Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

Kuna majirani zangu ni matajiri ni wakemia by professional juices hz za viwandan nk Leo hii mmoja Ana 50 mke 47 mbona wanaish tu ikoje mkuu tuelimishane?? Ndo hao wamachame
Mkuu mimi sijui maana hata mimi nimeoa huko mwaka wa 13 huu sijioni nikifa,labda muulize mdau Daudi1 alichokiandika post #9 anaweza akawa anajua zaidi.
 
Mikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha
1.Kilimanjaro
2.Iringa
3.Kigoma
4.Mara
5.Mwanza

Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃‍♂️
Dah....! Yaani kwa makusudi kabisa umeamua kuingiza vijana wenzio chaka, unless if it's just a prank. Yaani umeamua kwenda kinyume kabisa na realities on the ground.
 
Dah....! Yaani kwa makusudi kabisa umeamua kuingiza vijana wenzio chaka, unless if it's just a prank. Yaani umeamua kwenda kinyume kabisa na realities on the ground.
That's Y nimesema ruksa kukosoa
 
Back
Top Bottom