Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

Kuoa inategemea na interest zako binafsi. Kama unatafta comfort na mapenzi kwa mke basi oa makabila ambayo wako sophisticated kwenye mapenzi kama makabila ya pwani pwani. Tanga hadi Bagamoyo yote hio unashuka nayo hadi Lindi kuelekea Mtwara.

Kama unataka serious partner anaeweza kuivaa nafasi yako hata ukiwa haupo oa kaskazini. They are very resilient and strong katika maisha ila hawavumilii uzembe. Ukiwa mwanaume hujielewi na huna vision huwezi kudumu na partner wa mikoa hii lazma utatemwa tu. Mapenzi na mahaba kwao sio kipaumbele so huwezi kufurahia comfort japo sio kaskazini yote. Wale akina "Namnani" inasemekana wao kugusanisha kwao ni mchezo wao pendwa so hawasumbuagi kama "Shimboni shafo"
 
Ila wachaga mwanangu historia zao zinatosha mkuu Yan Ata wale marafiki zangu wa kike wazazi wao wa kiume weng hawapo
 
Formula ya maisha na ndoa sio rahisi kiasi hiki!

Siwezi kuoa mchagga hata nipewe Bure au mahali watoe wao!

Makabila mengine yalioa Wachagga hakuna rangi hawaioni!
Upo sahihi japo sio wachaga wote.
 
Mikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha
1.Kilimanjaro
2.Iringa
3.Kigoma
4.Mara
5.Mwanza

Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twendeπŸƒβ€β™‚οΈ
Kigezo kipi umetumia kusema hayaa yote
 
Dah, Mimi nilioa Tanga kwa kweli yaliyonikuta ni siri yangu.
 
Atakuwa ni nyoka kabsaa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…