Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Ukabila karne hii bado umetuganda kama ngozi! Akili na mafanikio ya mtu hayatokani na kabila lake vijana! Statistics dunia nzima zinaonyesha watu waliofanikiwa sana katika kila jamii hawazidi 1% na walifanikiwa kiasi ni 10% tu na wote hawajaoa hayo makabila, waliobaki wote tunatumikia hiyo 11% iishi inavyotaka!! Kila jamii ina watu waliofanikiwa na waliofeli big time, hata waisrael mnaowaita wana wa mungu wapo kibao makapuku wa kutupwa, sembuse hao? Mafanikio yako ni kichwani kwako kuna mawe mangapi na exposure sio unaongea lugha gani vernacular.
Msikatishe wenzetu tamaa, unaweza kuoa huko na ukaishia matopeni tu hamna formular ya maisha, anayefanikiwa bulombora hata umpeleke Australia, Ukraine, Maldives au popote duniani atafanikiwa tu hata awe mhaya, mjaluo au mzaramo. Wote ni watoto wa Mungu na dunia ni sehemu yao ya kuishi popote pale