi,Kahabwa,hapo tabia zao ni pure pwani kabsaa.Nadhani huko kazegunga nako itakuwa wameadapt tabia za hayo maeneo.
 
Hapana dizain kama umejiroga mkuu.Maana kama unaruhusu tabia usiyo ipenda ifanyike kitandan kwako hapo naona wew ndo umejiroga.
Kaka mimi nahisi nmerogwa tatizo anayonifanyia wakati wa kupambania kombe nkikumbuka machozi yanitoka walahi
 
Daaa asee pole lakin naturally sis wanaume hatuwezwag na wanwake,we tuliza akili na itafute nafas yako kama kichwa, Mungu hata acha kamwe kukupa namna ya kujikwamua kwakua imeandkwa tuishi nao kwa akili yeye mwenyez atakupa akili ya ukichwa.
 
Kuwa makini sana na hao watu wa kaskazini.

Sali sana.
Mimi hata kwa dawa siwezi oa kanda ya ziwa.Hawanaga vision ya maendeleo na pia hawana ethics za ndoa.
Yeye kumuoa mka kaa miaka hata 30 mkawa na watoto kuondoka kukuachia watoto is not a big deal.
Kanda ya kaskazini wanajali sana watoto wao tena kuliko hata mume na tena akishaona amepata mtoto wa kiume anajua hatoki alipo ni kwake na wanawe ndio maana mnawaogopa.
Uzuri wa kaskazini ni wapiganaji mno hawana aibu ya kutafuta maisha hasa mumewe akifariki.
Ulishaona wapi mwanamke wa kaskazini kafiwa na mumewe akawa omba omba kama makabila mengine.Atafanya hata biashara ya mama ntilie japo kupika mungu amewanyima kwa kweli.wao ni michemsho kwenda mbele.

Ni wape mfano tajiri wa Arusha miaka ile mama Maeda alifiwa na mume kwa ajali ya gari mwaka 1967 na walikuwa na mabasi ya kutoka Arusha kwenda Nairobi mumewe alivyokufa tu mama kakamata usukani wa biashara mabasi yakaongezeka yalikuwa yanaitwa Kilimanjaro Bus Service(KBS).Huyu mama alikuwa jembe akiona dereva kachelewa kuja anaingia garini anakamata basi hadi Nairobi.Baadae alibadilisha biashara ikawa ya mahoteli ya kitalii.Raisi Nyerere ameshawahi mpa ulinzi alivyokuwa anasumbuliwa na ndugu wa mumewe juu ya mali japo kanda ya kaskazini sio common.

Kanda ya kaskazini wana matabaka msidhani wote wanafanana kwa tabia liko tabaka moja ndio liliharibu sifa za matabaka mengine.
Ukioa mkoa wa kaskazini lile kabila waume zao walevi mno hawafanyi kazi hadi wanaume wa Kenya wakawa wanawasaidia umepata mke trekta la Valmet chapa kazi.

Angalizo
**Ukitaka kupetiwa petiwa i love you darl kwa mahaba usijaribu kuoa kaskazini hiyo fani hawana na ndio maana hawanaga jando na unyago.Ila ukitaka maendeleo oa mkoa huo

**Ukitaka kubebwa mgongoni kwenda kuogeshwa oa mikoa ya waja leo warudi leo.

**Ukitaka mapishi kama wewe mpenda kula kula vizuri nenda ule mkoa wenye historia kubwa nchi hii kwa elimu kuanzia huko hata baba wa Taifa alisoma huko ambapo wao wakadharau elimu sababu Mwarabu alitawala huko.Wanakula ugali kwa asali.

**Kama wewe ni boncer mdundaji unataka kuoa nenda kaoe ule mkoa ambapo mwanamke usipompiga anahadithia wenzake mume wangu hanipendi ataweka chai hata chumvi ili umpige tu afurahi.

**Ukitaka ukienda kazini ukimpa kisogo mke anaingiza mtu mwingine oa kulee mlango wa Beira boy.

**Ukitaka bora mwanamke na bahili wa mahari nenda ule mkoa ambapo hata Jogoo unapewa mke kule chini kabisa matakoni mwa nchi ya Tanzania.

**Ukitaka mke mwenye gubu mbishi kila saa kunung'unika nenda oa lile kabila ambapo wanaume zao ni wabishi sana na wanajifanya kila kitu wanajua na wana akili kuliko wanaume wengine japo kakabila kao ni kadogo.Anakotoka yule mjamaa wakati wa utawala flani alikuwa anajikomba sana kwa kiongozi mkuu akawa na kigazeti chake na akawa anatukana viongozi wengine akaja pigwa faini sasa amenyamaza kama maji ya mtungi.

**Ukitaka kuoa mwanaume mwenzako hapa namanisha ukizubaa kidogo mwanamke anakuwa juu yako hata anaweza kukudunda nenda ule mko wa kuliko ungua shoka ikabaki mpini.Wasio wahenga hawataelewa usemi huu niwarahishie.Ule mkoa ambao umepata hadhi ya jiji hivi karibuni una wasomi lakini walipata kashifa ya kuchuna watu ngozi na usomi wao una makanisa mengi mno na kanisa la Moravian lilianzia huko uko mpakani na Zambia

Anyway idea yangu ni kufurahishana kwenye group na ndio maana sitaji makabila moja kwa moja kutokushushia hadhi makabila ya watu ila kiukweli hakuna kabila lisilo na tabia Mke mzuri omba mungu atakupa kuchagua sana nako utapata nazi koroma
 
Mikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha
1.Kilimanjaro
2.Iringa
3.Kigoma
4.Mara
5.Mwanza

Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃‍♂️
No 1 Sindio wanaomtanguliza mwenza ili wabebe Mali au nitofauti,kaskazini nikutafuta kwanza then mapenzi yanafuata.
No money no love
 
Mimi hata kwa dawa siwezi oa kanda ya ziwa.Hawanaga vision ya maendeleo na pia hawana ethics za ndoa.
Yeye kumuoa mka kaa miaka hata 30 mkawa na watoto kuondoka kukuachia watoto is not a big deal.
Kanda ya kaskazini wanajali sana watoto wao tena kuliko hata mume na tena akishaona amepata mtoto wa kiume anajua hatoki alipo ni kwake na wanawe ndio maana mnawaogopa.
Uzuri wa kaskazini ni wapiganaji mno hawana aibu ya kutafuta maisha hasa mumewe akifariki.
Ulishaona wapi mwanamke wa kaskazini kafiwa na mumewe akawa omba omba kama makabila mengine.Atafanya hata biashara ya mama ntilie japo kupika mungu amewanyima kwa kweli.wao ni michemsho kwenda mbele.

Ni wape mfano tajiri wa Arusha miaka ile mama Maeda alifiwa na mume kwa ajali ya gari mwaka 1967 na walikuwa na mabasi ya kutoka Arusha kwenda Nairobi mumewe alivyokufa tu mama kakamata usukani wa biashara mabasi yakaongezeka yalikuwa yanaitwa Kilimanjaro Bus Service(KBS).Huyu mama alikuwa jembe akiona dereva kachelewa kuja anaingia garini anakamata basi hadi Nairobi.Baadae alibadilisha biashara ikawa ya mahoteli ya kitalii.Raisi Nyerere ameshawahi mpa ulinzi alivyokuwa anasumbuliwa na ndugu wa mumewe juu ya mali japo kanda ya kaskazini sio common.

Kanda ya kaskazini wana matabaka msidhani wote wanafanana kwa tabia liko tabaka moja ndio liliharibu sifa za matabaka mengine.
Ukioa Rombo umeoa trekta la Valmet

Angalizo
Ukitaka kupetiwa petiwa i love you darl kwa mahaba usijaribu kuoa kaskazini hiyo fani hawana na ndio maana hawanaga jando na unyago.Ukitaka maendeleo oa mkoa huo

Ukitaka kubebwa mgongoni kwenda kuogeshwa oa mikoa ya waja leo warudi leo.
ukitaka ukienda kazini ukimpa kisogo mke anaingiza mtu mwingine oa kulee mlango wa Beira boy
Itabaki tu kuwa hivyo tu kuwa wanawake wa kaskazini ni wauaji na wabinafsi sana
 
Mkuu upo sahihi sana nimekaa na mwanamke wa kichaga kupika. Na usafi kweli ni shida Ila kwenye swala la kusaka pesa wako vizuri ilo nakubali

Mimi kwetu ni kanda Ya ziwa ubaya wa hawa wanawake wetu huku kanda ya ziwa ni "ushamba" kosa tu akishajua Abc kazaa kazaa ambazo alikuwa hajawah kuzionja hapo ndo tatizo

Swala kuacha mtoto ni si kweli hakuna kabila ambalo mwanamke anaweza kutelekeza hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja
Mimi hata kwa dawa siwezi oa kanda ya ziwa.Hawanaga vision ya maendeleo na pia hawana ethics za ndoa.
Yeye kumuoa mka kaa miaka hata 30 mkawa na watoto kuondoka kukuachia watoto is not a big deal.
Kanda ya kaskazini wanajali sana watoto wao tena kuliko hata mume na tena akishaona amepata mtoto wa kiume anajua hatoki alipo ni kwake na wanawe ndio maana mnawaogopa.
Uzuri wa kaskazini ni wapiganaji mno hawana aibu ya kutafuta maisha hasa mumewe akifariki.
Ulishaona wapi mwanamke wa kaskazini kafiwa na mumewe akawa omba omba kama makabila mengine.Atafanya hata biashara ya mama ntilie japo kupika mungu amewanyima kwa kweli.wao ni michemsho kwenda mbele.

Ni wape mfano tajiri wa Arusha miaka ile mama Maeda alifiwa na mume kwa ajali ya gari mwaka 1967 na walikuwa na mabasi ya kutoka Arusha kwenda Nairobi mumewe alivyokufa tu mama kakamata usukani wa biashara mabasi yakaongezeka yalikuwa yanaitwa Kilimanjaro Bus Service(KBS).Huyu mama alikuwa jembe akiona dereva kachelewa kuja anaingia garini anakamata basi hadi Nairobi.Baadae alibadilisha biashara ikawa ya mahoteli ya kitalii.Raisi Nyerere ameshawahi mpa ulinzi alivyokuwa anasumbuliwa na ndugu wa mumewe juu ya mali japo kanda ya kaskazini sio common.

Kanda ya kaskazini wana matabaka msidhani wote wanafanana kwa tabia liko tabaka moja ndio liliharibu sifa za matabaka mengine.
Ukioa Rombo umeoa trekta la Valmet

Angalizo
Ukitaka kupetiwa petiwa i love you darl kwa mahaba usijaribu kuoa kaskazini hiyo fani hawana na ndio maana hawanaga jando na unyago.Ukitaka maendeleo oa mkoa huo

Ukitaka kubebwa mgongoni kwenda kuogeshwa oa mikoa ya waja leo warudi leo.
ukitaka ukienda kazini ukimpa kisogo mke anaingiza mtu mwingine oa kulee mlango wa Beira boy
 
Mimi hata kwa dawa siwezi oa kanda ya ziwa.Hawanaga vision ya maendeleo na pia hawana ethics za ndoa.
Yeye kumuoa mka kaa miaka hata 30 mkawa na watoto kuondoka kukuachia watoto is not a big deal.
Kanda ya kaskazini wanajali sana watoto wao tena kuliko hata mume na tena akishaona amepata mtoto wa kiume anajua hatoki alipo ni kwake na wanawe ndio maana mnawaogopa.
Uzuri wa kaskazini ni wapiganaji mno hawana aibu ya kutafuta maisha hasa mumewe akifariki.
Ulishaona wapi mwanamke wa kaskazini kafiwa na mumewe akawa omba omba kama makabila mengine.Atafanya hata biashara ya mama ntilie japo kupika mungu amewanyima kwa kweli.wao ni michemsho kwenda mbele.

Ni wape mfano tajiri wa Arusha miaka ile mama Maeda alifiwa na mume kwa ajali ya gari mwaka 1967 na walikuwa na mabasi ya kutoka Arusha kwenda Nairobi mumewe alivyokufa tu mama kakamata usukani wa biashara mabasi yakaongezeka yalikuwa yanaitwa Kilimanjaro Bus Service(KBS).Huyu mama alikuwa jembe akiona dereva kachelewa kuja anaingia garini anakamata basi hadi Nairobi.Baadae alibadilisha biashara ikawa ya mahoteli ya kitalii.Raisi Nyerere ameshawahi mpa ulinzi alivyokuwa anasumbuliwa na ndugu wa mumewe juu ya mali japo kanda ya kaskazini sio common.

Kanda ya kaskazini wana matabaka msidhani wote wanafanana kwa tabia liko tabaka moja ndio liliharibu sifa za matabaka mengine.
Ukioa Rombo umeoa trekta la Valmet

Angalizo
Ukitaka kupetiwa petiwa i love you darl kwa mahaba usijaribu kuoa kaskazini hiyo fani hawana na ndio maana hawanaga jando na unyago.Ukitaka maendeleo oa mkoa huo

Ukitaka kubebwa mgongoni kwenda kuogeshwa oa mikoa ya waja leo warudi leo.
ukitaka ukienda kazini ukimpa kisogo mke anaingiza mtu mwingine oa kulee mlango wa Beira boy
Rombo inasemakana wapo vizuri ila huko kwingine ni changamoto. Binafsi naamini akili ya maisha ya vision ipo kwako wewe mwanaume na sio mwanamke.

Kusema kwamba unaona kaskazini sababi ni wapambanaji maana yake wewe tayari kwa namna fulani umeshajishusha thamani. Nowdays suala la mwanamke kutulia chini na kusimamia vipato ni common, wanawake wengi tu wameweza.
 
Back
Top Bottom